Munandeleaje?
Mimini mzee, hawa mabinti hawana nidhamu wala adabu.
Ni hawa mabinti wa miaka ya 2000
Binti wa Miaka 25 anapata wapi ujasiri wa kumtongoza mtu wa umri wa baba yake?
Kwaiyo wazee...
Ndugu zangu leo nimechanganyikiwa nimemfumania Mpenzi wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa Miaka 2 sasa.
Amebananishwa kwenye uchochoro saa mbili usiku na Dereva bajaji wanakulana mate...
Habari wakuu,
Naombeni ushuri maana ni week ya tatu sasa toka mke wangu amehama chumba chetu na kuhamia kwa watoto.
Sababu ya yeye kuhama ni kutokuelewana ambako binafsi naamini ni kwa kawaida...
@Arusha,Mama mchagga (Mmaranguu), baba mngoni
Ndege mjanja hunaswa tundu bovu, baada ya kuchemka mwishowe nilisaidiwa kumpata wa kunioa 'Asante'
Mama aliwakataa wachumba zangu wawili, watatu...
Wakuu,
Usiku wa Juzi nilivorud nyumbani,
MKE wangu alinipokea kwa uchangamfu na bashasha kubwa Sana,nami baada ya Lile tukio la sintofahamu ya laini mpya hivi karibuni, nilishajiapiza sitopanic...
Hata siku moja usitegemee wala kutarajia hela kutoka kwa mpenzi wako, iwe ni kuomba au kumkopa, na ieleweke ya kwamba hapa nazilenga jinsia zote mbili.
Zingatio zaidi kwa upande wa mwanaume...
kwa miaka ya zamani kwa baadhi ya makabila familia zilikuwa na utaratibu wa wenza kuishi nyumba mbili tofauti ambapo mme aliishi nyumba kubwa mke nyumba ndogo pamoja na watoto wake
Baadhi ya...
Kutokana na umri kusogea sana imenibidi nipunguze mambo ya starehe kama; kwenda sehemu za starehe, kunywa pombe, kucheza na warembo pamoja na kuchepuka.
Nimeamua kujituliza ili niwaachie na...
sio wa kike wala wakiume, wamekomaa mno.
unadhani wamekomazwa na nani, wapi?
Kabinti kanang'ang'ana na lizee jitu zima na kakijana kanang'ang'ana na jimama jitu zima..
Ni nini hasa chanzo cha...
Mwanaume unaweza kusex na mwanamke mwenye weusi kati kati ya mapaja (dark inner thighs)?
Kama unaweza basi jua wewe ni jasiri ambae unaweza hata kutafuna jongoo.
Binafsi siwezi kabisa labda kwa...
Iko hivi, nina binti nimemtongoza sasa yeye huwa anajiona mtu wa dini sana, kiufupi eti kaokoka lakin vizinga ananipiga ila kutoa mzigo hataki eti anasema ni mapema hawezi nipa mzigo ila pesa...
USICHAGUE YA KUSIKIA DHIDI YA UMPENDAYE, HATA MABAYA YAKE YASIKIE✍️
Sababu kubwa ya kushindwa kumsamehe ni kwa sababu ulimuona kwa upande mmoja tu hukutaka kujua ya upande wake wa pili na hata...
Wakuu....
Naombeni niwaulize kitu; Hivi mfano ndani kuna Mchele, mafuta, nyanya, kitunguu yaani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu na sio kila siku atakosa hiyo...
Kwanza kabisa nipende kuwashukuru nyote kwa habari motomoto vituko,na vimbwanga vya maisha yetu ya kila siku.. kwa hakika jukwaa hili limenifunza mengi toka nijiunge mwaka 2021 mwezi June.
Hata...
PENZI lilianza kumea kivuli cha utata mkubwa baada ya Baba yangu mdogo kuwa na njaa ya kimapenzi pindi tu alipo fiwa na mke wake wa ndoa, akaona fursa. Ugomvi kati yangu na baba ukawa jukwaa la...
Wakati naleta hii ishu nilishambuliwa lakini jamaa ndio ashafika kwa dada. Dadaak3 humuelezi kitu japo shemeji anawoga mkubwa kwangu.
Anajua namuacha tu..
.lkn ni mtu wa kwenda kuanzisha maisha...
Sio kwamba wanawake wote wanaofanana baba zao ni wabaya la hashaaa
Kuna pisi kali sana ila zimefanana baba zao kuliko mama zao
Pata picha mko kwa bed mnanyanduana,ukimuangalia usoni mpenzi wako...
Wadau hamjamboni nyote?
Hiyo siyo hadithi ni jambo la kweli kabisa limemtokea Jirani yangu hapa nyakato mwanza
Kaishi na mwanamke wa jamii ya wakulya mwaka wa nane huu wakizaa watoto wawili
"...
Nadhani utakua umewahi kusikia hiyo kauli.
Inadaiwa kuwa kuna wanawake ambao mwanaume ukimuoa tu mambo yako yanaparaganyika.Yaani kama ulikua na mafanikio kidogo au sana unaanza kuandamwa na...