Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

🙎Species inayoweza kumuelewa mwanamke ni mwanamke mwenzake, ndio maana wanachukiana. 🙅 Ukitaka kupoteza demu, wewe kuwa nice boy uone, then uki react kama bad boy kutokana na ukaidi wao unaitwa...
25 Reactions
85 Replies
3K Views
Kitambo sana wazee wa Kazi. Kwanini mapenzi au ndoa nyingi huwa na migogoro pale uchumi wa Sisi WANAUME kushuka? Nyinyi wanawake ambayo mpo kwenye ndoa Na ambao hampo kwenye ndoa hebu tujuzeni...
4 Reactions
6 Replies
232 Views
1.KUPIMA UWEZO WA MWANAUME KUJIAMINI (confidence test) Mwanamke yeyote hupenda kupima uwezo wa kujiamini wa mwanaume wake. Njia wanazotumia kufanikisha hilo sasa hutegemea makuzi na malezi yake...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu, poleni kwa kuwasumbua sana. Ni vile naipenda familia yangu na pia naipambania sana licha ya mwenzi wangu kutokuwa na shukrani. Huenda yote haya yanatokana na kuzoeana sana ndani ya nyumba...
9 Reactions
34 Replies
1K Views
Mdau wa JamiiForums wacha nikusogezee makosa ambayo Mwanamke wako anavumiliwa na Makosa ya kusamehewa 1. Kupika vibaya 2. Kuzidisha chumvi. 3. Kulimbikiza uchafu. Lakini sio. 1. Ku cheat na 2...
7 Reactions
16 Replies
659 Views
Kwanza ieleweke mwanaume brothermen sio kwamba ni bishoo,hapana yani sisi ni wale wanaume watanashati, tunajipenda hatuna shobo za kijinga kwa binadamu yeyote, tuna vijisent vya hapa na pale vya...
17 Reactions
76 Replies
2K Views
Kama mkiwa wote unaongea tofauti na matendo ufanyao pindi akiwa hakuoni jua wewe ni muigizaji tu na uhalisia wako upo kwenye hayo matendo ukiwa mbali. Wengi hutafuta KUAMINIKA kuoitia maneno yao...
0 Reactions
1 Replies
146 Views
Kati ya wanaume wenye umri wa miaka 15-49 mwaka 2015–2019, 55.2% hawakuzaa mtoto wa kibaolojia, 14.8% walikuwa wamezaa mtoto mmoja wa kibaolojia, 17.4% walikuwa na watoto wawili, 8.2% walizaa...
3 Reactions
28 Replies
972 Views
Pichani ni Msanii Mkubwa Nchini Marekani Jennifer Lopez akiwa pamoja na mwanae “asiyekuwa na jinsia”… Huyu dogo ni wa kike, lakini hajitambulishi kwa jinsia yoyote… Jamii ya watu wa aina hii...
4 Reactions
17 Replies
719 Views
Ebana eeeh kwema wadau I rarely post jukwaa hili mara nyingi napita na soma na ku comment tu. Ila mpaka nimeamua kuanzisha thread ni vile nataka wanaume wenzangu hususani vijana ambao mna...
25 Reactions
54 Replies
5K Views
These 5 Sleeping Positions Tells The Kind of Relationship You have With Your Partner. After a long day, everyone will appreciate having time to sleep, especially if you can share that place of...
2 Reactions
5 Replies
853 Views
Hii inahusu wanaume japo yaweza kuwahusu na wanawake pia. Usifanye huu ujinga baada ya kuonja utamu na mpezi wako - amekupa utamu faragha mkiwa wawili tu yaani wewe na yeye, kisha ukamgeuka na...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex. Mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke. Hii hali naona kabisa...
13 Reactions
112 Replies
6K Views
Binafsi napenda Mishangazi iliyoshindikana kama shishi, tumbo kubwa na michirizi ya utamu. Asanteni
10 Reactions
30 Replies
2K Views
Katika maisha ya ujana tunakutana na mambo mengi sana, mengine ya kutisha na mengine ya kawaida. Binafsi katika ujana wangu nimepitia mambo mengi mazito, nimeumizwa sana katika mapenzi na...
17 Reactions
123 Replies
12K Views
Mdau baada ya mihangaiko ya siku nzima ya kujenga nchi wacha tujipumzishe na hii, tufahamu Indicator za Mwanamke ambae anacheat. 1. Anakua mkali unapomjibu maswali rahisi au anakuuliza kwanza...
2 Reactions
9 Replies
676 Views
Katika harakati za mambo mbalimbali, juzi nilijisahau ikasalia kipande moja ya kondom kwenye droo ya gari. Bahati mbaya zaidi wife alikua atumie the same car kwenda job the next morning. Sasa...
63 Reactions
269 Replies
13K Views
Mimi ni mtoto pekee katika familia ya kitajiri. Tangu nilipoolewa, nimekuwa nikiishi kwa furaha na mume wangu kwenye ndoa yetu takatifu ya kikatoliki. Sikuwahi kupata changamoto yoyote. Furaha...
9 Reactions
57 Replies
2K Views
Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vizuri tu toka juzi. Jana usiku wakati wa kushiriki wakati...
27 Reactions
154 Replies
11K Views
Japo mi binafsi nadhani inasababishwa na kuingia kwenye mahusiano bila upendo....kuingia kwenye mahusiano kusitirika na siyo upendo ..... Maoni yenu tafadhali...maana mapenzi yamepoteza maana...
5 Reactions
65 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…