Wakuu,
Wengi wetu hapa jukwaani tumepitia hii changamoto,unakuta umempenda dada wa watu sana,bahati nzuri amekukubalia
Ulipoenda kwenye sita kwa sita unakuta size ya vikojoleo haiendani may...
1. Daima mama mtoto atakuona fala.
Usidanganyike na ngozi ya kondoo aliyojivika kwa nje, ukweli ni kwamba kwenye akili yake anakutafsiri tofauti. Anakuona simp mmoja mjinga jinga. Hata hivyo...
Mwanaume, nikukumbushe tu, kiasili hatujaumbwa kuvumilia, yaani ile hisia ya uvumilivu tunakuwa hatuna kabisa, ndiyo tulivyoumbwa.
Kama ukishaona mke wako anaanza kukufanyia dharau, iwe ni sababu...
BAADA YA KUCHAGUANA BADILISHANENI KUWA VILE MNAVYOTAKA KUWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ushapata Baby Boy/ Girl unayependana naye. Mnaendana na kuendana kwa asilimia kubwa.
Ni KWELI...
Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa, Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi.
Bro unajua...
Kwenye mahusiano bwana waswahili wanasema kuna wakati rizki inafika mwisho
Kuachana siku zote kunasababishwa na mmoja.kuna mmoja wenu anakuwa hataki tena mahusiano.ila kuachana ni maamuzi ya...
Kutokana na malalamiko ya wanaum e Humu jf, nimeona ni Bora kufungua Uzi huu ili kuweza kuwapa nafasi ya kutoa malamiko yao.
Lengo la chama hiki ni kukumbushana misimamo na misingi ya chama...
Wanaume tulieni na ndoa zenu!!!! Utakuta mtu na Pete yake kidoleni amekung'aninia mtoto wa watu muda wote anataka mapenzi, najiuliza ni kwamba hamridhishwi na wake zenu?
Mnakosa furaha au mapenzi...
Hali vipi wana JF!
Niingie moja kwa moja kwenye kisa changu :
👉Nilipata mwanadada kama miezi mitatu hivi iliyopita 29 of age nikawa nakula nae gud time namtoa out kwenye viwanja vyetu vya bei...
Ndugu zangu, naomba ushauri huku nikiwa naona Aibu kwa niliyoyafanya lakini yashatokea [emoji116]
Naomba msaada wenu kwa jambo zito ambalo nalipitia. Nina mwanamke ambaye nimezaa naye mtoto mmoja...
Niliachana na mke wangu mwaka jana baada ya kutofautiana mienendo. Japo hatukufunga ndoa ila nilimposa na kila kitu tulikamilisha tukaanza maisha.
Baadae niliamua kutafta mwanamke mwingine tukawa...
Expectation kills , they kill us once when we wait for the same things we did for people. They kill us twice when we don't really get anything.
Maisha yanaenda kasi sana, leo nmekumbuka tukio...
Unapokuwa mwanaume wa hisia hisia, ina maana ni rahisi kuumia, kupelekeshwa na chochote kilichopo mbele yako.
Hata hisia za za kufanya maamuzi bora zinapokujia, zinakushinda na unajikuta una...
Hii inakuhusu zaidi wewe Mtanzania mwenye kipato cha chini ambae hauna uwezo wa kurudi gharama za matibabu ya nguvu za kiume.
Nasema hivi kwa sababu matibabu ya ukweli na uhakika ya nguvu za...
Wala siijui formula ya aina ipi ya mwanamke wa kuoa hata huyu nilite naye siijui kesho yetu hivyo nachoweka hapa ni theory tu lakini waweza kupata kitu.
Sikuoa rafiki yangu, nilikuwa na marafiki...
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari.
Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa.
Kuna kipi...
Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??.
jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome...
Ewe. jobless jobless jobless nime kuita mara tatu, Leo usipo tumia akili zako basi usije kulia lia siku ya kesho.
jobless hizi hisia za mapenzi unazo onyeshwa leo ni mtego tu ili mfuko na akiba...
Uzi huu ni kwa ajili ya kuwapa mbinu vijana wa chama Cha ma jobless pro max.
Ili waweza kujua na kuelewa namna bora ya kuishi na kuwa salama, ndani ya jamii yenye mchanganyiko wa watu mbali...