Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kwa watu mliofanya mapenzi hasa na wanawake wengi huwa mnajuaje mwanamke ni bikira au sio bikira?
10 Reactions
63 Replies
4K Views
Wakuu natumaini wote mpo salama na mnaendelea vyema kusherekea sikukuu hizi Dah, kwa upande wangu mimi sipo sawa kabisa hapa najiona mkosefu sana na sijui hata jamii itanielewa vipi, nimekuja...
60 Reactions
2K Replies
273K Views
Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!! Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa...
36 Reactions
343 Replies
10K Views
Hiki ni kitendo rahisi sana cha kunasa hisia za mwanamke yeyote yule na kuchukua moyo wake pasipo yeye kujua. "Mpigie simu mara kwa mara kama sehemu ya kumjulia hali tu uone kama hatajaa...
6 Reactions
42 Replies
6K Views
Tajiri sio lazima asalimie wakati anapoanza maongezi. Mwanaume hana mpango kabisa na wewe unaanza kujipitisha kwake hadi anaanza kukuwaza kingono, anakutongoza unamkataa. Anaamua kuachana kabisa...
2 Reactions
5 Replies
121 Views
Unapokuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi mwanamke ambaye hakupendi kwa dhati basi utamgundua kwa dalili zifuatazo; Hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea anakuwa mtu wa masharti...
24 Reactions
188 Replies
45K Views
Poleni na kazi wakuu, hapa mtaani nilipopanga kuna mke wa mtu, kidogo hua tunapenda kupiga story, za hapa na pale na kiukweli anapenda sana kampani yangu, yeye na mme wake wana miaka 8 kwenye...
7 Reactions
65 Replies
43K Views
Mabinti wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa. Isitoshe wengi wao hawana kipato cha uhakika. Hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.
34 Reactions
360 Replies
30K Views
Nimeleta mada kwenu tajwa hapo juu. Katika harakati zangu za mizunguko ya hapa na pale , nimejikuta naanzisha mazoea na mke wa mtu ,mwisho wa siku nikamkaribisha kwangu kwa bahati nzuri akaniambia...
14 Reactions
71 Replies
2K Views
USIFE HARAKA MPENZI WANGU HANA haraka anapotembea, ukimtazama anaonekana kujiamini sana. Tabasamu mwanana linaupamba uso wake, lakini mavazi yake yanaonesha asivyo mtu wa dhiki! Hata kama siyo...
5 Reactions
168 Replies
23K Views
Kuna siku niliwahi kuona chapisho lililosema."Najiuliza jinsi Dr Nandipha aliweza kupenda, kuishi na kufanya mapenzi na muuaji bila kuogopa, kwa mara ya kwanza nitakubaliana na watu wasemapo ogopa...
32 Reactions
421 Replies
17K Views
Napenda sana pesa sina haja ya kuficha, Mwanaume akinipenda ajipange Silali njaa. Sipandi daladala Ni Uber au bajaji Maharage nakula mara tatu tu kwa week Natumia iPhone tu kuanzia 8+ Vocha...
9 Reactions
143 Replies
10K Views
send off kali sana. 33 People Invited Only na majina ya waalikwa yamebandikwa kabisa, No hekahekaa! Hapa hakuna cha kuzamia sherehe kama jina lako hamna huingii maana hakuna siti ya ziada. 1...
45 Reactions
125 Replies
4K Views
Maisha yanaenda Kasi, Kila MTU Kila siku anatafuta namna ya kuishi. WACHINA Kila siku wanakuja na Gunduzi za Kila aina , Gunduzi zao zinawekwa mitandaon , zipo Gunduzi zinazowekwa mitandaoni lakn...
8 Reactions
30 Replies
933 Views
Tafuta hela; aliyekwambia yupo kwenye mfungo amerudishwa kwa gari na Bae wake jioni hii, muda huu anaelekea bafuni kuoga. Tafuta hela; aliyekwambia kuwa huu ni mwezi wa mfungo usimtafute...
9 Reactions
30 Replies
865 Views
Unapokutana na mwanamke katika safari yako ya MAISHA hapa namzungumzia kijana amabaye yupo na Malengo Makubwa kuhusu MAFANIKIO na anajua thamani yake . Hivyo katikati ya safari yako unaweza...
2 Reactions
1 Replies
403 Views
Wakuu kwema.. Nimekuja kuamini sometimes expectations zetu ndio hupelekea disappointment. Unaweza kuwekeza muda mwingi, hata budget ili kufukuzia mtoto mkali from the head to the toe ukaweza hata...
24 Reactions
198 Replies
6K Views
"Nyakati ngumu huunda wanaume wenye nguvu, wanaume wenye nguvu huunda nyakati nzuri, nyakati nzuri huunda wanaume dhaifu, na wanaume dhaifu huunda nyakati ngumu." Kipindi unakuwa uliwahi kusikia...
22 Reactions
45 Replies
750 Views
Sehemu ya Kwanza: Ndoa ni Zaidi ya Mapenzi Maneno ya busara: "Oa kwenye familia ambayo hata mtoto wao wa kike akiumwa sio lazima ukoo wao mzima ukae kikao ipatikane 200k." Maisha yana changamoto...
14 Reactions
36 Replies
963 Views
Naposema mwanaume ukiwa handsome, namaanisha mwanaume ukiwa na sura nzuri ya kiume, mrefu, na mvuto kama wote, asilimia kubwa ya wadada utakaowatongoza hawatakuomba hela muda mfupi baada ya ww...
12 Reactions
89 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…