Salaam wakuu,
Katika kutibu kiu ya kujua mambo mimi na wenzangu wawili Thomas na Lilian (sio majina yao halisi ) tuliamua kufanya utafiti binafsi juu ya "women obidience to their bosses VS...
Ndoa Fasta
Ni ndoa ambazo Me na Ke wakutana bila kujuana vizuri na wakaamua kufunga ndoa.
Sasa mara baada ya kufunga ndoa ndio huanza kufahamiana vizuri kumbe mume wangu ana tabia hizi au kumbe...
Yaani katika kitu nakiheshimu hapa duniani ni kumtunza mwanamke sababu mwanamke hatakiwi ateseke yaani wanawake wangu watano.
Kila mmoja nampa milion 6 ya matumizi madogo madogo tu Kila wiki na...
Kwema wajumbe?
Ebana last night nilimkung'uta wife haswa kwa kuchelewa kurudi home.
Mchezo mzima ulianza hivi,me nilirudi jana mapema kutoka job,nikategemea nae atarudi muda wake niliouzoea...
Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji...
Kila mkipishana tegemea kauli hizi kutoka kwake, uchambuzi wa hizi kauli;
1. kama kuna mahali unaandaliwa chakula tofauti na bajeti yetu ya kila mwezi ruksa katumie!
2. Sipo kwa ajili ya...
Wakuu hizi familia za kiswahili hazifai kabisa
Nimemtumia mzee wangu tiketi ya ndege ili aje DSM maana I get some information kuwa wanataka kumuua .
Na wanaoratibu huu mpango ni ndugimu zangu...
Chukua hiyo!
Iwe kwa uganga au nguvu ya kiuchumi. Kumwendesha mwanamme inamfanya asiwe mwenye furaha.
Mwanamme akikosa furaha usitarajia kupata furaha pia. Na jiandae kulipa kwa hilo, iwe...
Listen comrades, ukiwa nice guy kwenye soko la mahusiano kuna uwezekano mkubwa zaidi ukapata bidhaa ambayo tayari ishachakachuliwa na ipo nyang'anyang'a baada ya kutumika na wengi kwa muda mrefu...
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo"...
Dalili hizo ni pamoja na:-
1. Riba kuongezeka sana.
Hivi sasa mikopo ya kausha damu iko kila mahala, mpk mitandaoni.
2. Wanaume kuoana wenyewe kwa wenyewe. Mashoga yapo kila mahala duniani kote...
Mara tu baada ya kufunga ndoa takatifu wanawake wameanza kujitongozesha si kazini, gym wala mtaani. Najiuliza walikua wapi mpaka Naoa huyu mnyakyusa wangu Atuganile?
Habarini,
Nimefanya huu uchunguzi usio rasmi, kwenye ndoa nyingi, ukiuliza mwanamke love story yake ya jinsi alivokutana na mmewe, utapata moja ya majibu haya:
1) Watakwambia hivi (nawanukuu)...
Kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani ni vitu ambavyo vinatokea kama ajari
Wadau hivi sikuna watu humu walishawai kusota umbali mrefu baada ya kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari...
Hello,
Wazee kuna saluni moja nilienda hapa mjini, dah kuna mtoto nlimwona nkapagawa, ni mzuri haswa, mfupi kiasi, rangi nzuri, chura iliochomoza yenye shepu nzuri, mlaini, miguu yenye shepu...
Sio kweli kwamba watu hawana mapenzi ya dhati. Si kweli kwamba mapenzi yalikuwa zamani. Si kweli kwamba watu hawajui kupenda. Si kweli kwamba wapenzi hupenda kuumizana. Tatizo kubwa kwa zama za...
Mshawishi wa Kibrazili #SuellenCarey, ambaye aligonga vichwa vya habari mwaka jana kwa kujioa kama kitendo cha ujasiri cha kujipenda, sasa amewasilisha kesi ya talaka kutoka kwake mwenyewe huku...
Amefunguka Emma....
"Nataka kuoa mwaka huu, nitaoa mwanamke ambaye ni mhudumu wa Bar maana hawa wadada wanakuwaga hawana shida sana ukimwoa ukamweka ndani anatulia na maisha yake yote analeta...