Habari jamani naombeni ushauri na naenda moja kwa moja kwenye mada, mwaka ulipita nilipata mpenzi ambae ndio nipo nae hadi leo hii, kiukweli huyu binti ni mzuri wa sura mweupe na ana shape nzuri...
Uzima upo? Majukumu yenu yanasemaje?
Sijui ni mlemavu, nitakuwa nipo tofauti au nina tatizo kutokana na maoni ya watu humu ndani.
Mimi siamini kwenye kupenda kusifiwa sifiwa, au kwenye kufanya...
Nilijenga kwenye kiwanja cha Mama mkwe, akaamua kuchukua mkopo kwa kutumia kiwanja hicho na wakataka mimi ndiyo nilipie!
Aliniambia tusijenge kwenye kiwanja changu kwa sababu ni mbali na mjini...
Mzee wa makamo alie ongozana na mwanae walikuwa wameketi pembezoni mwa kuta za mgahawa pale mlimani city,
Hawakuonekana kuwa ni wazoefu wa maeneo hayo japo kijana alionekana kuwa mtanashati...
Mbali na uwepo wa supermarkets(Stores) nyingi huku Marekani, pia yako masoko ya wakulima au wanaita Farmers Market, at least kwa hapa nilipo sijui majimbo mengine kama kuna farmers markets...
Habari wana Jamvi,
Hii imekaaje? Kama kichwa kinavyosema, mie na mpenzi wangu tumekuwa tukijiuliza sana pasi na kupata majawabu kwenye hilo jambo.
Inampelekea mpaka mwenzangu anapoteza hamu ya...
Ni heri angekaa kimya tu watu tumesha mdondokea ye anakuja na stori zake za akina H!! why,how and when...?
naumia roho huku machozi yananibubujika,nimeshindwa kula na stori yake sijasoma yote...
Leo nimewasili mjini Ushirombo nikaazima kitoyota allex. Yaani mpaka muda huu nishapelekea chuma barmaids watatu.
Hirizi ni funguo tu. Kesho nitakuwa nyakanazi.
Acha ujinga tafuta pesa.
Nb...
Unakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini
umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka...
Kuna wanawake ni nusu watu nusu hayawani.
Takriban wiki moja iliyopita muimbaji wa nyimbo za injili Marco Zabron wa kundi la Zabron Singers alifariki jijini Dar es salaam.
Mapema wiki hii...
Kuna ukweli wowote kwenye hili ndugu, jamaa na marafiki zangu? Lalamiko hili linasambaa kwa kasi sana aise...
Nini kifanyike kuzima uvumi huu wa kufedhehesha sasa, tusaidiane tafadhali...
Zaidi...
Nimeona nahitaji kupata uzao pia wa aina tofauti .
Vigezo
Awe na elimu ya form 6 na asiwe amewahi pata four secondary
Umri kuanzia 20 hadi 34
Asiwe na zaidi ya mtoto 1 .fursa kwa single mothers...
Wakuu habari, namshukuru MUNGU kwakua nilikuwa naumwa hapa karibuni ila kidogo nimepata nafuu, japo bado naendeleza dozi, na pia baada ya kuisha , nitaenda kufanya vipimo zaidi kuhakiki 🙏🏿...
LEO TUONGEE NA WANAUME ✍️
Mijini hasa majiji haya makubwa kama Dar unaweza kutana na mwanaume akakuomba shilingi mia tu ya muhogo ila kila ukimwangalia unabaki na maswali mengi, sio vibaya kuomba...
Tujibiiii
Hii sabuni mara nyingi naiona gest sasa najiuliza maswali kwenye pochi yake imefikaje na madukani ni ngumu kupatika yeye atakuwa kaipata wapi?
Mwanaume aliyeoa ni sawa na Greda linalojenga barabara lakini Barabara ikikamilika linaletwa Gari kubwa la kubeba Greda lisipite ktk barabara kwa sababu ya kusema litaharibu barabara.
Mfano huo...