Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakuu bila shaka mnaendelea vyema. Tumezaliwa watoto wanne , mimi nikiwa wa tatu. Mtoto wa kwanza ni wa kike yeye aliolewa wakati wa ukuaji wangu hivyo sifahamu sana kuhusu kumhusu. Kaka yangu...
46 Reactions
93 Replies
6K Views
Wana jf Habari za jumapili. Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua.. Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila...
22 Reactions
373 Replies
119K Views
Kwanza kabisa nianze kwa kuwapongeza kwa huduma ya penzi lenu mwanana hakika mna mahala penu mbinguni. Ushauri niliowaitia hapa ni kuwa dada zangu mnajisahau sana: 1. Unapokuwa mchepuko tambua...
31 Reactions
107 Replies
8K Views
PART 5 MICHEPUKO YA MUME WANGU NI NDUGU ZAKE WA DAMU Baada ya kupiga simu nikaingia chumbani nikamwambia Mercy vaa nguo uje huku tuyamalize, sikuwaambia kama Mama anakuja. Mume wangu...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
PART 1 MICHEPUKO YA MUME WANGU NI NDUGU ZAKE WA DAMU Zamani nilikuwa nikisikia mtu anasema Ndoa sio ya kukimbilia au mwingine akisema ndoa sio kitu cha mchezo nilikuwa naona kama wananionea wivu...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari waungwana! Baada ya familia kunikomalia nioe nikaona nianze msako ,dada yangu mmoja ni lecturer akanilengeshea kwa ka mwalimu ka sekondali (jina kapuni) Basi baada ya kutumiwa picha...
33 Reactions
91 Replies
4K Views
Komassava! Msaada wa ushauri. Kaka yangu ameoa na imepita miaka mitano sasa . Lakini hivi karibuni kagundua kua mkewe alikua kashazaa kipindi anasoma na kumuacha mwanae kwabibi yake na hakuwahi...
17 Reactions
107 Replies
2K Views
Wakati wa uchumba ulikuwa unajitahid kukata " mauno " mwanzo - mwisho mpaka nikasema hapa nimepata. Sasa tumefunga ndoa na una watoto wawili ndani, lakini mauno umesitisha, kulikoni? Yaani...
12 Reactions
113 Replies
10K Views
MY STORY; Simu ilipokelewa lakini hakusema chochote, badala yake nilisikia miguno ya watu wakifanya mapenzi. Siku tatu baada ya ndoa mke wangu kuniambia kuwa anataka kwenda kwao kumsalimia mama...
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Miaka miwili iliopita nimekuwa katika mahusiano na mpenzi wangu ambae kwa kiasi nilitokea kumuamini na kujihakikishia kama huyu angeweza kuwa mke wangu hapo baadae, Mchumba wangu alipata kazi...
7 Reactions
6 Replies
627 Views
Habari za muda huu wana JF, natumai ninyi ni wazima wa afya na kama kuna mgonjwa kati yenu basi mwenyezi mungu amponye. Bila kupoteza muda tuje kwenye mada husika iliotuleta hapa kwenye huu uzi...
7 Reactions
25 Replies
5K Views
"Aliona Ndoa kama biashara, tulifunga ndoa kwa miaka michache, akatalikiana na kuchukua 50% ya akiba yangu ya maisha. Pesa na mali zake zote hazikuwa katika jina lake" –Tyrese Gibson Hayo ni...
40 Reactions
398 Replies
8K Views
Yaani hamueleweki .. Ndo maana mtu anaona bora akutongoze tu na ukaribu ufe.. Kuliko kuanza kuwaambia wanawake wenzio..''aha kwani yule mwanaume basi ..hamna kitu pale " Kumbe mwenzio...
13 Reactions
55 Replies
2K Views
Hili suala la mimi kuwa Marekani mvumilie tu. Nimetoka mbali kama nilivyoeleza uzi uliotangulia. Basi bwana leo mzee wenu nikaambiwa kuna disco la kimyakimya sehemu(Silent disco). Nikasema ngoja...
10 Reactions
15 Replies
654 Views
Mimi nina mwanamke kiukweli nampenda sana na yeye ananipenda na tumejaaliwa kupata mtoto mdogo wa kike, lakini nyumbani kwetu hawamtaki hasa mama yangu mzazi pamoja na dada zangu. Ukizingatia...
4 Reactions
21 Replies
779 Views
Ipo hivii hawa wanawake ndio wahusika namba moja kwa kudate na masponsa. Na hawa masponsa wengi wao ndio viongozi wetu au ni watu walio kwenye vitengo vikubwa vikubwa wakiendesha taasisi au...
11 Reactions
13 Replies
641 Views
Katika kupita pita ofisini nimekutana na story ya lecturer mmoja alikuwa anafundisha na ndoa yake ilivunjika miezi mitatu iliyopita. Sasa ile naingia ofisini nikakuta mateacher wanaongea kuwa...
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Hello JF hope you are doing well! Twende kwenye mada. Huyu mzee tupo naye mtaa mmoja, ni mstaafu alikuwa nesi katuka hosii ya wilaya. Huyu mzee amejenga nyumba yake katika kiwanja kikubwa tu...
18 Reactions
12 Replies
799 Views
DADA SANAMU YAKO NAJENGA HUMUHUMU JF "Unalaumu eti Mimi ukoo niliotokea hawaolewagi kumbe shida hata sio Ukoo ,Bali tabia yako mbaya wewe ukikutana na mwanaume siku ya kwanza nikuomba hela...
11 Reactions
45 Replies
954 Views
Hello JF, Mwenzenu nimenuniwa Na mwanaume Wangu siku ya 3 Leo sijui kosa langu ni Nini. Last time kuongea Nae ilikua jumapili na tuliongea vizuri tu Kesho yake kimya nilimpigia Na SMS nikamtumia...
25 Reactions
453 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…