Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mwandishi - Diane Walls. Wanawake vijana, hii ni kwa ajili yenu. Mwanamke mmoja alifika dukani akiwa amevalia nguo zinazoonyesha mwili wake vizuri sana. Mwenye duka, akiwa mzee mwenye hekima...
6 Reactions
11 Replies
598 Views
KUNG'ANG'ANIA ASIYE HADHI YAKO SHARTI UKUBALI KUIGIZA NA KUTUMIKISHWA 😔 Sio vibaya kukubali kuwa huyo hamuendani kuliko kujitutumua uonekane ni hadhi yake huku sirini unaumia na kunyanyasika...
8 Reactions
10 Replies
521 Views
Habari... Wale mlio oa wanawake wanao fanya kazi za shift za usiku tuambieni mnawezaje kulala na mtoto mdogo mpaka asubuhi mama yake anapo kua katika shift ya usiku kazini kwa kuzingatia mtoto...
10 Reactions
78 Replies
4K Views
Mshangazi kanikwida nakunipiga kama mwanae katumia unene wake kama siraha dhidi yangu, kanilalia nikashindwa kuinuka akaanza kunipiga makofi ya mgongo hachagui, nilipojitahidi kuinuka akanizoga...
9 Reactions
52 Replies
1K Views
Maana bila pesa hapo katikati ni sawa na hasara kwenye biashara. mapenzi hayafanyiki kabisa.. Mtu moja ana hudumia au kuhumiwa na michepuko zaidi ya minne, ukavu na msinyao wa via vya uzazi ni wa...
14 Reactions
70 Replies
2K Views
Ndugu zangu natumaini mnaendelea salama kwa wale wenye changamoto ya kiafya na kiuchumi Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi . Amina Bila ya kupepesa macho huu ni ukweli usiopingika kwamba mnao...
1 Reactions
6 Replies
406 Views
Unakuta, Mdada kakodi fremu kodi 1m, kaweka vigauni na madela, ukipiga hesabu yake vigauni kama 7, na Madela 15 jumla haifiki mtaji wa 1M anashinda hapo kila siku. Mashoga zake wanamtembelea...
49 Reactions
207 Replies
10K Views
Mapenzi asilia nini? Ni mahusiano baina ya wapenzi yenye kufuata tamaduni fulani iliyopo kwenye jamii walipo au asili ya jamii wanayotoka wapenzi hao. Mfano, kama wapenzi watachagua kuhusiana...
1 Reactions
3 Replies
636 Views
https://x.com/crazyclipsonly/status/1826962090382561718 Tafrani yazuka kwenye sherehe baada ya Mume kushika maiki na kueleza umma uliokusanyika kusherehekea (jionee mwenyewe)
3 Reactions
9 Replies
765 Views
Wakuu Kama Uzi unavyojieleza Nawezaje Kuchagua Mwenzi sahihi? Au nsubiri Mke mwema kutoka kwa Bwana Naomben ushauri Ilinifikie Malengo yakuowa
4 Reactions
125 Replies
1K Views
Kila mtu kwa itikadi yake naamini Mungu wako anakutetea. Disclaimer:Ndoa ni muhimu tu kwenye malezi ya watoto,kwamba watoto watakua wakishuhudia malezi namapenzi ya wazazi wote wawili. Hii mada...
19 Reactions
53 Replies
3K Views
Nawasihi Usioe Mwanamke mpumbavu! Full Part 1 Part 2 Part 3 Eti anasema kabisa “kaiba mishumaa yangu” Aah kmk
8 Reactions
66 Replies
4K Views
je faza house atatoboa au atakubali kadi nyekundu
4 Reactions
6 Replies
614 Views
Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani. Sababu z kuachana 1. Mlevi kupindukia 2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3 3. Ameoa anaishi...
16 Reactions
74 Replies
2K Views
Nijuavyo mimi wanawake wote wajibandikao kope na kucha bandia huwa hawamkubali aliyewaumba, ni wapinzani wa wazi wazi wapingao uumbaji wa Mungu. NB mtu yeyote anayepingana na MUNGU MUUMBAJI...
7 Reactions
82 Replies
4K Views
Mtoto Giles Mtoto uliyejaaliwa, ukipishana na mwanaume hata kama ana mwenzi wake lazima ageuke, ukiembea makalio yako yanacheza huku yakitetemeka na kusababisha mioyo yetu kwenda mbio. Umekula...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Limbwata ni uchawi wa mapenzi unao tumika sana katika ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki. Lengo la uchawi huu ni kumpumbaza mwanaume na kumfanya asiseme chochote kwa mwanamke...
17 Reactions
203 Replies
45K Views
Ukweli mchungu wa chanzo cha Mahusiano na Ndoa kuvunjika ni Wanawake kukataza Waume zao kuwa na Wanawake wengi bila kukumbuka kuwa Mwanaume anatulia na mke mmoja anapofikisha angalao miaka 60...
0 Reactions
26 Replies
1K Views
Hallow wanajf, Nimepata PM nyingi sana za wadau wa jf na zote zilitokana na comment yangu kweny uzi wa mwanajf mmoja aliyekuwa anamfatilia mpenz wake kwa njia ya whatsapp Web, wengi walitaka...
37 Reactions
248 Replies
23K Views
Katika tembea tembea zangu, nimekutana na wengi wa mashangazi wana maumbo mazuri, chura ya kuvutia ikiwa ikinesa nesa, wanakuwa na swaga za kianamke; kusema ukweli nikikutana nao huwa nashindwa...
12 Reactions
90 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…