Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakuu nisaidieni mawazo kidogo, Nina jamaa yangu hivi majuzi kalazimika kurudisha pesa za michango ya harusi yake baada ya mwenza wake kugoma kufunga ndoa. Ishu iko hivi jamaa anafanya kazi...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Wasalaam? Hivi mtu ukitoa mahari unapangiwa na siku/tarehe ya kuoa au? Maana nataka nilasimishe nitoe mahari nimchukue tuanze kuishi pamoja kuhusu ndoa nimepanga nitafunga baadae kidogo uko...
1 Reactions
4 Replies
275 Views
Kabla ya kulalamika kwamba mke wako hakuheshimu, kwanza jiulize mwenyewe kama unaheshimika. Heshima ipo kwa wanaostahili, si kwa wanaodai. Jiheshimu kwanza na yeye atakuheshimu. Huwezi kulala na...
21 Reactions
204 Replies
9K Views
Dah yaani hapa natoka kuachika Kwa sababu ambazo naziona sio za msingi kabisa, nimempa 100k akafanye ishu zake nyingine bila hata kuniomba. Hata Asante hakusema, juzi ananiomba Tena shilling laki...
18 Reactions
220 Replies
8K Views
Kwa umri wangu huu (nimekula chumvi kiasi) nimeona na kujifunza mengi kuhusu mahusiano ya kimapenzi na ndoa. Nimeshuhudia vijana wengi waliokimbilia maisha ya ndoa wakipoteza muelekeo wa maisha...
43 Reactions
230 Replies
8K Views
Wakuu pokeeni salamu zangu, Mahari kama inavyochukuliwa na jamii nishukrani kwa wazee kwa ajili ya kumtunza binti, kwa hali ya sasa ilivyo ni vigumu kupata binti aliyejitunza mpaka siku ya ndoa...
11 Reactions
222 Replies
21K Views
Wakuu natumai nyote hamjambo. Kwanza kabisa nipende kusema jukwaa hili naliona kama familia, kiukweli najihsi huru kuweka my concerns hapa kuliko kuzungumza na mtu, ndio sababu nalileta hili...
21 Reactions
122 Replies
2K Views
Ndoa hizi zitatuua. Jamani ipo hivi. Mimi ni mume mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani...
30 Reactions
176 Replies
7K Views
Hii tabia ya kuchepuka imekuwa kero sana. Kwanini usiombe talaka ukigundua uliyenaye hakutoshelezi kwenye 6 kwa 6 , badala yake unaendelea kuishi naye huku ukichepuka? Wanaume wengi tunaumizwa...
0 Reactions
6 Replies
482 Views
Tusiachane daima. Nitaambatana
2 Reactions
0 Replies
132 Views
Nahitaji mwanamke wa kuoa. Awe mcha Mungu umri kuanzia miaka 35 hadi 40 Mwenye bidii ya kufanya kazi na nidhamu ya Pesa. Mengine tuwasiliane inbox. Karibu
7 Reactions
27 Replies
676 Views
Kuna baadhi ya vitu ukikaa ukawaza unaona kabisa ni kama tunaforce kufanya jambo kwa wakati usio sahihi mfano mzuri ni watu kuamua kuanzisha familia kwenye chumba kimoja. Ni maisha ya aibu...
19 Reactions
95 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisoma visa mbalimbali kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu yaliyowakuta wanawake walioambiwa “Acha Kazi nitakutunza”. Baada ya kuacha sasa wengi wao wameambulia mateso kutoka kwa wenza...
19 Reactions
70 Replies
2K Views
Wadada wanaigiza kuingia kwenye mahusiano ili kupata mahitaji yao ya msingi hasa yahusuyo fedha, huku mwanaume akiaminishwa kupendwa kweli, kumbe ni utapeli mtupu. Na hii inakuja kujulikana pale...
27 Reactions
104 Replies
2K Views
Mtangazaji wa WasafiMedia "Diva" amempa sifa kedekede Mpenzi wake kwa kile anachodai Mpenzi wake ni mtu Tajiri anayejua Mapenzi.... Kupitia ukurasa wake wa Facebook Diva anaandika.........."Sema...
3 Reactions
12 Replies
582 Views
Wakati mwingine ni kweli wanakuwa na maneno ya kuudhi au kwa lugha nyingine unaweza kusema wana mdomo, Kamwe huwezi kumbadilisha mwanamke tabia kwa kipigo, ni mtu mzima amelelewa kwao na wewe...
2 Reactions
33 Replies
955 Views
Signed out forever
25 Reactions
206 Replies
4K Views
Mamboo Naomba mnijuze umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi tusije pishana na umri. Mwanaume kwa kawaida anaoa akiwa na umri gani?
12 Reactions
112 Replies
2K Views
Kuna pisi moja niliisotea kwa muda sana. Kuna siku niliikaribisha gheto ikaja ila ikaninyima mzigo kwa kisingizio cha kuwa period, tukapanga akipona tupelekeane moto. Kabla hajapona nikagundua...
3 Reactions
35 Replies
926 Views
Hivi mwanamke ni kiumbe wa namna gani? Kumbe wanashawishika kirahisi. Kuna binti Wa miaka 23 katolewa mahari na amesha tangaza na uchumba kabisa ila chakushangaza katoroka na mwanaume mwingine na...
16 Reactions
76 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…