Mi sina uhakika, ni maneno niliyoyasikia kwa watu nilivyokuwa chuoni! Eti wanawake (mademu) wengi waliopo vyuoni wanaotoka mikoa niliyotaja hapo juu (Mbeya, Njombe and Iringa) ndiyo wabaya kwa...
Nimeikopi mahala.tafadhali ewe mwanaume.jifunze kitu.
TUNZA UUME UHESHIMIKE
Uume imara ni heshima kwa mwanume na furaha ya mwanamke, bila uume huwi mwanaume. Uume ndio kiungo muhimu katika...
Wadau nawaalika katika mjadala, washiriki wakuu naomba wawe Smile, Mayasa Heaven on earth, Natalia na Mrembo by Nature! Bila kujaliwanapoishi..nadhani kila mtuanajua juu ya kufanikiwa kwawadada...
Ni kama masikhara ila jomba hakikisha unakuwa uko fit sana kwenye kimojawapo. Kama umeamua kuwa mtu wa kanisa au msikitini basi hakikisha unashikilia sana huko. Kwa wale wazee wa mambo ya kimila...
Inawezekana kila mwanaume anahitaji mapenzi kutoka kwa mwanamke katika uhusiano lakini mwanamke hupaswi kujidanganya kwamba mapenzi pekee yanatosha kwa mwanaume.
Kuna sababu mbili ambazo wanawake...
UNYANYASAJI WA KINGONO NA RUSHWA YA NGONO
Kumekuwa na tabia isiyopendeza katika jamii hususani mahali pa kazi ambapo baadhi ya waajiri au mameneja wa waajiri wamekuwa na tabia ya kuwanyanyasa...
Wakuu maisha yangu yote sijawai kujihusisha na mapenzi, nilikua napendwa sana na galz but nilikua sina time nao. Wakati nipo 6 niliingia kwenye mahusiano na dada m1 but nilimwacha bila sababu...
Hi
Nikifikiri kuhusu mapenzi naona mimi nimeumbwa kupenda na kuumizwa ila sio kupendwa mda wote unachunwa mpaka akiba
Vuta picha unakutaka na ex wako yupo na rafiki yake rafik yake anakupa...
Ndugu zangu
Wanaume ni kweli tunapitia magumu ila kamwe tusikubali hizi dharau kutoka kwa hawa wanawake.
Ni mara mia kama unajua huwezi kuichapa uache kusumbua wanawake .
Iwe kiuchumi, kitabia au kimaadili sio wajibu wako kumbadilisha mwanamke, huo ni wajibu wa wazazi wake. Kama unataka mke msomi, mwenye tabia nzuri au anaejiweza kiuchumi, basi tafuta mwanamke...
Wapendwa natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo na kushauriana mambo mbalimbali . Mimi ni mwanamke wa miaka 33 ninayejielewa ni ivo tu [emoji28] maisha
Habari wana MMU.
Naomba nisimulie yaliyonipata siku ya jana Jumapili.
Nina mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano hata miezi minne haijafika. Kiukweli nilipenda haswa mpaka muda huu, naye...
Huu mwezi ushakua mwezi wa shetani kwangu
Leo ilikuwa uhakika mademu watatu walijaa kwenye kilengeo
Nimeshapaka zangu viksi lotion nimejiboost uhakika
Aisha msomali
Irene komwe
Judi mlaaniwe huko...
Unakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua na juhudi sana na wewe utapigiwa sana message kwa sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention kwa sana the moment tu mwanamke ameanza tu...
Nimeona tupate uzoefu kidogo wa maisha ya ndoa ambao na mie nimeupitia..
1. Historia ya ndoa kwao, anzia ngazi ya wazazi je wapo kwenye ndoa au wameachana, je ? kuna ndoa za mitara kwao , pia...
Kuna sababu nyingi kwa nini msichana anaweza kupenda kujipiga picha na kuweka kwenye mitandao baada ya kufikisha miaka 27 bila kuolewa.
Moja ya sababu inaweza kuwa ni
😍njia ya kujisikia vizuri...