Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habarini wanajukwaa Leo nimeamka na roho ya huruma kuwahurumia wanaume wenzangu wanaoteswa na wanawake hivyo nikaona ni share vitips viwili vitatu vya kuwafanya waenjoy mapenz kama mimi maana...
5 Reactions
19 Replies
625 Views
Niende moja kwa moja kwenye mada kengefu Najua na nataka wote tukubaliane kwamba tuvae condom kwa usalama wetu na wale tunaowajali, lakini kuna nyakatai, katika harakati zetu ovu za ngono...
21 Reactions
128 Replies
7K Views
Na ni nani aliyewadanganya Waswahili kuwa ili uwe Mshauri mzuri wa Jambo fulani basi ni lazima uwe una Uzoefu nalo kwa Wewe mwenyewe kukupata? Tanzania mpaka sasa ( japo wapo wanaojitahidi ) ila...
1 Reactions
18 Replies
383 Views
Napitia kipindi kigumu ndugu zanguni katika kipindi hiki kigumu cha wanaume wazee wa vilainishi Daslamu. Mtaani naanza kuishi kwa mashaka sana Hivi karibuni imeibuka hali ya kuzubaa ambayo...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Hii ni story ya kweli ya ndoa yangu iliyodumu kwa miaka Saba (7)....lengo la kuandika bandiko hili ni Kwa wadau ambao wanataka kufunga ndoa au kuingia katik Maisha ya ndoa..wajifunze kitu Fulani...
18 Reactions
160 Replies
8K Views
Sikuzote kumbuka Jipende wewe Watoto Mke It should always be in this order Watoto wako wanaweza kukua bila kuthamini sacrifices you made for them kwa sababu mama yao aliongea uongo dhidi yako...
9 Reactions
13 Replies
325 Views
Siku chache nilipost natafuta mtu wa kunizalia. Uzi wenyewe huu: Natafuta mwanamke wa kunizalia Basi baada ya kuona watu wengi wanaokuja wako kimaslahi nikaamua nirudi kwene list ya ma ex zangu...
10 Reactions
89 Replies
4K Views
mathalani, kwa muda mrefu, na kwa hamu kubwa, mmepanga au kuahidiana kukutana faragha kwa ajili ya kushiriki penzi moto moto na kipenzi chako, halafu ghafla umefika eneo la faragha tayari kwa...
8 Reactions
64 Replies
2K Views
Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamua kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai. Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke. Tuishi nao kwa...
32 Reactions
88 Replies
7K Views
I remember in 2010 I met English woman called Patricia. She came in my town as part of group of students came to volunteer in a certain organization which deals with children living in vulnerable...
3 Reactions
61 Replies
6K Views
Kwema wakuu, Kwanza Asante Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kupata kazi. Pia ambayo bado hajapata usikate tamaa endelea kupambana sana na kumuomba Mungu. Ipo hivi hapa nina kama miezi mitatu tu...
1 Reactions
7 Replies
578 Views
"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo...
48 Reactions
136 Replies
3K Views
Ndivyo unavyoweza kuweka baya kuwa sisi Wanaume amabao tuko vizuri kwenye angle ya kupeleka moto, kasoro yetu kubwa hatuko romantic na mahusiano yetu mbali na kigezo cha pesa huwa hayadumu...
2 Reactions
7 Replies
349 Views
Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote. Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno...
18 Reactions
208 Replies
6K Views
TANBIHI: Andiko hili ni kwa ajili ya watu wanaotaka wenzi kwa ajili ya kuishi hivyo kama lengo lako ni kula na kuacha huna uhusika wako hapa. Mvuto wa nje ni sehemu muhimu sana kwenye mahusiano...
8 Reactions
26 Replies
868 Views
Ndugu wanajf, naomba tupeane ujuzi, Kuna binti Moja nimetokea kumpenda, nimemwambia kuwa namuelewa nae akakubali ila shida ninapomwambia swala la kummega ananipa kalenda daily. Naomba munipe...
6 Reactions
76 Replies
1K Views
Angalau kila ofisini rasmi sehemu za mijini huwa na wafanya usafi mara nyingi huvaa uniform/sare maalumu hawa ndo kimbilio la madomo zege walio wengi humo. Yaani ukimtaka tu unapanga nae ama...
20 Reactions
295 Replies
71K Views
Kama mwanamke hujamlipia mahari, kwao hawakujui ama mnajuana juu juu, hujakabidhiwa uishi nae, n.k. hasira za kulipiza kisasi unazotoa wapi kwa mali isiyo yako ???
5 Reactions
5 Replies
295 Views
1. Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani. NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa...
113 Reactions
338 Replies
49K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…