Hakika sitasahu Hii kitu, Nilijiamini Mimi Mwenywe Nikamuamini Na Huyo Mwanamke,Nikashiriki nae Tendo bila ya kutumia Kinga
Nikawa wa moto kwenye Mechi Nachapa Miguu yote Mara Nashika dimba Mara...
Mimi sijawahi kuachwa, sina uhakika sana na uchungu wa kuachwa, lakini kupitia nyinyi nimejiridhisha kwamba mapenzi yanauma na matokeo yake ni kudhoofu afya na roho.
Pamoja na karaha zake...
Habari zenu Wana JamiiForums?.
Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Kwa miezi kumi sasa. Dada huyo ni mama WA MTOTO mmoja WA miaka mitano, jamaa aliyezaa naye walisha achana siku nyingi...
Familia zilizo nyingi kwa sasa mke, mume hulala kwenye kitanda kimoja 6* 6 , au 5*6 na mkiwa na mtoto mdogo naye atalala hapo. Lakini kwa wazee wa zamani hili lipo tofauti kidogo, babu yangu...
Hii baridi linaloendelea mijini na vijijini linafanya mahusiano yawe ya karibu na ya moto sana miongoni mwa wachumba na wanandoa hasa mapumzikoni usikuwengine hadi , walichuniana lakini hali ya...
Hapo vip!!
Nimekuwa nasikia sana huu msemo wa lishangzi.
Sifa za mashangazi ni kama zifuatazo.
1. Awe na miaka kuanzia 30 na kuendelea
2. Awe single mother au single kawaida.
Kama unasifa...
Ama kweli ibilisi wa mtu ni mtu!
Huyu mwamba anataka kuniharibia ila amechelewa kipindi Niko field hospital x yeye alikuwa intern hospital hiyo hiyo, nilitokea kumpenda sana hii ni baada ya yeye...
Ndoa nyingi za sasa zimekuwa zikivunjika kwa sababu mbalimbali ikiwemo wanandoa kuishi maisha ya kuigiza kabla ya kuoana na baada ya kufunga ndoa kujikuta wakifahamiana kwenye uhalisia hivyo...
Habari wakuu mwenzenu nna changamoto Nina mke na mtoto Mmoja lakini kwenye ndoa amani imepotea mke wangu kawa mchepukaji na anaechepuka naye namjua.
Sihitaji kuvunja Sheria wa kufanya ubaya na...
Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.
Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja...
Habari zenu,
Kuna wanawake wanajisafisha sehemu za siri kila siku kama mtu anavyopiga mswaki meno yake.
HUU NI UJUMBE WAO TOKA KWA DAKTARI, "Mwanamke Anaejisafisha kila siku kwenye sehemu ya...
Kuna wanaume wengi Sana wanapata tabu na vibomu vya wanawake, na wamekuwa wahanga kweli kweli.
Sasa leo nataka kutoa mbinu za kukwepa vibomu hivyo bila kuathiri ukaribu mlio nao .
Pia Kama...
Yaani ukiwa handsome hutumii nguvu nyingi, unaweka miadi na mtoto, ukikutana nae, ukivuta tu anakuja kifuani hana pingamizi.
Mwishowe anafunguka kuwa alikuwa nakuelewa sana alikua akikuona...
Baada ya kuwa mbali kimajukumu... Nilipata simu pendwa ya Mama Alpha.
Mama Apha; Mume wangu siku ya Jumamosi nitaenda Dar kumfanyia Shoping ya hapa ndani.
Mimi(mume); Aah sawa usijali na je...
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27, mkazi wa jijini Dar es salaam.
Nimepanga na nina kazi. Moja ya malengo yangu nikuwa ikifika mwisho mwa mwaka huu niwe tayari na mke au...
Huyu rafiki yangu (mchepuko) ana ujauzito wa miezi miwili; baada ya kumuona jana jioni hana mishe, nikaamua kumpigia simu ili nimtoe 'out' angalau tukapige kitimoto na maji ya dhahabu...
Ni mwanamke wa 28 yrs anapendwa sana asipopapenda na maisha ya huku asipopapenda mwanaume ni jobless msomi aliekosa ajira tangu ahitimu 2018 maisha ni ya vibarua lakini kaka anamsihi dada waoane...