Inakuwaje wanaJamiiForums
Kama ilivyo tamaduni yetu WanaJf kushea experience lengo ikiwa ni kuhamasishana kujenga familia, kupeana moyo n.k.
Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata kwa bahati mbaya au...
Nimefarijika kuona haya maaandamano ya kupinga ushoga na usagaji! Dini ina dhima kubwa sana kwenye hili tatizo lakini kuna makosa kibao na ya wazi kabisa, hivyo badala ya kumaliza/kupunguza tatizo...
Kinachotuuma wanaume sio wewe kugawa nje hapana kinachoumiza ni vile mwanaume mwenzangu kuona utupu wako na kujua uzuri na udhaifu wàko wakati si mmiliki wa mali.
Sisi wanaume tukiwa faragha uwa...
Ilianza Send off, hii ilifana sana mpaka nikajiuliza kimoyo moyo harusi itakuwaje!
Naam siku yenyewe ikafika haloo, sijui hata niseme vipi ila dah harusi yangu ilifana sana sana!
Picha linaanza...
Wakuu
Mimi ni kijana miaka 30 sasa, nimekuwa nikijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wa aina tofauti tofauti, lakini mwisho wa siku najiona kabisa nahitaji kuoa mapema hapo mwakani...
Habari wanajukwaa la hili La Moto siku zote.
Leo bhana nimekaa nikaikumbuka Ex yangu na kitu iliwahi nifanyia baada ya kuachana.
Huyu binti nilikua napiga Miti sana enzi hizo nipo nae yani hadi...
Ni kijana mwenzangu sekta ya afya, mwaka huu mwanzoni aliamua kwenda kutoa posa kwa binti ambaye alipanga aanzishe naye familia.
Binti mwajiriwa wa serikali na asili yao ni kanda ya ziwa ila...
Wanajamvi, nataka kuoa Usukumani. Demu mwenyewe yuko hapa Dar lakini tukikutana anakula kuliko mimi. Huwa wanakula nini na nijiandaye kwa lipi kwenye hili la kula?
Shout out to you brothers, wengine kati yenu mna vipaji vya kuelezea story k.v Eric shigongo, wengine mnatoa post zenye falsafa iliyo timamu, wengine kati yenu huwa nikisomaga comments au post...
Asilimia kubwa ya wanachama wa hii kampeni ni jinsia ya Me, na nimefatilia sababu kubwa hasa ya hii kampeni ni kupigwa jeki kwenye tendo la ndoa Kwa hao wapenzi wao.
Hii jinsia Ke imeingia kwenye...
Kama Uzi unavyo jieleza! leo ndio nimejua nyumba zinaficha mengi . Leo nimeshuhudia ndoa iliyokuwa inatazamwa kama mfano hapa mtaani kwetu inaishia ukingoni.
Baada ya sokombingo kali kati ya mume...
Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu...
Usiyoyajua kuhusu mimi
1. Nikishaanza utekelezaji huwa sitaki ushauri katika safari ya utekelezaji.
2. Simwogopi mtu yoyote kwa sababu pia najitahidi kutovunja sheria.
3. Nikiamini jambo...
Huu ni ujumbe muhimu kwa wanawake wote, unaanza hivi.....
Ikiwa una mwanaume(umeolewa) maishani mwako, mtunze na umheshimu kwa kila njia.
Ikiwa wewe ni mseja , ishi maisha yako kwa ukamilifu...
Mambo yafuatayo yameorodheshwa kuwa ndiyo tofauti kuu kati ya mvulana na mwanaume
1. Uwezo wa kukabiliana na magumu. Mvulana akipata magumu hulalamika au kukimbia kabisa magumu yake, mwanaume...
What is this jamani?
Nikienda kwa kademu kangu ka uswazi, huko napiga mambo mpaka mtoto anadata, anawatukana hadi wazazi wake kwa kuweweseka na raha nimpazo.
Nikitaka kujirusha na mama mwenye ndoa...
Nina kibabe changu kidogo dogo kimezaliwa kati ya 2000 - 2005, kipo chuo ndio hawa hawa suppliers wa UTI sugu na yaambatanayo
Sasa juzi saa 8 usiku kimenitumia text eti nakipa daddy vibes na...
Shalom,
Ama kwa hakika hakuna zaidi ya Mungu, nimeteseka sana na kupambania PisiKali na kuzagamua, I thank God that I have able to maximally refrain from lack of self control sexually.
Kwa sasa...
Sasa hapa nimueleweje?
Nilikua nampango wa Kupiga Kwa ndom tu, ila sasa inabidi, nimpime alafu nipigie ndomu.
Kanikata stimu sana, sema kafanya vizur maana angekuja kama tulivyoonana pengine...