Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wamiliki wa Daladala nchini Denmark wamebuni Mbinu mpya kwa Abiria ambao hawataki Kuoa kama GENTAMYCINE au Kuolewa kama wengine ili waweze kuwapata Wenza wao ndani ya hizo Daladala. Ni kwamba...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Kitu ambacho wanaume wengi hamkijui ni Tabia za mwanamke ambae Anajitafuta au ana hali ngumu kimaisha huwa ni kama simba jike mwenye njaa kali so chochote kitakachotokea mbele yake kama kimenona...
91 Reactions
247 Replies
17K Views
Sasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa. Na ukiwaangalia ama kuzungumza nao kuhusu kuoa au kuolewa, wanasema wazi wazi kabisa kwamba...
11 Reactions
113 Replies
3K Views
ZAMA ZAKO ZIKIPITA KUBALI KUACHIA WENYE ZAMA ZAO WAFURAHIE😊 Mambo uliyotakiwa ufanye ukiwa na miaka 10 ukiyafanya leo una miaka 30 Utaonekana kituko 😊 Na usipokubali umri wako ukaanza...
7 Reactions
19 Replies
809 Views
1-Dar es salaam. 2-Pwani 3-Morogoro 4-Dodoma 5-Tanga Chanzo :jukwaa la ndoa Tz
3 Reactions
10 Replies
489 Views
Tunatakiwa kutambua kuwa viumbe KE hata wafanyiwe kitu gani hawaridhiki. Jambo la kufanya ni ku-focus na maisha yako, jipende, kula bata, jali watoto wako (kama unao). Wanaume tunakufa mapema...
8 Reactions
18 Replies
479 Views
Ndugu zangu 1 Wakorintho 11:9 Wala mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanaume Siku zote wanawake ndiyo wenye uhitaji na wanaume, na wao ndiyo waliumbwa...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Kwa masikitiko makubwa. Ndugu zangu sina haja ya kusalimia maana najua kabisa ndoa ni mateso na mlio oa mnateseka sana ila hamtaki kusema mnayabeba moyoni kama wanaume poleni kwa kweli. Kweli...
23 Reactions
56 Replies
5K Views
Nukuu hizo 6 ni hizi zifuatazo 1. FURAHA NA HUZUNI Khahlil Gibran alijibu baada ya kuulizwa kuhusu furaha na huzuni akasema "Furaha yako ipo ndani ya huzuni yako.Kicheko kikubwa na tabasamu pana...
11 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwema Wakuu! Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa linapokuja swala la kupasuana, kuumizana, kutesana, kukatiliana na kusalitiana kati ya mwanaume na mwanamke basi sisi wanaume ndio tunaongoza. Sio...
17 Reactions
89 Replies
3K Views
People i missed you, mko poa? Leo nimejaa full mahaba, nataka nikufundishe ewe dada mambo matamu sio kila siku mtoto wa kike unalia lia hupendwi kumbe mchawi wewe mwenyewe. Kwanza kabisa...
23 Reactions
173 Replies
31K Views
ukiangalia Mhehe/ Mbena moja moja wapo pasua kichwa lakini ukiangalia kwa jicho la wastani / average wanawake wengi wahehe na wabena wanapoingia kwenye ndoa huwa ni loyal, ride or die, wavumilivu...
13 Reactions
41 Replies
1K Views
Niliwahi kuandika makala kuhusu mahusiano kati ya Aziz Ki na mrembo wa kuchanua misamba Mobetto, mahusiano yamezaa athari chanya kwa wapenzi wa soccer nchini Aziz Ki alipewa offa na vilabu...
0 Reactions
5 Replies
513 Views
Fanya juu chini usafiri hata kidogo ufike hapo rwanda kama uwezi kuvuka bara la afrika.ila kuna nchi unaweza kuwa na pisi kali mpaka ukajiuliza mbona wapo huku. Kuna haka kisiwa cha cyprus yani...
15 Reactions
35 Replies
1K Views
Salute comrades! Hitmaker wa NIPENI MAUA YANGU, Roma Zimbabwe kupitia ukurasa wake wa Instagram amewausia vijana wa kiume wanaojiandaa kuoa kwamba wasikurupuke tu kufanya maamuzi ya kuoa bali...
12 Reactions
51 Replies
2K Views
Wanaume wengi wamepumbazwa katika ili neno "kuwajibika" kitu ambacho kinapelekea wanaenda extra miles kulazimisha wafanikishe mambo yasiyokuwa na ulazima hata kama wanajiumiza au kujirudisha nyuma...
16 Reactions
83 Replies
2K Views
Akiwa mfanyakazi wa Redio Berlin Internation nchini Ujerumani, James Lembeli alikutana na binti wa Kijerumani, Birgit Lifka, wawili hawa wakaanzisha urafiki uliowapeleka kwenye uhusiano wa...
21 Reactions
97 Replies
2K Views
Kuna mademu ambao wao ni kukutafutia vita na watu. Mwanamke mzuri lazima atongozwe kwanini akitongozwa na marafiki tunaojuana ndo huja kutufitinisha nao lakini wakitongozwa na watu wa mbali...
5 Reactions
15 Replies
633 Views
Ukiona unampenda mtu halafu bado kuna mambo ambayo unaona unataka uyabadilishe kwa mtu huyo basi tambua hujampenda kwa jinsi alivyo. Mapenzi ya kweli ni kumpenda mtu kwa jinsi alivyo pamoja na...
4 Reactions
1 Replies
290 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…