Habari za humu ndani
Mabibi, Mabwana na Nk.....
Jamani nimekaa nikiwaza mda huu usiku wa 1:07 Am usiku.
Ni kweli tunapitia hali ngumu ya maisha lakini hii sio sababu ya kukufanya kutoweza kuwa na...
Habari wanaJF. Nina imai mko poa kabisa
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Nimekuwa na mahusiano na wasichana takribani watano mpaka sasa hivi, ila cha kushangaza kila demu napokuwa kwenye...
Wakuu,
Meli inaweza kumilikiwa na Watanzania, ikaendeshwa na wazambia, ila usajili wake ukafanyika Pakistani.
Kampuni inapofilisika,mkatengana au kubadili Umiliki lazima mrejee Sheria za...
Habari wanabodi wenzangu, Katika maisha kuna kuoa na kuolewa, hivyo kuna kutoa talaka na kupewa talaka.
Katika hali zote hizo maisha yanaendelea, kuna ambao hufanikiwa zaidi au kurudi nyuma...
Tangu nikiwa na miaka 19 nimekuwa nikipiga vita sana dada zetu kuruka ukuta.
Ila naona wazi ni kama wanatukatisha tamaa sisi wapinga hivyo vitu. Kuvuja kwa baadhi ya clips za wasanii wa kike...
Mimi ni mama wa miaka 40, ninafanya kazi na nina kipato kizuri tu. Sababu ya kuja kwako kaka ni kwamba mume wangu ni malaya sana, ni mtu wa wanawake na hahudumii familia, kila kitu nafanya mimi...
Mimi ni mama wa watoto 3 na nimeolewa; ndoa yangu ina miaka 7 sasa. Mimi na mume wangu tulikuwa vizuri, lakini mwaka jana, kuna rafiki yangu mmoja alifiwa mume wake nilimsaidia kwa kumchukua...
Kuna kibidada Leo nimekiacha asubuhi kimeniambia tumekuwa kwenye mahusiano muda sasa.
So kinataka nikioe so niende kwao na 1.5m kama mahali bado gharama za harusi..
Nimekiambia kitafute mwanaume...
Kama wewe sio mdangaji na haujaolewa!
1. Ukiona mtu Yuko kwenye ndoa halafu anakupigia kelele unaolewa lini kila siku, jua ndoa Yake ina shida anapitia mazito kwenye hiyo ndoa, anakuonea wivu...
Habari za muda huu wapambanaji
Mimi ni kijana mwenye umri wa 30's, napenda kushea na vijana wenzangu maisha yangu hasa katika eneo la mahusiano yasio rasmi, yaani kuruka ruka Bila kujali afya...
Don't give your woman a life that you have not giving to yourself.
Don't buy your woman iPhone 12 while you are managing Spark 4.
Don't buy her the best of clothes, while you starve yourself of...
Wakuu, habari?
Natumaini bado mnaendelea kumalizia sikukuu kwa mapochopocho ya hapa na pale ili mradi kufurahisha nafsi pamoja na kujipongeza kwa uhai ulionao mpaka siku ya leo.
Inawezekana...
Ni mambo ya kawaida yapo na yanaongezeka kila siku.
Nisiwachoshe sana si mbaya kupata uzoefu kwa wale mlioachana kwenye ndoa na jinsi ulivyoteseka ama kufarijika baada ya kuachana.
Je, procedure...
Mapenzi bado yanaendelea kuwatesa vijana.
Tulikuwa tunaangalia gem ya simba leo jioni Bar fulani ipo Mikocheni ambayo ina Lodge pia. Ndipo tukashuhudia tukio la ajabu sana.
Dada mmoja ambaye...
Shalom shalom wana wa Mungu alie hai. Naamini wote mu wazima kwa uweza wa Mungu wetu juu mbinguni
Biblia inasema penda kubariki ili ubarikiwe na anaye kulaani atalaaaniwa.
Napenda kuwatakia wote...
First encounter: Alikuja mrembo mmoja ofsini kwangu na kwakua ulikuwa muda wa kukaribia kufunga, akawa mteja wangu wa mwisho kumhudumia kwa siku hyo. Baada tu ya kumhudumia nkajiwahisha kusign out...
Habari wakuu,
Hapa nakusudia mwanamke mwenye mtoto ambaye si wako, Mtoto ambaye kwa kiasi kikubwa bado anahitaji ukaribu na mama yake.
Nimeshuhudia ndoa ya Jirani yangu ikiyumba baada ya mtoto...
Wadau mimi nina uzoefu kiasi za mabinti short-chasis a.k.a nyundo
Karaha;
1. Maneno mengi hata kwa ishu ndogo ya kuelewana (vuvuzela)
2. Poor appearance/zero nyago (refer kucheza kwaito...
Ni ukweli wala sio utani kwamba baadhi ya wanawake ambao bado hawajaolewa hawavutiwi tena na hatua ya uchumba kabla ya ndoa.
Utafiti mdogo uliofanyika unaonyesha kuwa wanawake wamechoshwa na...