Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakuu nmeshuhudia marafiki zangu wastaarabu wamepata wake wakorofi sana, na marafik wakorofi wamapeta wake wastaarabu, na maranyingi wale wakorofi wanathaminiwa lakin hawatambui thamani ya wenza...
5 Reactions
42 Replies
8K Views
Iko hivi mwaka 2008 tulibahatika kupata mtoto bila ndoa 2014 tukapata mwingine bila ndoa ila mwaka 2016 tukabariki ndoa na sasa tunaishi kwenye ndoa ya watoto watatu sasa hivi huyu mke amekuwa na...
35 Reactions
439 Replies
41K Views
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa...
15 Reactions
161 Replies
9K Views
Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naombeni ushauri wenu juu ya hili, mimi nina mahusiano na mwanamke ambaye amenizidi umri wa miaka 8, uhusiano huo mpaka sasa una miaka 3, kwasababu mimi umbo langu kubwa kidogo...
15 Reactions
124 Replies
5K Views
Unaweza ukapoteza single mother wa kukusaidia maishani kwa sababu ya uchoyo na ubinafsi na chuki na kiburi.huijui kesho yako wape watu nafasi waishi.unaweza kukuta huyo unayemuona hajazaa amewahi...
10 Reactions
52 Replies
2K Views
Wakuu, poleni na majukumu ya kutafuta Maisha. Mimi ni kidume, pia staki kabisa kuishi maisha ya kihuni yasiyo na baraka kutoka pande zote mbili, maisha ya kuishi na bibie wangu pasipo kufuata...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari jamani, mnaendeleaje? Hebu acha niende moja kwa moja kwenye hoja. Iko hivi, miezi kama miwili au mitatu katika kupiga stori za hapa na pale one of my colleagues (KE) akaniambia unajua...
25 Reactions
90 Replies
3K Views
Wadau, herini kwa sikukuu zinazendelea na poleni kwa maumivu ya ukata maana mida hii mishahara kwishnei akaunti zinasoma ndivyo sivyo Sasa naomba niseme kitu kwa nia njema kabisa (good faith)...
24 Reactions
307 Replies
28K Views
Wakuu habari? Mnavyojua wakuu, wanaume tumeumbwa kutamani na kupenda watoto wazuri waliopo hapa duniani. Katika pita pita zangu, nikanasa na mlimbwende mmoja ambaye aliweza kuuteka moyo wangu...
9 Reactions
44 Replies
1K Views
Mhanga: Ni mapenzi ya mwezi 1, yaani tulienda vizuri da penny, sasa sielewi nini mbaya imagine last week ilikuwa birthday yake nikamfanyia bash kubwa tu, nikamnunulia na cheni ya dhababu Money...
1 Reactions
5 Replies
326 Views
Wakuu, Vijana wengi sasa hivi wamekuwa wakijihisi wana matatizo ya nguvu za kiume kumbe ni wazima kabisa. Matatizo mengi ya nguvu za kiume husababishwa na kuangalia sana picha za ngono na...
13 Reactions
152 Replies
10K Views
MKEO AU MCHUMBAAKO AKITAKA KUWASILIANA NA MICHEPUKO YAKE HUTUMIA ZAIDI SIMU YA RAFIKI YAKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna wale wanaume wenye tabia ya kuzikagua simu za Wake au wachumba...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Wakuu nawasalimu, Niko katika hali hii kwa sasa. Ni kweli nilimkosea mke wangu. Nilifanya dhambi kama binadamu wengine wafanyavyo dhambi. Nimejutia kosa langu na nikaamua kumuomba msamaha mke...
129 Reactions
434 Replies
35K Views
Aisee, ilikuwa ndio mwisho wangu wa kuchepuka na kuingia nyumba za wageni kufanya zinaa. Na haitakaa ijurudie tena. Mwaka 2018 nilipata demu mmoja matata sana. Enzi hizo nilikuwa napenda sana...
47 Reactions
88 Replies
8K Views
To the one who makes every day sweeter than the last.... The most amazing, funny, and sometimes infuriating person I know... You're not just my love, you're my best friend, my confidant, and my...
20 Reactions
123 Replies
5K Views
Heri kwenu ninyi nyote mabibi, mashangazi na mabwana! Hii tabia naiona imenifanya niwe na wasiwasi na rafiki yangu. Labda pengine ni hisia zangu na mawazo yangu. Kisa kipo Hivi Jamaa tulikuwa...
6 Reactions
98 Replies
11K Views
Msichana mwenye umri wa miaka 22 aitwaye Tiffany Gray ambaye ni Mshukiwa wa mauaji ya Sugar Daddy wake, Fasil Teklemariam (53), yupo rumande akishutumiwa kumuua Fasil na kisha kumkata kidole gumba...
2 Reactions
4 Replies
531 Views
Habari za leo, Nilikuwa nataka kujuwa hivi ni kweli mtu wa miaka kumi na 15 anaweza kumpa mdada mimba wa miaka 27? Ni mdogo wangu wa mwisho anamiaka kumi na tano saiz leo asubuhi kuna mdada...
0 Reactions
58 Replies
7K Views
girlfriend yangu amefanya mapenzi na rafiki yangu wa karibu,inaniuma sana,je nifanye nini? naomba ushauri.
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…