Wakati nimehamia sasa hapa mkoani Mbeya ilifika kipindi bwana nina ugwadu hatari, sina mke wala demu. Katika pita pita za hapa na pale nikasikia kuwa pale njiani majira ya usiku kunakuwa na...
Kuna wadada wazuri tu wametulia lakini hawana bahati ya kupata wachumba, in short wana uhaba wa kupendwa.
Inafika wakati wanakiona wana gundu na kujichanganya kwa liwalo na liwe.
Kuna mmoja...
Yani hii generation yetu imeharibika. Wanaume wanaojitambua na wapo tayari kuoa ni wachache na wanawake wanaojitambua ambao wako tayari kuolewa ni wachache, waliobaki wote ni vichefuchefu...
Nachukua fursa hii adhimu kuwajulisha kuwa yule kipenzi cha wengi Passion Lady amejaaliwa kumleta mwanaume wa shoka duniani. Niwapongeze wadada na wamama wote kwa niaba yake. Pia wakaka na wababa...
Jana nilikua date na pisi moja classic, strokes nlizopiga mtoto wa watu kaamka anacheka cheka tu na kung'ata vidole.
Hapa nimefungiwa ndani sijui hata funguo ipo wapi, na ni apartment yangu...
WITH UPDATES***
Kifupi mimi naishi countryside na huko Dar nilisoma tu mavyuo na hivyo mimi siku hizi huja kwa kupumzika na matembezi mafupi kwenda znz nk au kufanya deal moja mbili tatu kisha...
Wakuu habarini👋
Naomba kupewa maelekezo na walio kwenye ndoa au watu wenye uzoefu wa maswala haya.
Je, hivi ni sahihi mwanamke unayemchumbia awe mke wako kukuuliza kwamba unafanya kazi gani...
Kumekuwa na tabia au hali ya wanawake wengi kupiga kelele au unaweza kusema kutoa sauti wakati wakishiriki tendo la ndoa. Hali hii imeacha maswali kama kutoa huko sauti ni jambo la asili au ni...
MWAKA WA TISA HUU SIJAMPIGA WALA KUMNYOOSHEA KIDOLE WALA KUMTUKANA BINTI KIMOSO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Miaka tisa siô mingi Sana làkini pia kwèñye mahusiano ya mapenzi hasa nyakati...
Habari yako,
Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili. Kuna kitu kinaniumiza sana kichwa kiasi kwamba kuna muda nashindwa hata kusoma vizuri. 🥹🥹 Kuna mkaka mmoja tulikutana tu kawaida...
Hili jambo leo yanipasa nilitolee uvivu.
Wengi wanasema uzuri wa mwanamke ni tabia, hii si kweli.
No, big no
Vijana wa kileo wanasema uzuri wa mwanamke ni sura au ukubwa wa kalio, hii si kweli...
Natumaini jumapili ya leo ni njema kwetu sote.
Katika harakati za kutafuta mwenza wa maisha, nimefahamiana na binti mmoja wa Kilokole ambaye ni mtoto wa Mchungaji wa moja ya Makanisa ya...
Kuna mwanamke nmekuwa nae kwenye mahusiano takribani mwaka na nusu na malengo yangu mwez wa 12 nikatoe mahari kwao, tulikuwa tumeshatambulishana kwahyo kwao wananifahamu na kwetu vile vile...
Baadhi yetu tuna kumbukumbu fulani za mpenzi yule ambaye unajuta hadi mtondogoo kwanini hamkuoana. Mlipendana, mlipeana, mliliwazana, mliinuana hadi familia ziliweka alama za tiki. Kila mtu mtaani...
UGENINI JITAHIDI KATI YA RAFIKI ZAKO BASI AWEPO MBEA MMOJA NA MROPOKAJI MMOJA WATAKUSAIDIA KIJASUSI.
Yawezekana ukaona ni kinyume kwa sababu wengi husema hao marafiki hawafai ila kijasusi wanafaa...
Uraibu ni hali ambayo Ina patikana wakati ambao Roho au mwili, unataka mno kuwa na hisia fulani.
👉Kiasi Cha kuwa na matatizo kutekeleza shughuli fulani, mpaka upate hisia inayo lengwa.
Kwa miaka...
Wadau,
Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa...
Habari za mda huu Wana JF,
Mimi mdogo wenu katika ujenzi wa Taifa lakini pia ni mgeni katika jukwaa Lini nimeandika ivi kuomba ushauri na kujua ni vipi ww ulikabiliana nalo ili tatizo!
Nipo chuo...
Moja kwa moja kwenye kiini.
Jana nimepokea simu kutoka kwa jiran yangu mahali nilipokuwa naishi.Jamaa ni mtu mzima anakaribia 47 ni vile tu anajitunza na hela ya kula haimsumbui kwa hiyo...