.jamani wama MMU cjui mtanisaidiaje katika hli
Nina jirani yangu dada2 ana mume na watoto5 wanne wakike mmoja kidume. Ni mtu wa kigoma MUME wake anatabia ya kufanya mapenzi watoto wake hasa huyu...
Ikitokea jambo lako limesambaa ujue kabisa msambazaji wa kwanza ni wewe! usingejirekodi wengine wasingepata nafasi ya kusambaza, unatoa mwenyewe mwanya wa kudhalilika, usilaumu wengine wakiwa...
Leo nimepokea kwa masikitiko habari za kufulia kwa mkaka niliyewahi kuwa nae kwenye uhusiano kwa muda wa miaka 3. Nasikia amefulia ameuza kila alichokuwa nacho amebaki na komwe lake tu. Huyu kaka...
Naandika post hii nikiwa sijui pa kuanza, il a kwa kifupi tu, nimeanza maisha mapya ya kuwa single mother.
Mimi na baba mtoto havijawork out kwa kweli na imenibidi nifanye maamuzi magumu.
Ni...
Nataka kujua kuhusu hiki kitu ambacho kimenifanya nishindwe kabisa kuwaamini wanaume ,je ni kweli wanaume wameumbwa na matamanio kiasi cha kwamba hawawezi kutosheka na mwanamke mmoja?
Umewahi kukutana na msusi anae nuka chupi hasa katika zile staili zetu za kilimanjaro.
Hii imenitokea live mida nikiwa kwa msusi nyumbani kwake tena mchana alikua ananisuka stail fulani jamani...
Kuna binti hapa kazini kwetu amenifurahisha sana, eti anataka kuolewa na mwanaume Handsome!! nimemuuliza hivi mwanaume Handsome yupoje? na je unajua athari za kuolewa na Handsome?
Alikuwa na...
Kiukweli nampenda na namkubali Nifah ila niliumizwa sana na yeye kuachika kwake na jasusi bobevu inshalah Mungu atawaunganisha tena. Tumuombee Nifah arudiwe na jasusi.
Habari wadau,
Ukiambiwa mjini starehe gharama usikodoe macho.
Kama ilivoada jana nilitoka out peke yangu nikaenda kidimbwi kumalizia weekend.Nilitoka kwangu mida ya saaa tatu usiku nikafika...
Hi Guys
My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana?
Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za...
Wajuzi naomba ntililike na uzi
Kuna zile baa za mfano kitambaa juliana .wavuvi sijui elements hizo mengi ni mashindikanaa lakini kuna chimbo za kijanja za kula pisi mq banker .manesi...
Fahari wa mzazi = mtoto
Fahari wa mke = mume
Fahari na mume =mke
Fahari ya mwalimu =mwanafunzi
Fahari ya mwenye nyumba =nyumba
N.k
Hamna kitu kizuri kama mtu kuwa na kitu ambacho kinampa...
Wana sisi wazima huku najua hakuna fujo sana, na kuna watu makini wa kunisaidia.
Wapenzi,
Nina mdogo wangu ana kama miaka 26, kaolewa na mtu wa Dodoma. Naishi nae karibu kama nyumba 5 kutoka...
Jamani sio utani ni kama mfano wa dada angu kwa mujibu wake anasema mumewe hawezi kugegeda nae hadi akiangalia movie za X ndo zinamshtua hivi je, kweli swala hili lipo.
Kwawale wakubwa tukutane...
NANAOMBA USHAURI
Habari yako mwana JF mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ninafanya kazi ya bodaboda
Nilikuwa na mpenzi wangu niliyeishi nae kwa miaka 4 sasa na tuna ahadi ya...
Mungu nisamehe bure!!
Kuna demu nimeangaika Sana kuja kuwa mpenzi wangu.
Nilimkuta ana-date na mkaka flani wakiwa wanaelekea kutangaza uchumba, gafla nikatokea maishani mwake na kubadiri uelekeo...
Wakuu kwema, hope mna weekend njema.
Kuna mwanamke aliniacha kwa maneno makali sana ambayo yalichoma moyo wangu. Aliniambia kuwa mimi siendani naye, mimi ni mshamba, na hana hisia na mimi...
Miezi mitatu iliyopita,ulikuwa mwezi wa septemba mwaka 2018 katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na bi dada,tukabadilishana namba tukawa tunachart......kupigiana sim kila...
sio uongo wala utani wanawake wengi wahanga wa hili unakuta mdada anatamani gegego ila kumwomba mumewe au mpenzi wake anaogopa anaona aibu.
me mwenyenye nilikua mhanga wa hili jambo ila kwa sasa...