Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kumsomesha mchumba najua kumewaliza na kuwatesa wengi, bahati mbaya au nzuri nami nimeangukia katika mtego huo. Kutokana na hali ya kiuchumi najua sitaoa kwa miaka miwili mitatu ijayo. Nimeona...
8 Reactions
163 Replies
11K Views
Humu wengi wanachekesha, jameni mjue kuwa nyie hampo serious kweli mnaamini picha za avatar. Haya basi kama mnataka mtu awe utakavyo siunagharamia sasa mtu kafikia alipofikia unashangaa what...
22 Reactions
292 Replies
4K Views
Good Morning All, Dadii, when I call you I have nothing to tell you, but when am silent I have so much to share with you....😉 More than being my best friend you are my padlock 🔐 (😅 you know what...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Haya wazee wa kuthaminisha, nawasogezea Mali mpyaa yaani piruu,mshindwe wenyewe "Unajua mimi nina macho makubwa, mara nyingi nikiweka kazi zangu watu wanaanza kuuliza kuhusu muonekano wangu...
11 Reactions
131 Replies
5K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Wanaume wengi huchanganyikiwa kwa sababu tu mwanamke huachana nao. Hii inasababisha wanaume: - Kunywa pombe na kulewa, wengine wanatumia dawa za mitishamba na kichawi kwa lengo la kumpata. -...
4 Reactions
6 Replies
866 Views
NIKO SERIOUS,TENA SANA. Hatimaye yamekuwa baada ya miezi 9 na siku kama 3 hivi,wife kaniletea mapacha wawilim, wakike na wakiume, wenye afya nzuri. Mara ya kwanza nilifikiria kuwapa majina ya...
29 Reactions
223 Replies
22K Views
Kuna jamaa mtaani kaoa Single Mother, sasa wakati wanataka kula chakula (Dinner) jamaa akamwambia mtoto wa single mother ampatie maji ya kunawa Dogo akasema "nimechoka Bwana". Step father...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Mke wa mtu ni sumu, tena ile sumu inayoua pole pole mwilini. Ama hakika najuta sana, nikiendelea kutongoza mke wa mtu au kuishi na mke wa mtu mniite mbwa nimekaa pale. Wakuu ama kweli yalionikuta...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Nilikuwa nausikia msemo mmoja kwamba kikwazo kikubwa katika ku- empower women ni wanawake wenyewe. wanawake ndio kikwazo kikubwa katika harakati za kumuinua mwanamke. Utakuta mwanamke amefungua...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Msister mmolja awa maeneo ya Namanga baada ya kuishi kwe mahusiano na jamaa 1 kwa muda mrefu alijaribu mchepuko siku 1 na siku hiyo hiyo akanasa mimba, sasa alipompigia huyo jamaa kumweleza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jf, poleni kwa shughuli za ujenzi wa taifa. Huku mkiendelea kupokea matokeo ya uchaguzi, naomba niongelee jambo moja la msingi ambalo nimekuwa nkilishuhudia katika jamii zetu na hata...
11 Reactions
204 Replies
14K Views
Kutamani wanawake na wanaume wenzake kwa upande wa wanaume au kutamani wanawake wenzake na wanaume kwa upande wa wanawake, binafsi nimeisikia kwenye mitandao na baadhi ya maandiko...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Najua hamtanielewa ila mwenzangu. Wonderful na akinaatoto watanisaidia hapa kuwatoeni huko. Kipindi hiki cha uchaguzi hakika nimegundua wanaume mnapenda vya bure sana. Baada ya uchaguzi kuisha...
3 Reactions
105 Replies
10K Views
Habarini, Kumekuwepo na malalamiko kutoka kwa wanaume tuliowengi juu ya tabia ya wanawake walio wengi kupenda kuomba hela kutoka kwa wanaume. Lakini cha kushangaza ni kwamba kuna rafiki yangu...
0 Reactions
160 Replies
12K Views
Hakika kilikuwa kipindi kigumu sana ila alhamdulillah kimepita salama na sasa maisha yanaendelea. Tuachane na hayo, tulijadili hili ninaloliwasilisha hapa jamvini. Mwenzenu huu msimu wa...
1 Reactions
93 Replies
12K Views
Nina mpenzi ambaye tumedumu nae kwa muda wa miaka miwili tena wakati mwingine tumeishi pamoja kwa kipindi cha mwaka mmoja ila sikuwa napekua simu yake maana niliaminii ni mtu mzima anajua...
1 Reactions
68 Replies
9K Views
Leo nimeamua kutafuta Mchepuko,baada ya kuona mke nilie nae Haeleweki. Tatizo kubwa linalonikera kwa mke wangu, ni mawasiliono na ndugu wa X-Wake(wakwe,mashemeji,mawifi,nk) Nimejaribu kumueleza...
23 Reactions
102 Replies
7K Views
Kwa macho yangu mawili bila miwani nimemshuudia mke wangu akitoka guest house, kupitia dirisha la guest ambalo Mimi nilikua ndani ya guest hiyo alitoka pekee now nipo home hivi nilianzishe au...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, Leo nina maswali kwenu, Mambo yafuatayo ukiyafanya mwanamke atakupenda: 1-MPE HELA 2-MPE HELA 3-WE MPE HELA 4-NAKWAMBIA MPE HELA 5-WE MPE HELA TUUUU. Je, wanawake mnapenda...
0 Reactions
70 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…