Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Ilikuwa ni mwaka 2004 wakati nikiwa form two.Nakumbuka ilikuwa ni siku ya jumanne,siku ambayo nilitakiwa kufanya 'test ya basic mathematics'! Hii ndiyo siku ambayo ilianzisha ukurasa mwingine...
5 Reactions
103 Replies
105K Views
UHeee yoooooh, Natumai mko poa Glory to God I had a blast this weekend partying like a duck. I just love myself. Ijumaa hii sikuwa na gari nilichukua bajaji kuelekea mwenge kulikuwa na foleni...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Katika kupita pita Kwangu kwa majukwaa tofauti ya Jf nimegundua kwamba humu ndani kuna Ke wengi zaidi kuliko Me, Je : 1. Ke ndio wanaongoza kwa kutendwa ndio maana wako humu ili...
0 Reactions
96 Replies
6K Views
Hi MMU, Straight to the point, kuna binti nilimpenda sana na bado nampenda sana na nahisi nitaendelea kumpenda( ukweli sijui kanipa nini) kwani kila nikianglia hata contact zake moyo wangu...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Hii ni wiki ya pili tangu nilipotendwa na msichana niliyemtoa bikra, anadai sina pesa yakukidhi mahitaji yake. Roho inauma sana sina raha wala amani, wiki nzima nipo ndani mawazo mengi kila...
0 Reactions
60 Replies
9K Views
Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.
1 Reactions
116 Replies
9K Views
Nimekaa nimetafakari hapa,nikaona ebu ngoja niwaulize wana MMU! Hivi ni kwanini wanawake wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM? Maana hali ndo ilivyo jamaa wa vyuo vingine wanachezea vibuti...
2 Reactions
184 Replies
23K Views
Ndugu zangu wana MMU, nahama hili jukwaa pendwa. Kuwepo MMU kunahitaji akili nyingi, hekima, busara, upendo na kufikiri kwingi. Mwaka sasa umesogea na umri wangu pia. Sitaki tena kutumia akili...
5 Reactions
67 Replies
5K Views
Good evening, Am in my late 20s about completing my MMED. Ever since I got out of my first relationship with my first and d only man I have ever loved I have not been able to keep other men...
7 Reactions
448 Replies
32K Views
Habari aisee kiukweli mimi nimeishi na kubahatika kufanya kazi mkoa wa Arusha muda mrefu na nimezunguka mikoa mingine ila suala la mahusiano mabinti wa Arusha sio kama Dar wazushi na walaghai...
9 Reactions
69 Replies
6K Views
Habari zenu wadau? mimi mzima Nimebahatika kupata msichana mkali ambaye hata mimi kuna wakati naona alinionea huruma tu kuwa na mimi. Huyu msichana ana tabia moja ya ajabu ambayo hata mimi napata...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Nina rafiki ambae nilisoma nae primary mpaka secondary miaka ya nyuma, Nilibahatika kuonana nae town miaka 2 ilopita, akani introduce kwa mkewe. Jamaa alikua anapenda kuja kwangu, hua tunaenda...
2 Reactions
106 Replies
11K Views
Miaka kadhaa iliyopita mume wangu alimtambulisha mtoto wa nje katika familia yake ni wa kiume alikuwa ni mtu wa furaha sana na kujisifu kuwa kapata mtoto wa kiume na ndugu zake walimpongeza hasa...
66 Reactions
357 Replies
22K Views
Kisa kifuatacho nimepewa na rafiki yangu..... Jamani niwape kisa changu leo. nimekutana na kichaa mtaani amevua suruali kakaa chini anachezea dudu yaani hiyo kitu imesimama ni ndefu nene balaa...
2 Reactions
330 Replies
64K Views
Ni yule Bi harusi aliyetoroka akiwa saloon sasa amepatikana mkoani Arusha, na hali yake haikuwa nzuri alikuwa anaweweseka, habari zinadi kwamba anapatiwa matibabu Selian hospital, Doroth Msuya (...
0 Reactions
77 Replies
13K Views
Wasalaam wakuu kama tulivyo shuhudia sekeseke la Mheshimiwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli Kutembelea Wizara na Ofisi Mbalimbali Za Serikali kukagua...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Wapendwa habari? Jamani wadada acheni tabia ya kuharibu ndoa za watu kwenye ushirikina acheni tamaa za kijinga mnatesa familia za watu mkishaona mwanaume ana uwezo akikutongoza tu tayari mke...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii imetokea huko China, bwana mmoja baada ya kukutana na msichana mrembo aliamini akioa atapata mtoto mzuri, kumbe hakujua si kila king'aacho ni dhahabu. Mshangao ulikuja pale mke alipojifungua...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Katika siku za hivi karibuni kuna uongezeko wa watoto wakike na sababu kubwa ni sisi wanaume kwa kutokuwa makini sana! Moja ya tatizo ni kutokuwa waaminifu katika ndoa kitendendo kinacho...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Nina demu mmoja ni kama tumerogezeana. Nlianza kudate naye miaka mingi sana. Ana sura na umbo zuri.chura hips na kiuno kidogo.tatizo lake ni kuwa kichwani si mzuri sana ingawa ana diploma toka...
10 Reactions
53 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…