Nilipata wazo kuongeza kitega uchumi nje ya kazi yangu kuu na nikaona nijaribu nifungue duka dogo nitesti kana ikikataa nifunge ama ikikubali niongeze mtaji, mwanzoni niliweka binti lakini alikuwa...
Jamani hawa ni watu wa hali ya chini lakini wana mapenzi ya dhati tofauti na hawa wadada wengine.Hawachuni sana ani ukiwapa buku wanaridhika.Wanajua kutunza na ndo mana unakuta hata mama mwenye...
Hapa mtaani kuna dada mmoja anafanyakazi mjini (nadhani kariakoo) amejenga nyumba yake. Sasa huyu dada ana msichana wa kazi mzuri anaridhisha sura, umbo, na chura. Umri wake kama miaka 17 kuelekea...
Shalom,
Inakuawaje mwanaume anapojiona ni star katika fani mfano music, football, movie, Djs na etc hutumia muda mwingi kujibrand na muonekano wa kike mfano nywele, hereni, kujichubua, vipini...
Taiwo amesema kitendo Cha kuoa kabla ya kupata pesa na umaarufu kimemsaidia sana katika maisha yake 👏🏿👏🏿
Kipindi ambacho naoa Kila mtu alimshauri mke wangu asiolewe na mm maana nilikuwa Sina...
Kazi yoyote lazima ifanywe kwa ufanisi ili ilete matokeo mazuri,na iwe endelevu ili iweze kuleta tija kwa wafanyakazi,,,hivi umeshawi kumsikia mtu amechoka kufanya kazi ikiwa hiyo kazi ndiyo inayo...
Mwezi Mmoja umepita baada ya kumtumia, lakini yeye pia alichangia ni msichana anae onesha kunipenda sana. katengeneza mazingira Hadi nikaingia mkenge wa kuzini nae marakadhaa.
Ndio kwanza...
Wakuu,
Njooni tuongee mahusiano. Yaani huko mtaani kuna mtu unajua kabisa anapigwa anavunjwa mpaka viungo na Mpenzi/ mumewe lakini haondoki
Tena cha kushangaza unakuta ndo wanazidi kuzaa na...
Since tumeonana I never thought kama ingekua hivi leo, I was young I know and I knew nothing about love! I never believed love existed, I only saw it in TV shows and movies.
You are the one that...
Nikianza kusema hivyo kuna watu watafikiria kuna kitu nafanya halafu siwezi kuacha kukifanya.Sio hivyo mimi siwezi kuacha kwa maana ya kuacha hasa.
Mimi kwa sasa nimebaki na wake watatu baada ya...
Wakuu ni mwaka wa nne Sasa Sina hata girl friend nilikua nae wakuzugia tangu nilipo kuwa na miaka 23 hadi Sasa nipo bila bila yaani sielewi.
Japo walikuwepo walio nishawishi hapo katika japo...
Kuna Clip moja inasambaa Diamond Platinumz ( Nasib Abdul ) anasema kuwa hata Yeye pamoja na kuwa na Hela na kuwapa kila Kitu Mademu zake lakini bado kuna Masela ( akimaanisha Sisi akina...
Kilichotokea Kenya ni fundisho kwa wengine. Tuliache hilo.
Mwanamke mpe hela, hasa yule unayetarajia kuishi naye. Mpe hela kisha tazama matumizi yake au ushauri wake kwenye pesa zako.
Hii ya...
Ndugu zangu, napenda kushiriki hali yangu na ninaomba ushauri wenu.
Nimekuwa nikilelewa na bibi yangu tangu nikiwa na umri wa miaka 2 na sasa nina miaka 24 na wazazi wangu wote wapo hai mpaka...
Ikumbukwe, nimeanzisha nyuzi kadhaa kuhusu mimi na mke wangu mpaka ikafika hatua ya kumwachia nyumba (nyumba niliyojenga kabla ya kumuita na kumtafutia kazi). Uzi upo humu. Hata niliporudi, sikuwa...
Kuna siku nimekutana na post moja ambapo mwamba anasema anamtext mrembo halafu hujibu baada ya masaa mawili au matatu. Mwamba akawa anauliza, "Hivi imekaaje?"
Wakati unatafakari juu ya jambo hilo...
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
Ukiazima simu yake unataka kumpigia mtu au kuchek video naye utaona anajisogeza anahofu unaweza kwenda kusiko akaumbuka,wakati mwingine anakunyima,anaenda nayo kuoga.Ongeza nawewe tabia nyingine...