Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari wakuu, Jaman nina mpenzi wangu ananizidi miaka 8 mimi nina20 yeye ana 28, lakini kiukweli tunapendana sana,tatizo lipo mtaani kwetu wanatudis sana na kutufanya tukose amani.Wakuu kwani...
1 Reactions
52 Replies
8K Views
Leo naingia ofisini nimemkuta kijana wangu mmoja ana manung'uniko sana na nilitegemea awe na furaha sababu alitujulisha anaenda kuchumbia. Kummuliza shida nini akasema story ile ile inayotaka...
6 Reactions
25 Replies
823 Views
Pichani ni Samuel Eto'o akiwa na mkewe unaambiwa kabla Eto'o hajawa star mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa pesa ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye...
7 Reactions
7 Replies
495 Views
Habari zenu wanajamvi, Natumaini kuwa mko poa sana na mnaendelea vizuri na kazi zenu. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, kiukweli nimeingia kwenye mapenzi na wasichana wawili, kiukweli...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanaume kweli tume amka japo bado wapuuzi wachache. Nikiwa mtandaoni nakutana na post hiyo hiyo hapo kwenye picha chini. Nikakutana na koment ya kiume ikisema "Ongezea pointi moja na huyo...
3 Reactions
11 Replies
440 Views
Ni warefu weupe wanashepu nzuri na sura za kuvutia hawakusoma sana ila wanapenda kufanya kazi zaidi ya kaka zao wa kizazi cha sasa wanapenda ngono na ukipendana nae siku ya majaribio ya mechi ya...
2 Reactions
43 Replies
15K Views
Sasa yupo kitengo fulani, namtafuta kun jambo anifanyie liende kwa wepesi ila naona kanikaushia hapokei simu, text hajibu, sasa ni bora ani block tu kabisa nijui hataki kuongea na mimi na si...
9 Reactions
41 Replies
1K Views
Wakuu, hili sakata la kuwasomesha wachumba naona linafukuta kwa sasa. Ninaamini tuko wengi tuliowahi kuwasomesha wachumba/girl friend na bado hatujawaoa sisi. Tukutane hapa!! Nitaanza na mimi...
72 Reactions
144 Replies
23K Views
Miaka ya 90 nilimpenda binti mmoja alinisumbua sana enzi hizo basi nakaona nimwendee kwa sheik wangu kunipa dawa ya kumvuta kuwa wangu bwana. Nikaandikiwa makorokocho na dawa ya kupaka sehemu za...
1 Reactions
16 Replies
977 Views
Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu huwa anapenda sana wake za watu na hii tabia amekuwa nayo kwa muda mrefu sana,washikaji tukimshauri anatuona maboya. Sasa kama waswahili wasemavyo kuwa za mwizi...
6 Reactions
132 Replies
23K Views
Habari zenu wakuu!! Niende straight kwenye mada husika ..unakutana njiani na ex wako unaona siyo ustarabu kumkaushia unaamua kumsalimia lakini cha kushangaza anakuchunia..wengine inafikia Hadi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wanaJF Kitu nilichojifunza kwa sasa kama hauna moyo wa kutoa na hauna uwezo wa kutoa ni bora ukae single kuliko kuumizwa kichwa na hawa wafanyabiashara wa sasa. Yani kila unapogusa iwe ni...
26 Reactions
100 Replies
8K Views
Unapoamua kuzaa na mwanamke, basi inatakiwa uwe tayari kwa majukumu ya kumlea mtoto ambae Mungu amewa jaalia kumpata. Ukweli ni kwamba suala la malezi sio suala la kitoto, linahitaji sacrifice ya...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Nimekuwa kwenye mahusiano na mwanamke kutoka Kigoma tangu 2020, tulikutana chuo, na penzi likakolea haswaa! Kipindi cha Covid penzi lilinoga zaidi kwani "Working from home" ilifanya muda wote...
209 Reactions
740 Replies
49K Views
Wapenzi salama mlipo? Basi bwana.... Mwanamke unapokuwa umetangulia kitandani umemuacha mumeo sebuleni yuko anaendelea kuangalia TV au yuko na laptop au simu kwa madai kwamba utangulie...
7 Reactions
56 Replies
1K Views
Ndugu zangu salam sana naomba sana soma polepole huku unatafakari na kulinganisha na uhalisia ili uelewe ninacho kimaanisha hapa Siwakatazi mfanye kazi maana sina chakula cha kuwapa wala hela za...
1 Reactions
4 Replies
528 Views
Kwema Wakuu! Wasije wakakuloga ukawa mtumwa wao. Wasije wakakudanganya kuwa usipowapa pesa ati hautawapata. Ni uongo. Ni kosa kubwa wanalofanya vijana wengi kutoa wasipopewa. Kupanda...
10 Reactions
30 Replies
1K Views
Eti wakuu au nimimi tu ndo nayeona haya maana hadi sasa nina kadi 3 za harusi kati ya izo 2 ni za hao.
8 Reactions
60 Replies
3K Views
Kwa mwanaume kufanya mapenzi ni muhimu. Kiasi kwamba mwanaume atatumia njia yoyote ili apate wa kufanya naye. Njia mojawapo ni kumdanganya mwanamke. Kumdanganya kazi, umri, mipango au chochote...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…