Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hata ukisema uvae magwanda, still ni suti. Kwa nini suti ni lazima siku ya harusi?
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Nachukia ndoa na wala sipendi watu wanaofurahia ndoa zao na wala nawachukia those people who start to establish relationship na kwamba ndoa ni utapeli na kupotezeana muda tu and I hate those woman...
14 Reactions
126 Replies
4K Views
Wana JF, poleni na majukumu pamoja na changamoto mnazopitia katika maisha. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, nimejiajiri. Katika changamoto nilopitia hiii hapa imeniuma sana, sijawahi kumia...
8 Reactions
70 Replies
9K Views
Wanajamii leo nimeaibika sana kwa kuonekana labda ninamichezo ya kula mashoga kumbe hata si kweli. Ilikuwa hivi kuna demu mmoja hivi aliniomba simu acheki spesifications za simu basi nimempa...
7 Reactions
72 Replies
8K Views
Habari za wakati huu wakubwa. Jamani nimenasa kwenye penzi na Mmama mmoja mtu mzima.Japo siyo mara yangu ya kwanza ku date na hawa viumbe wakubwa , lakini kwa huyu daah. Jinsi...
14 Reactions
174 Replies
8K Views
Jamani wandugu poleni na mapumziko. Ni hivi,naomba kujua kazi ya kungu ni nini,inaandaliwa vipi,inaliwa na nini ili ifanye kazi vizuri kabisa na uweze kuickia.inapatikana wapi.mwenye kujua naomba...
0 Reactions
51 Replies
82K Views
Tatoo ni utamaduni kama utamaduni mwengine, na wala sikatai mtu kuchora tatoo kama anaona inafaa hata mimi nimechora ila kwa wanawake kuna mambo nimenote:- Ogopa sana mwanamke mwenye hizi sifa na...
14 Reactions
91 Replies
5K Views
Nimekuwa katika mapenzi kwa miaka mingi ila ikafika hatua nikaamua kuachana nayo baada ya kujikuta naumia zaidi ya kufurahia. Nikajikita kwenye utafutaji wa pesa tu lakini kutokana na hali ya...
1 Reactions
19 Replies
909 Views
Mwanaume mzuri utamjua tabia yake akiwa na hela na mwanamke mzuri utamjua wakati wa shida zako wewe mwanaume . Haya maeneo mawili huwa hayafichi uhalisia na tabia ya mtu .
6 Reactions
4 Replies
244 Views
Baada ya kugombana karibu wiki Mbili kila mtu kivyake, Ijumaa kanitafuta Kisingizio eti kapoteza funguo za nyumban kwake nimpatie nilizonazo za akiba ili asilale nje. Jumamosi Nmempelekea funguo...
20 Reactions
157 Replies
11K Views
Wasalaam Wakuu!. Watoto ni baraka kubwa sana na kila mzazi angelipenda kuwa na watoto ili kujenga familia yenye furaha na amani. Watoto ni faraja kubwa sana kwa wazazi lakini muda mwingine ni...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Mitandao ya kijamii alimaarufu kama social media imekuwa nyenzo moja wapo tena kubwa sana ya watu kuanzishia mahusiano kwa miaka ya hivi karibuni. Yaani unakutana na mtu online mnachat...
7 Reactions
464 Replies
13K Views
Jay z anakwambia "Let's just stay in the moment. Smoke some weed, drink some wine. Reminisce, talk some shit, forever young is in your mind" Leo mabaharia wale wazee wa kutabaruku pisi mpya mpya...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa mliooa kama mke anachapwa sana, please move on. Mambo ya kupiga mwanamke yatakufikisha pabaya. Utaharibu future Yako.
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Kwa dada zangu wote wa kizazi hiki chetu: Sababu zinazoweza kukufanya ukose mchumba ukabaki singo muda mrefu au maisha yote huku unalialia: 1. Kutokuwa na hofu ya Mungu. Binti huenda kanisani...
8 Reactions
30 Replies
945 Views
Faida za kuwa na mke ni nyingi sana. Nakala ya 2023 ya Ufadhili wa Utafiti wa Afya (HRF) ilionyesha kuwa wanaume walioowa wanaishi miaka 17 zaidi ya wanaume wasio na wenzi. Wanaume wasiowa...
34 Reactions
213 Replies
8K Views
Ilitokea Ohio, marekani, 2000 KWA KIFUPI Ni kwamba, Binti mmoja baada ya kula sana ujana, miaka 33 anaamua kuseto kwa kutafuta mume wa ndoto zake afanye maisha. Vigezo vyake Ni awe mrefu...
3 Reactions
32 Replies
983 Views
Jina langu ni Yohana Mayunga, mzaliwa wa Musoma, mkoa wa Mara. Katika maisha yangu, nimejifunza mengi kupitia methali, misemo, mafumbo, na nahau. Hizi ndizo nguzo zinazoniongoza katika safari...
2 Reactions
7 Replies
570 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…