Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wasalaam; Katika harakati zangu na changamoto za mambo ya ndoa si nikalengeshwa bwana si unamuona binti flani hana MTU mcheshi, mwenye adabu, anapendwa na kila mtu na wa mama wengi wangetamani...
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari wakuu, Nina mpenzi wangu ambaye nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda mrefu sasa, hapo nyuma kidogo tulitofautiana kauli, na alichukizwa saana na maneno niliyomwambia, basi zimepita kama...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Mtu kama Mzigua90 akinikubalia ntachepuka ili iweje? Kazi yangu itakuwa ni kutafuta hela na kumletea, nayeye kazi yake itakuwa kuhakikisha napata raha. Nasema uongo ndugu zangu?
4 Reactions
6 Replies
362 Views
Wakuu tuokoe muda Naomba maandiko rasmi sio stori ndefu na blaah blaah narudia tena kwa msisitizo yawe maandiko rasmi tena yaliyonyoroka sio ya kuokotezaokoteza wala konakona. Mambo mengi muda...
5 Reactions
60 Replies
2K Views
Kama kawaida yetu wanaume! Kuna muda nilisema nimestaafu lakin mmm hakuna kustaafu Unakutana Na mtoto hadi unachanganyikiwa , Mwezi wa 2 nikiwa hapa jijini changi nikapita Hotel inaitwa Indulge...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Nimeolewa miaka kumi iliyopita na nina watoto watatu. Tatizo nikiumwa huyu mume wangu hajali, yaani hata kukuulza unaendeleaje akuulizi, mwaka jana nilijifungua kwa operationi alikaa wiki moja...
1 Reactions
61 Replies
8K Views
Kuna siku moja nilikuwa kwenye kijiwe cha draft hapa Dar, mzee mmoja alisema msaki (mmiliki wa kibo complex) anatuona Sie wote hapa hatuna akili, nilidhani wanaongea hivyo sababu wanamwonea wivu...
24 Reactions
93 Replies
5K Views
Jamani naombeni kujua kama kuna ukweli juu ya hili kwa wale ambao wameshawahi kutumia au kusikia kuhusiana na hizo dawa za kuongeza nguvu za kiume. Wengine wanasema zina tibu kabisa. Dawa hizi za...
1 Reactions
55 Replies
26K Views
Nimefanya tafiti bubu kwa wanawake wengi kuhusu bad boys. Wengi wanasema hawawataki bad boys,, Na humu JF kuna nyuzi zinasema bad boys wanapendwa sana na wanawake. Sasa hii imekaaje? Yaani...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanaume wengi wanalalamika sana mtu unapata shoo na unaingia gesti ili unachezea mtoto na ngoma inasimama ile unavaaa kondomu ngoma inasinyaa. Hili limekuwa tatizo kubwa sana. Hizi kondomu za...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Ni alfajiri chungu mno, nawakumbusha nyie vijana ambao bado hamjaoa, mkitaka kuoa oeni kwenu, nyie mnaosoma vyuo mkitaka kuoa oeni mikoa ya kwenu. Note: TAFADHALI USIOE BINTI WA...
28 Reactions
141 Replies
8K Views
Mkeo huwa anaoshwa miguu kisha kukaushwa na wataalamu wa kusafisha kucha? Hii huduma imekuwa maarufu sana kwa wamama wa mjini, na wengi wao huwa wanapata huduma waume zao wakiwa kazini. Mdau...
5 Reactions
111 Replies
14K Views
Iko hivi hawa mke na mme wanaishi nchi tofauti ila hapo nyuma walipendana sana tena sana na.wana watoto kadhaa. Sasa mme akapata michepuko hapa Tanzania. Na kuna mchepuko aliupenda sana sana...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Nina mchumba wangu ambae kiukweli nampenda na mpaka sasa tuna miaka 3 katika mahusiano. Tuliishi vizuri japo yeye yupo kijijini kwani tulianza mahusiano akiwa bado shule nkamvumilia bila...
3 Reactions
76 Replies
8K Views
Habarini za usiku wakuu. Leo nimepita mitaa fulani nikasikia vijana wenzangu fulani wakizungumzia jinsi wanavyotumia Vumbi la kongo(Kufunga lemba) na jinsi wanavyoifurahia nikagundua kuwa kuna...
2 Reactions
33 Replies
7K Views
Wataalamu wa mambo ya mahusiano wanasema mwanamke mchepukaji ni hatari kuliko Sumu hivyo wanasisitiza kuwa mwanamke wako Akichepuka huyo ni wa kupiga chini. Wanaume wenzangu ukigundua kuwa mke...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wana JF poleni na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kote Nchini Kuna mdada amehamia katika Room inayofuatana na yangu sasa toka amehamia tunaishi poa sana kiasi hata nikiomba mzigo sahii...
22 Reactions
69 Replies
3K Views
Wanaokuacha kwenye mahusiano wengi walipanga hivyo hata kabla ya hilo kosa wamelotumia kama sababu Mara nyingi anayeachwa anakuwa na msongo wa mawazo na kujiona asiye faa kwenye hii Dunia na...
5 Reactions
10 Replies
573 Views
Naomba ushauri, Mimi nikijana wa miaka 24, kipindi nipo kidato Cha nne nilijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na mdada wa kidato Cha pili, hatukuweza kushiriki kitu chochote nilipojiunga na...
1 Reactions
3 Replies
438 Views
Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Dhumuni la kuandika hii thread nikutaka ushauri kwa ambao watakuwa tayari kunipa ushauri nitaupokea. Huyu binti anaezitesa hisia...
8 Reactions
100 Replies
6K Views
Back
Top Bottom