Asalam aleykum........wadau na wapenzi wa MMU.
Leo ikiwa ni siku nzuri tumeanza mfungo wa mwez ramadhani basi tumwombe Mungu atufanyie wepesi na atusamehe dhambi zetu zote ndogo kwa kubwa...
Najaribu kutafuta neno gani la kitaalamu litakufaa silipati naona shizofenia halifai.Yani kaka mada zako huku ni ke tu mara wanawake wanene mara cjui niini,na kama umegundua karibu zote unaishia...
Wanabodi, nadhani wengi mtakumbuka kuwa taarifa za vyombo vya habari hasa magazeti zilitueleza kuwa ndoa ya Slaa na mchumba wake (Josephine) imepangwa kufanyika Julai 21, 2012 yaani leo hii...
Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuu kwetu sote.Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa...
DEMU anasoma chuo cha Mipango pale Dom, ni mwenyeji wa Mbeya mwenye maskini Pwani alitongozwa na jamaa mmoja wa mjini, jamaa alikuwa na mipango mingi na huyo nyapu, kumbe Rita wala hakuwa na...
Hivi wanaume wanaaomba penzi na kukataliwa kisha kuchukua uamuzi wa kumtafuta mtu ambaye ni mpenzi wako na kumpiga mkwara kwamba achana na binti/mwanamke fulani kwani ni demu wangu wanakauwawaga...
Poleni na mfungo kwa wale waislam!
WanaJamvi..ni kawaida katika Mahusiano ya Mapenzi kuwa na rabsha za hapa na pale. Na mara nyngi rabsha hizi huwa zinatokana na hisia za uwepo wa udanganyifu...
KUWA na fedha au elimu zaidi ya mwenzi wako, sio tiketi ya kumfanya asiwe na raha kama ambavyo wamekuwa wakifanya baadhi ya watu.
Wala kutokuwa na fedha au elimu ama umaarufu haina maana kwamba...
Unakuja asubuhi mapemaa tena wikend. Umelala kwa mapumziko ya hekaheka za Ijumaa usiku halafu mtu anakugongea na kuanza kukupigisha story nyiingi zisizo na kichwa wala mguu!!! Hata kama mapenzi...
maana mwana mke akiwa na umbo namba nane watu husifu sana. pia kilichonisukuma zaidi niiulize jamiiforums nilipanga tarehe 16 mwezi 8 nimvishe pete mchuba marafiki zangu wakasema sio siku nzuri...
Asalam Alaykum Waungwana, Naombeni mnisaidie mawazo yenu ili niweze kumrudisha mke wangu aliyeondoka nyumbani yapata mwezi sasa. Tumejaliwa watoto wa wili na ndoa yetu ina miaka 6 sasa...
Aiseee... ni mzuri balaaa asikuambie mtu. Nikizungusha kiti nakutana na mgongo wake.
Anavaa kimini...ananukia vizuri... blauzi yake inabana matiti yake makubwa kiasi kama yanatokea kwa juu... ni...
wanaJF habari...
jana nimekaa na wadau wangu tukitafakari hili na lile..ikiwa ni pamoja namajanga yanayoendelea kuangamiza watu kila kukicha.....lakini maisha lazima yaendelee...watu lazima...
Katika hali inaonesha kutolidhika na pingamizi aliloweka mwaka 2010 dhidi ya Dr Slaa kumchukulia mke wake
Mr Aminiel Mahimbo akiongea na gazeti la Rai amesema anapeleka pingamizi kwa Pengo ili...
Habarini wana jf..mimi kuna swala linanitatiza hasa kwa watu wenye imani za dini zenu naomba mnifafanulie hili..Hivi kumuoa mwanamke ambae umeshaishi nae kinyumba linaruhusiwa katika imani yako?au...
Kesho jumamosi mfungo unaanza, so leo ni kuvunja jungu.
Bila shaka leo...
Gesti, na lodge zitajaa kabla ya saa 10 jioni (but zitakuwa wazi saa 4 usiku!)
Biashara ya kileo itachanganyia
Biashara...
Huu wimbo ulitoka mwaka 1999/2000. Je, kinachoimbwa humo kimewahi kukutokea?
Tuchangie tajiriba zetu kipindi ulipobamba...je ulikuwa wapi? Ulikuwa ushavunja ungo ama kubalehe? Ulikuwa kwenye love...