Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

hizo ndizo sehemu za ubongo wa akina mama sio wote ila sehemu kubwa!
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Bandugu Jana na Leo nimekutana na majina matatu ya KIBANTU/KIAFRIKA ambayo kwa kweli yamenivutia sana. Naomba niwashirikishe kuyatambua na kuyajua majina hayo. 1. MAPENZI SUKARI (F) 2. PENDO...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kitu kinacho itwa Mapenzi hakina ushauri.. Mapenzi ni hisia ya mtu ya ndani nahuongozwa na fikra za mtu binafsi,ukipatwa na tatizo la mapenzi usipende kuomba ushauri wakati ushahamua maamuzi yako...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wapendwa nawaamkua. Nimekaa hapa mwenyewe na konyagi zangu kichwani nikajikuta najiuliza what is the power of second chances?...........Umemkuta au gundua mwenzi wako anacheat na akakiri but...
7 Reactions
80 Replies
6K Views
Jamani hivi kwa nini haya mambo hutokea kabla na baada ya ndoa?
0 Reactions
3 Replies
918 Views
Uzuri wa mwanamke ni maumbile yake.. Tabia yake hata iwe bora vipi siyo "reception" yake........... Ingawaje tabia nzuri baadaye huja kufunika maumbile yake....... Lakini, ukweli usiokwepeka ni...
24 Reactions
259 Replies
41K Views
I need to know please?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
wakuu habari za jumapili,kuna mwanamke mmoja ni rafiki yangu wa mtaa kwamba hata ikitokea misiba huwa lazima tuende wote,aliyeniunganisha na huyo mwanamke ni mume wangu ,huyo mwanamke ameolewa na...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Uko ktk relationship na mtu(a lady),anasema anakupenda sana,pia anakuchukulia kama mume wake mtarajiwa Lakini;anaweza kukaa wiki nzima bila kukujulia hali licha ya wewe kumjulia,anaweza...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
"Amerudi saa 2.30 usiku kutoka kwenye mazoezi ya kwaya, wakati anabadili nguo ndipo nilipomuona akiwa na nguo hiyo ya ndani ambayo ilikuwa na maandishi kwenye ufito, TMK WANAUME FAMILY...
7 Reactions
92 Replies
16K Views
To me its possible for a woman to accept the pregnant depend on her mission together with age and time to be in a family way ,but olso the opposite may be the fact.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu zangu, huu ni mkasa wa kweli umemkuta jamaa yangu. Mkewe alikuwa na mahusiano ya siri na kizee cha kiitaliano, ili alifaidi penzi na pesa za kibabu, yule mdada alimtoroka mumewe na...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu!!naomba kuuliza,eti ni kweli wakaka wenye kuitwa majina ya Matt na chriss ndo wanaongoza kwa kushobokewa na wanawake hapa duniani?
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Imekaaje siku umepost thread ya kutafuta gf/bf huku jf. Then anajitokeza mtu ambaye yuko serious mnapanga kukutana. Unexpectedly unakuta ni dada/kakaako ambaye alikua anakusisitiza sana...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Unahisi unampenda?ndio swali lilo fatia..... Nikashindwa kumjibu mzee yule na maneno yakaanza kumtoka ohh.....mtoto mdogo unapenda wakubwa hujishangai wewe..... Kwa haraka nikaanza kusukuma ring...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Imekuwa alfajiri, simu yangu inaita, naipokea na kusikia sauti ya kike, anajitambulisha kuwa ni mke wa rafiki yangu. Nahamaki kwa kudhani jamaa amepatwa na ajali au vipi kwani nae ni mlevi kwa...
0 Reactions
86 Replies
6K Views
Wana JF mapenzi ni kama manati inabidi kila mmoja wenu asiachie kwani akiachia yanaumiza sana, nakaribisha michango kuunga hoja au kukataa!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
It looks like women do all this to please us. We must be the culprits to blame for presence of artificial women in society. any dispute about that?
0 Reactions
4 Replies
840 Views
hey guyz mapenz nadhan yanajulikana na kila mtu anayajua ni mazuri hadi yanaleta furaha kupita kiasi ila bwana yanaumiza pia kupita kiasi so PlZ TOA MAWAZO AU TUPE EXPERIENCE YAKO YA UCHUNGU...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Kila mmoja wa wana MMU akiulizwa hapa kiwango chake kipo vipi katika sex atasema yupo fit. Kinabaki kimshangao kimening'ang'ania kikiniuliza ndani ya nafsi yangu hao waliopo uraianai...
5 Reactions
260 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…