Darling....... tulifahamiana kupitia mtu niliyefahamiana naye kupitia humu mmu,hivyo kupitia ukurasa huu nichukue fursa hii kukupa pole sana kwa ndoa yako kuvunjika na kwa maumivu ya mwili...
Hi to all, kwa kufupisha: ivi wanawake jamani mnataka wanaume tuweje/tuwafanyie nini ili muweze kuamini mnapendwa kweli?? kwa wanawake na wanaume wenye kujua siri ya mafanikio..welcome,
Dear brothers and sisters.
Asalam alaikum.
Since we are one big family I just wanted to drop a line to share good news with you, Alhamdullilah my beautiful wife gave birth to a beautiful...
hbar wadau bana naleta hii mada ni wakati gan muafaka wa kumuambia mpnz wako kuwa katika mahusiano yako ya nyuma yalipelekea kuwa na mtoto je ni wakat wa mwanzo wa mapenz au katikati au baada ya...
HOTUBA YA UFUNGUZI WA SONGEA GLOBAL NETWORK (SGN) KWENYE UKUMBI WA AGOPAL – SONGEA TAREHE 21/04/2012.
Mh. Mwenyekiti,
Mh. Katibu
Mh. Mhasibu
Ndugu Wanamtandao,
Ndugu Wageni...
Hii tabia iko kwa wadada sana, ukimboa kwa chochote au kwa lolote lile solution anayoichukua ni kukaa kimya au kupunguza mawasiliano na wewe au atakwambia "tutaongea kesho!".
Ukiona hivyo kwa...
Kumekuwa na mazungumzo ya kuhusu hawa wajenzi huru (Free mason) ikihusishwa na mafanikio makubwa ya kimaisha. Najua kila mtu anashughulika kila siku ili kupata mafanikio katika maisha yake. Pia...
Kudadaadek........ umri wangu unakaribia miaka 38, sina hata mchumba wala mtoto wa kusingiziwa. Hivi ninaweza kweli kupata patna wa kuoa? nakaribia kukata tamaa. Lakini ni lazima kuoa?. But I...
Rafiki yangu alienda nje kusoma akabahatika kupata rafiki wa kike ambae walishirikiana katika nyanja zote za mapenzi. Baada ya kumaliza masomo rafiki yangu akarudi TZ peke yake. TZ akapata rafiki...
Imekuwa kama ka tabia flani hivi...maana hawa dada zetu wakisha shinda u miss..kinachofatia ni kuolewa na wazungu..is it a social ladder?? kwani ukiolewa na kijana safi wa kitanzania kuna tatizo...
Kweli ni maajabu, mtu kwenye relationship anamlalamikia mwenzake kwamba ni predictable, wala hakumbuki kwamba na yeye ana role to play as far as relationship is concerned. Ni Love, kissing...
Nimefanya kauchunguzi kidogo kwa ndugu na rafiki zangu waliooa/olewa. Nimegundua maisha ya ndoa yamegawanyika ktk sehemu kuu 3. Ambazo ni KIZUNGU, KICHINACHINA na KIENYEJI. 1.Kizungu huwa mara tu...
The Power of Words
Watch this and then thank your God for what he gave us without asking. If you dont believe me, ask your parents or ask yourself if they actually asked God for a son/daughter...
Kuna namna ambayo ni more suitable kuachana na mtu ambae let say hajakukosea zaidi ya kumweka chini siku moja na kumwambia "mimi na wewe hivi au vile. . . "?!? Yani unataka kumwacha kwa sababu...