Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nimatumaini yangu hamjambo wote humu ndani na naheshimu sana busara zenu,mimi nimeoa na nina watoto 2, ndoa yangu imeingia doa na iko mashakani kuvunjika, kuna mwanaume nilikuta ujumbe wake kwenye...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Hivi mnajua kwamba karibu wanaume watano kati ya kumi wanakabiliwa na uhanithi wa aina fulani? Fasihi mbalimbali za tafiti kuhusu hali hii kwa wanaume zinaonyesha kwamba, zaidi ya asilimia 52 ya...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
In which of the following professions are we likely to find MEN AND WOMEN WHO FLIRTS? The Banking profession, The Force (Police, Soldiers), The Media, Lawyers, Teachers/Lecturers, Health experts...
0 Reactions
6 Replies
944 Views
................................................................siwezi kuelezea sasa hivi ninavyokupenda Tanzania, maana hili sakata la mawaziri ni tamu mno!!! Halafu eti wao wanajifanya hawajui???
0 Reactions
9 Replies
1K Views
you can say the right thing abt a product n nobody will listen. You av got to say it in such a way that people will feel it in their gut. Because if they dont feel it, nothing will happen.
0 Reactions
4 Replies
970 Views
Kwa Hapa chuoni hasa chuo Kikuu na Vingine Tanzania kila mtu ameondoka kwao akapate Elimu pale.Kwa Hapa Chuoni kwetu First Year ambao ndo wanasemester moja,hasa wadada wa udsm na campas zake wana...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Baba mmoja amekutwa guesthouse akiwa na mtoto wa kaka yake aliemchukua kijijini ili amsomeshe akaamua kujilipa kwa kupata ngono kwa huyo mtoto mbaya zaidi kaingia nae humo na uniform kabisa na...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wataalamu naombeni mnijuze! Eti nikiwa(mimi ni mwanaume) napishana na mpenzi wangu miaka kumi ni mbaya?
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Jamani nimekuwa nikijiuliza mambo mengi juu ya wanandoa wengi kukosa uaminifu kwa wenza wao siku hizi, swala la msingi ninalojiuliza ni nini chanzo? wengi mtaniambia ni kupata ladha tofauti, oh wa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana jf, yaani hapa najipongeza maana nilitaka kufanya kitu ambacho pengne ningejutia in life. Kuna gal tunakaa nae nyumba 1 ya kupanga(huku nilipo kwa aunt) xa nilimtokea n akakubali yeye...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Salaam wakuu, Hii ndoa ina miaka 7,watoto 3. Tatizo la kibinadamu-kama walivyo baadhi ya binadamu wengine,bwana akapata mpenzi,akazaa nae. Akawa akijitahidi kutimiza mapenzi sehemu zote 2 na...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Hivi ni kwa nini ktk mahusiano mengi,kwa mfano kwenye ndoa wanaume / wanawake walio wengi hawawezi kuwaambia wake zao kuwa hawawaridhishi matokeo yake wanatoka na kwenda kutafuta mahawara nje,je...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mamboz jf...jaman naitajikusikia mawazo yenu,I have a lover na kikweli nampenda saaana.mwanzo tulikua tunaenda sambamba kihisia za mapenzi napo jihisi natamani yeye pia alionekana kutaka na...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Chukulia kwamba wakati uko chuon,let say kuna gal ulikua unampenda mbaya,afu kila ukimwambia kuhusu hisia zako kwake anakuonyeshea dharau za waziwazi.asa ikitokea siku mmemalza chuo, we unapata...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakat ndo nafika mkoa huu,,'nikawa na uhusiano wa mapenz na mdada mmoja,,'nimedumu naye kwa takriban mwaka mmoja tukaja kutengana kwa sababu hakuwa mkweli..,pamoja na kuwa tulikuwa tumeachana naye...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Binti huyu tulifahamiana miaka miwili iliyopita na tukawa very good friends, tukaja achana kwa sababu za kikazi...mwaka uliopita tulikutana tena na katika kukumbushia urafiki tukajikuta tunaenda...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
How can true LOVE being detected especially to this new GENERATION?
0 Reactions
2 Replies
596 Views
Wana Jf Wenzangu kuna tangazo jipya huwa nalisikia radioni la kutolazimisha penzi hata kwa mke wako. Kimsingi naona kama kila siku zinvyokwenda maadili yanapungua hata kwa vyombo vya serikali kama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekutana na sifa hizi kwenye mtandao. Naomba maoni ya kina dada kuna ukweli kiasi gani hapa 1. The Provider He puts family first, always. He's a selfless man, who lives to please those he...
1 Reactions
53 Replies
3K Views
Wanabodi ngoja niwapatie mchapo wa mapenzi uliomtokea swaiba wangu wa karibu. Jamaa aliopoa jimama na wakadumu katika uhusiano takribani miezi miwili(2). Cha ajabu kila wakati wakidu lile jambo...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…