ni mara yangu ya kwanza kujiunga jf baada ya kuchoka kusoma post kama mgeni,ombi langu kwenu ni kuwa natafuta housegirl muathirika wa ukimwi ,yeyote mwenye kuweza kunisaidia ani pm asanteni
Kwa muda mwingi nimekuwa nikijiuliza kwamba hivi sisi wanaume ni kwa nini tunapoenda kumtongoza mwanamke kwanini hatuendi mojakwamoja kwenye pointi?,Nilazima mwanzo mwisho ni Magumashi uongo...
kama dakika 20 hv zimepita hapa moshi stendi demu 1 kachaniwa nguo zake live hpa stend sababu nguo hiyo ilikuwa fupi saaana so watu wakaamua kuchukua sheria mkononi...dah ni noma demu hafai yani...
Things Women Should Know
1.We men don't care what u wear on a date, what we care about is when what u are wearing will come off..
2.Just because you are in your periods don't mean l cant get...
Inasemekana kuwa mwanamke ana roho mbaya kuliko mwanaume,mfano: katika suala la kuua/kutoa uhai ukiwakabidhi visu ambacho ni butu na chenye makali mwanamke atachukua butu ili akuchinje taratibu...
Wanajamvi me nafagilia mila na desturi za Kibantu ambazo ziko bomba,mathalani hii ya kulipa mahari kwa maana ya kutoa shukrani japo kiduchu kwa wazazi/walezi wa mtarajiwa wako (mke). Lakini baadhi...
Wadau naomba msaada wa maana halisi ya neno love. Hawa wamesema hivi! 1. Plato- A grave mental disease. 2. John Ford- Desparate madness. 3. Ovid- A kind of...
Inasadikika kuwa unaweza kumlazimisha punda kwenda mtoni lakini huwezi kumlazimisha anywe maji. Vivyo hivyo katika mapenzi kuna wakati inafikia ambapo mpenzi hawezi kumlazimisha mwenza wake kitu...
Katika vitu ambavyo sisi wanaume huwa tunakosea ni kati ya hivi.....
Sisi wanaume tukiwa na mwanamke amabaye ni mpya katika mahusiano u
wa tunaamini kuwa huyu mwanamke hayuko pekeeyake lazima kuna...
Dada mmoja alikuwa anasema,hawa wanaume siku hizi ni fake
kweli,ni wanaume suruali tu.
Kalalamika kweli,nili muuliza swali moja tu,wanaume wote unawajua?
Akasema,..."ndo wale wale tu,hamna...
wadau naomba mnieleze uhusiano uliopo kati ya mate na mkojo, maana watu wengi (hasa wanaume) hutemea mate mkojo walioukojoa wao wenyewe (hasa pale tendo hilo la kukojoa linapofanyikia pembeni ya...
Mimi ni msichana wa miaka 27. Nimewahi kua na uhusiano wa kimapenzi na kijana mmoja ambaye alikua ndiye mwanaume wa kwanza kwangu ila tuliachana baada ya kugundua kua mwenzangu baada ya kupata...
Kuna hii kitu loyalty(faifhfulness/commitment to obligation) kati ya marafiki iwe wenye mahusiano ya kimapenzi ama urafiki kwa maana ya urafiki tu.
Kati ya marafiki 'loyalty' ina umuhimu kiasi...
Huyu binti nilianza nae mahusiano kama miezi miwil iliyopita ila tatizo ni sex kila nikimwomba tunaishia kwenye romance tu,ndani ya hiyo miezi miwili nikaamua kumpima kwa kumdanganya...
UPDATE
Mila na desturi kisa cha harusi kutofungwa
Hii ni update kuhusu yule Bi harusi aliyeingia mitini. Chanzo cha harusi kutofungwa kilitokana na kutokuwa na mawasiliano mazuri na washenga...
Binafsi najikuta mara nyingi nikipata shida kuamini kama kweli kuna kitu kinachoitwa mapenzi ya kweli katika ndoa zetu. Hata hivyo, siku ya Jumapili (1 Aprili 2012) kulikuwa na story kwenye...