Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nilikua kwenye msiba leo,kumuaga baba wa rafiki yangu. Kilicho nishangaza na kunisikitisha (sio mara ya kwanza kuona), ni tabia hii ya kufotolewa picha msibani, mara mwingine anapita na kamera...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani ninampenda huyu binti,tatizo sijui ni woga au ndo nimempenda sana au swaga zinagoma au ndo udomo zege! Kwani kwa wasichana wengine siogopi ila huyu,dah hata kumsalimia najishtukia.Sijui...
0 Reactions
60 Replies
9K Views
Kukosa taarifa nzuri, hasira na maamzi yasiyo ya busara yanapelekea wengi kujiua/kujinyonga/kunywa sumu pindi tu wanaposalitiwa na kuachwa na wake/waume zao. Kwa nini uchukue uamuzi huu hatari...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana Jamvi, Niko confused naomba msaada. dada wangu amekuwa na boy friend na hadi sasa wamekuwa wachunga (ingawa haijulikani kwa wazazi) Mwezi uliopita Boy friend wake amemwamuru ahamie...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Jamaa alikorofishana na mkewe na mke akaamua aende akakae kwa ndugu yake kwa muda wa zaidi ya mwezi mmoja. Baada ya kusuluhishwa na ndugu, tofauti miongoni mwao ikaondolewa na wakakubaliana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ladies and gentlemen, habari za asubuhi! Jana wakati naianza w'end yangu, nilikua napata 'the lager' maeneo flan. Bar maid aliyekua ananihudumia ni bint wa miaka 17. Nikawa interested nae...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Hello jamani. Mmmh wachina bwana. hebu wanawake tushtuke jamani, ujue wanaume wetu hawako specific nn wanapenda kwetu. tuTANYANYUA MATITI WATATATAKA YALIO LALA. ..............
5 Reactions
63 Replies
7K Views
"...ndio! umeniharibia maisha yangu!" ...hebu niwaulize nyie wana JF Tusaidiane mawazo, maoni na ushauri kuhusiana na hili. Je? Nini mtazamo wako mtu anapokwambia umemharibia maisha! Tatizo...
16 Reactions
326 Replies
24K Views
Hope swali umelielewa tangu uanze uhusiano umepitiwa na wangapi we binti na mpka sasa una mpangao mpaka uakae na wako wa maisha unamaliza na wangapi swali hilo na kwa wanaume pia ni vyema...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Mchakato wa Kumtafuta Mfalme Wa Jukwaa La MMU yaani "King Of MMU" for the Year 2011 umekamilika baada ya kupigwa kwa kura za maoni na baadaye kuwashindanisha walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi JF...
6 Reactions
111 Replies
6K Views
Kwakua waume wakigombana na wakeze ndani ya nyumba inakuaje?mume anakua hatoe matumizi ya ndani ugovi unasababisha tusile?
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Mwanafunzi wa kike amenifuata nikiwa staff leo asubuhi. Mwanafunzi: Mwalimu Samahani. nakuomba usinichukulie vibaya na wala usinielewe tofauti na hivi ambavyo nataka kueleweka. Mwalimu: Niambie...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
........................................................
1 Reactions
59 Replies
6K Views
Wana JF,Niliwahi kuja na uzi huu hapa chini: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/216348-nimekataa-posa-ya-myao-kwa-mpwa-wangu%85%85%85%85%85%85%85.html Siku za hivi karibuni...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Ilitokea nikanunua na mimi ile kitu kutoka kwa wafanya biashara wale wa usiku, kutahamaki asbh nimeamka salaale sikuti laptop yangu, simu mbili, dola 250 za kimarekani, na laki unusu ambazo alitoa...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Kujiua au kuua kwa sababu ya mapenzi ni sahihi?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
balaa sana madenti wa siku hizi na ma sugar daddy
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii ni meseji iliyongia kwenye simu rafiki yangu leo asubuhi kutoka kwa mke wake mtarajiwa. Rafiki haelewi alichomfanyia mpaka amefikia hatua hiyo. Sasa jamaa anajiuliza huyu mchumba wake anamtega...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
What women want Kiu ya mwanamke ni nini walakini? 1) Kupendwa? 2) kuheshimiwa? 3) kuzabuliwa kama ishara ya kupendwa? Some women want to be abused.......they aver............ 4) Kufanywa na...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Kwasababu leo ni siku ya wanawake duniani naanza kwa kuwapongeza wanawake wooote wa hapa jamvini na uraiani ntawapa salamu zao kadiri ntakavyoweza. Happy woman's day to all of you ladies. Being...
10 Reactions
131 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…