Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

jamani wapendwa. Hivi mapenzi au watu waliokutana katika mitandao ya kijamii na kufunga ndoa. Mapenzi yao huwa sawa na walio kutana misikitini au makanisani? Au ndo vululu valala kama style ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
TABASAMU: NATAFUTA RAFIKI/MARAFIKI/MCHUMBA PART 4
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naenda kumuona mke wangu baada ya miezi mitano kuwa mbali na yeye kitu ambacho sio kawaida yetu... sasa ni mwendo wa kutembea uchi tu ndani
0 Reactions
32 Replies
3K Views
....mapenzi ya kileo magumu saanaaa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
PP=People principles Hellow wana MMU. Napenda katika series zangu za PP niongelee "M" ya kwanza kati ya herufi tatu za MMU (Mahusiano,Mapenzi na Urafiki).Lengo ni kuongeza wigo wa discussions na...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
WAZAZI, in wezekaje mtu ambaye mm ndiye nayeoa au kuolewa mnitafutie? hapana jamani hii tabia ningependa tuikomeshe kwan inatuambisha na tuishi kwa wasiwasi je wadau mnasemaje iendeleeee au istopishwe
0 Reactions
6 Replies
2K Views
a) natamani mume wangu awe ana drink kidogo asiwe mlevilakini (b) natamani asirudi home mapema arudi by saa nne usiku hivi ,itakuwa poa ila isiwekatoka kwa nyumba ndogo roho yangu nyepesi mie...
24 Reactions
191 Replies
14K Views
Hbr wana jf,nimepata msiba.Baba yangu mkubwa amefariki usiku wa kuamkia leo.Kwa wale wenyeji wa nzega mnaweza kuwa mnafahamu,alikuwa bwana afya ktk hospitali ya wilaya.
0 Reactions
32 Replies
2K Views
what i learned from love:mapenzi ya kweli ni kero kwa asiyekupenda wewe umejifunza nini....
1 Reactions
39 Replies
3K Views
IN CHURCH sisters are complaining the brothers are boring, out there Women claim the men are irresponsible and non committal. College girls say their fellow men are broke and young, in offices...
19 Reactions
77 Replies
5K Views
Kila mmoja wetu anajua nini anachohitaji kwenye mahusiano na kinapokosekana ama kuwepo zaidi ya alichotaka anaweza akavunja mahusiano hayo. Kuna watu wanaopenda kuwa na 'YES' kinda man/woman. ...
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Ebana,kuna mtoto nimempata hapa chuo,ye kwao ni hapa hapa dsm,sa kanambia ka nataka kumbanjua bac nitafute sehemu ambayo iko nje kdogo ya mji,so wakuu mnaoijua dar vzr, ebu nipeni mwongozo,ni...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Juzi tulikuwa sehemu na mada hii ikaibuka! Vipi mwanamke aliyeolewa avae vipi? Huyu dada aliyepekea hoja ianze ni mnene asiye na upungufu wa nyama mwilini! Bantu haswa! Lakini kavaa 'skini taiti'...
0 Reactions
72 Replies
7K Views
kuna binti nilimtokea na alikubali kuwa mchumba wangu. Baada ya mwezi mmoja iv nilienda kumtembelea kwao na kumkuta akiwatukana wazaz wake livelive, kuanzia siku hiyo mayon mwangu nilimtoa kabisa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habarini wazee wa malavi davi.Excuse me,nimeamua kuandika manzi sababu ningeandika mwanamke isingevutia! Hivi wakuu (men),mmeshawahi kuona mnaanza kupendwa na wanawake waliokuwa wanawaringia hapo...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Kila unavyopata elimu kuhusu jambo fulani, kiwango chako cha uelewa kinakuwa juu kuliko, Yapo mambo ingawa unayajua kabisa lakini huyapi kipaumbele kutokana na mazoea. Katika mapenzi swala...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital. Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!
1 Reactions
256 Replies
14K Views
Mapenzi asili yake ni upendo, kupenda sio dhambi hata rais anajua kupenda, Tunapopendana Mungu anatupenda zaidi lakini wengi tunaharibu upendo kwa kukosa umakini. Upendo unatakiwa kubaki upendo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo hii ndoa nyingi sana zimeingiliwa na kujihami kwa aina mbalimbali, lakini aina kubwa au inayofanywa sana ni ile ya kuhamisha (Displacement). Kwa mfano, mabosi wetu wanapotuudhi ofisini...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Habari zenu Wana Jf Hayo maneno (Ikimegwa haifanyi alama) nimepewa na mpenzi wangu ambaye nimemgaramikia kwa mambo mengi na nilikuwa na mipango mingi sana juu yake. Baada ya kumwambia asivae...
0 Reactions
82 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…