"Nilipanga hiyo hela nimsaidie ili aongezee mtaji afungue saluni ya kike. Kabla ya kumpatia hiyo pesa ikaja taarifa ya kuuguliwa na binamu yangu. Kutokana na umuhimu wake kwangu, nikaamua pesa...
Wapendwa,
Nimeiona mada hii ikiendelea kwenye mtandao wa Fikrapevu nikaona si vibaya na sisi pia tukaileta hapa na kuidadavua kwa maslahi ya wana MMU wote.
Je utoaje wa talaka (kwa...
......Kwa wale wakristo wanafahamu kuna andiko kwenye Biblia linasema adui yako ni yule wa nyumbani mwako..Nilikuwa sielewi vyema msingi wa hili andiko..
Lakini siku za karibuni nimeona wasichana...
Assume you have a person he is far away from you, and communication is not bad between you, öne day you find a call from him and a girl is talking to, in this way " huyu ni wako akiwa huko akiwa...
Just enjoy your day, learn more and more, touch the end of the world with success. Love and care for your family and friends. Learn to forgive and forget, live your life to the fullest.
And most...
Utakuta mwanamme amempenda mwanamke au amemwambia anampenda. Wakaanza urafiki na urafiki ukakolea na hatimaye "pilau" likaandikiwa siku. Watu wakaja kula na kunywa na kushangilia huku wakiimba...
Habari wana JF.
Nina mdogo wangu ambae alikuwa anaishi na mpenzi wake kwa takriban 5 years, na mtoto walizaa pia. Wakati ulifika ambapo walitaka wahalalishe ndoa yao, lakini ghafla mwanaume...
@ausha,baba mngoni ,mama mchagga.......
......wa kwanza alikuwa mhaya, bishoo sana, very bright , home kwao nusu ulaya
Huyu alinisumbua sana, na alinipotezea sana kujiamini ilifikia wakati hata...
Habari zenu.
Jamaa yangu hapa amekua akinishawishi sana kujiunga nanyi lakini sikua nakaa sana humu nikiingia.
Lakini toka mwishoni mwa mwaka jana nimekua nikifuatilia topic zenu humu zime nijenga...
Katika yale yanaoonyesha sasa kumekucha
wale madada zetu wanaokuwepo kwenye bar mbali mbali kwa ajili ya kuhtimisha hamu za kaka zetu
wa aina mbali mbali sasa wamepanga kuandamana wakianzia...
binti mwenye umri wa miaka 26 anapolalama kuwa hana mtu tumsaidiaje? Adai anataka awe na wandani wake wa kusaidiana kulisukuma gurudumu la maendeleo.......lakini vijana wengi wanamhitaji kwa ile...
Hayati Carlos Cardoso
Hayati Nyimpine Chissano
Anibal Dos Santos Jr. Mtuhumiwa wa mauaji
Hayati Candida Cossa
Kesi hii ya mauaji ya muandishi mahiri wa habari za kiuchunguzi Carlos Cardoso...
wanazaa watoto wengi na hovyo hovyo ambao wanashindwa mpaka kuwahudumia matokeo yake wanakaa kulaumu hovyo oh maisha magumu nashindwa somesha familia kama wangekuwa wachache wasingelaumu
The causes of anger are complex and to mention a few in brief are;
1. Parental Example [Parents have influence on personality development throughout childhood & adolescence.]
2. Cramped Cities...
Wapendwa je wote mu wazima?
Nisaidieni ninaomba kwani nafikiri sijitambui au sijijui.
Mbona mimi sipati shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo!!
Je inawezekana kuwa sijawahi...