nahisi ni mwanaume wa kipekee sana.
huwa siwezi kuwa na relation zaidi ya moja at a time..na kama ikiwa hivyo basi ujue lazima ntadakwa tuu!!
najua si jambo jema kuwa na relation zaidi ya moja...
Kumbe mwanadamu achana naye kwani akiamua jambo lake na kulikamia lawezekana tu..................huyu binti alibatizwa jina la 'hailali" kwa sababu kwa jinsi ambavyo alikuwa akiipigiza mtaani ile...
Wana Jamii
Baada ya Mchakato wa Kura za maoni Kumalizika na Kusikiliza Rufaa zote, Tume ya Uchaguzi ya JF (JEC) imepitisha Majina ya Wagombea Watakaoingia Fainali na Kupigiwa Polls.
Ili...
Habari za siku nyiki wapendwa kaka na dada, nimejitokeza kwenu, kuomba ushauri na uzoefu wenu katika hali kama hii nayoisikia sasa. Sio lazima nikisema mimi iwe ndio mimi kabisa eeh. Yawezekana...
"...nilishamwambia nini wewe, kupenda sana utakuachizi wewe, hayanaga ujuzi yawe, kila mtu analilia mapenzi. KARIBU CHAMA LA BACHELOR ukinipenda namaliza leo leo tu, siku hizi kwa kudanganyana...
Hivi ni kwanini lakini....................akichachamaa mwishowe wake huwa ni mtamu kama alivyonisumbua...........but why is it like this................................if she plays hard to get she...
habari zenu wanajf...nipo hapa leo kusema kinachonisibu na jf membaz wenzangu.....kwanza kabisa nashukuru sana kwa ushirikiano tulionao wana jf kwa siku zote hizi na pia nashukuru kwa Pm's zenu...
sio mimi smile
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25,
nilimaliza form four miaka kadhaa iliyopita kwa bahati mbaya sikuweza kufaulu kuendelea na kidato cha 5,
nilipata division four ya...
Jua lililokuwa limetawala lilimezwa ghafla na mawingu yaliyokuwa yametanda.kiupepo kilianza kuvuma na kubeba takataka nyepesi na kuzirusha juu na kulifanya angaa litawaliwe na rangi nyeusi ya...
Hii maneno nimeisikia nusu saa ilopita toka kwa mashostito watano walokuwa wanapiga domo muda huu wa kazi. Unajua tena hizi ofisi siku hizi zinatenganishwa kwa soft wood sio kama enzi zile za...
Habari zenu wakuu,
Nimepatwa na matatizo mpaka najihisi na mikosi.Kila siku ni mimi tu wa kulia, ni mimi tu wa kuwa mpweke nimechoka nimeamua nije kwenu mnishauri.
Napenda sana kuwa na mtu...
Unakuta mtu umepanga kukutana na galfrnd wako,let say saa 8 mchana,anajikawiza hadi inafka saa 12jion,afu ndo anakuambia,''unajua nin honey,mumy alinipa kazi flan,yan ndo nimeimalza saa hz,afu...
jaman tusaidiane katika hili najua humu jf members tutakuwa tumekutananalo au tulikutananalo au tunakutananalo katika mahusiano yetu...,unakuwa na mpenzi ambae anakupeenda sana mpaka wewe mwenyewe...
The Woman with Two Vaginas! (Hazel Jones) - YouTube
A WOMAN told yesterday how a one-in-a-million medical condition led to her being born with TWO fully-formed vaginas.
Hazel Jones, 27, said it...
A woman with two vaginas who has captured the attention of the porn industry has said she would never consider accepting any role in a film.Hazel Jones appeared on TV earlier this week, where she...
...nimepewa more than i can chew
Nilijigamba mimi rijali lakini maji yamezidi unga
Nyumbani pamekuwa ni pakuvizia
Nikirudi ni usiku wa manane
Mtu kanidokeza ni NYMPHOMANIAC
Mwanaume hatakiwa...
Habari zenu wana jr..i hope mnaendelea vyema na ujenz wa Taifa
jaman me nmekuja hapa cjui nielezee vipi lakini kikubwa ni kuwa nimemiti na rafiki yangu wa humu jamii forums ni HB alafu kuna vitu...
Un-vote
Waume wanao-cheat, wako hatarini zaidi kufa na heart attack wakati wa ngono nje ya ndoa zao
Wanaume wanao-cheat wake zao wana sababu nyingine ya kuhofu zaidi ya wasiwasi wa kubambwa...
Nimesikia sana usemi huu 'free is expensive' binafsi sijaufuatilia sana ila kwa uzoefu wangu huohuo mdogo nimeona kuna kaukweli. Ila sasa nikiangalia maisha yangu naona kama Mungu, wazazi, ndugu...