Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

nilichofanyiwa mimi sitasahau. niliingia humu jf sasa yapata miez 4 nikapata demu humu jf tumewasilia kwa muda akasema anaishi dar akaniomba nimtembelee nimeenda dar kumbe ana mume nusu wanibikiri...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Upo na mkeo kwenye eneo la matanuzi, hapo mmeagizia pombe na mnasubiri msosi wanguvu mle muondoke nyumbani Mazungumzo yenu hapo ni ya amani na vicheko kwa sana. Mara mgongeshane mikono, mara...
1 Reactions
71 Replies
9K Views
Siku moja jamaa mmoja alienda kununua viagra( dawa za kuongeza nguvu za kiumea) kwenye duka fulani la madawa, bac kulikuwa na docta pale akampa dawa flani na akamwambia ile dawa angeweza hata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wa kwangu sasa hivi natamani nimtafune nimmeze, presha imepanda, kichwa kinaniuma, yaani nasikia kizunguzungu, wana nini watoto hawa? Niacheni nilale nisije nikampasua kichwa!
10 Reactions
206 Replies
12K Views
Kuna mama mmoja jirani yangu ambaye siku hizi tabasamu halimtoki mdomoni...............nilipomwuuliza hizi nderemo ni za nini jibu alilonipa liliniacha kinywa wazi nikapigwa na...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
.....wakati wa kula hasa chakula usichokifahamu, ni kawaida ya mwanadamu kuonja kwanza. Mwonjaji akisharidhika na chakula ndipo huagiza/huitaji chakula tayari kwa kula hadi anapotosheka na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
jamani natafuta events planner,kama yumo humu ndani aniPM tafadhali.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
nina rafiki angu ,mumewe anacheat sasa ndio amegundua sasa anmpenda mumewe lakini ajui afanyeje ,mana huyo mumewe kamfanyia mambo mengi yule mwanamke mwingine je anaomba ushauri wenu jamani
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wana jf kuna waziri wa sekta flan na ameoa ila anansumbua ananihonga hadi gari hii inanifanya hadi nitake hama nchi ushauri plzzzzzz regards tracy wa njiro
0 Reactions
140 Replies
12K Views
Naomba msaada katika hili......ni vizuri kumwambia mke/mume/mpenzi wanaokutongoza?
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwanza natoa heshima zangu za hali ya juu kwa ODM na DC!Babu zangu wa ukweli!Naona kama hamjatendewa haki kutokuwekewa category yenu spesheli kwa ajili yenu na babu wote wa JF kwa hekima zenu...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Hehehee Mwaj kakuingiza chaka Supamani ,bona tunakwepana mkuu? Mie sijamuingiza chaka bana labda kama wanampango wa kuchakachua.
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Sijui ni utaratibu gani hutumika kumpata mpenzi aliye mkweli,kwani ni imani yangu kuwa kila kilicho chema kina mahusiano ya moja kwa moja na Mwenyezi Mungu,lakin ajabu kuna watu wanapata wapenzi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo nimekuja na ombi lingine. Hivi mwanamke (mama wa nyumbani)anastahili au hastahili kupewa pocket money ya kujinunulia vitu vyake vidogo mpaka aviorodheshe kwenye list ya vitu vya mwisho wa...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
habari wanaJF,naomba ushauri,hivi unafanyaje kama mkeo hapatani na ndugu zako hata mmoja,ingawa ndugu ndio wanamletea chokochoko yeye ni mpole na ni mtu mzuri.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Soma hii tungo je kuna ukweli juu yake?Eti mwanamke nikama JIMBO MWENYE SERA NZURI NDIYE ANAYECHAGULIWA??Je hilo nikweli je imekaaje??
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wadau, kwa wale wenye watoto haswa wanaume naomba mnisaisie hili. Nina mtoto mmoja wa kike ana miaka 3,huyu mtoto ametokea kunipenda sana kuliko mama yake ingawa wote tunafanya kazi na...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Eti kamuacha kisa alikuwa anahudumiwa sana kila atakacho...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Namshukuru Mungu kwa kuwa ni rijali.Lakini pia wakati wa kula tunda huwa inanichukua muda mrefu sana bila kamanda kusinzia.Niseme 1,2,3 ndio jamaa walau anasinzia.sasa sijui niseme ni 3 times 1 au...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani kuna mwanaume anauwezo wa kutofanya mapenzi kwa MIAKA 3? Mtu huyu hana tatizo lolote, yuko fit kabisaaa!Eti anakuwa anajizuia apatapo hamu ya kufanya tendo?Je inawezekana?
1 Reactions
92 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…