Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wadau kwa kuzingatia nature ya jina langu, mambo yangu etc je mwazani ni binti gani humu wa MMU twaweza make couple? I mean kijina jina tu (by combining names). Mfano RICHARD + TATIANA = RICHANA...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Si lengo langu kuendelea kuwakwaza wale waliokwazika kwa uzi wa kwanza, bali ni kutoa mawazo yangu juu ya mtizamo wa mada tajwa. Wanawake wamekuwa na historia ndefu ktk maisha ya mwandamu. Toka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwenye hii ofc mm ndio mdogo... kuna maza cku hizi cmuelewi... kila tukishikana mkono... anaukwaruza kwaruza na kucha... huku akicheka damu yangu inakimbia chaaaaarrrr!! ana maana gani?? na...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Nimechunguza, nimetafiti na nimegundua na kuvumbua kuwa wanaume wengi hawapendi kuvaa pete zao za ndoa kwa visingizio mbalimbali, na kuna kundi lingine ndio huwa linatoka nyumbani wakiwa na pete...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Nimejaribu kuchunguza mara nyingi nimekuja kugundua kunatatizo katika kizazi hiki cha leo, Moja ya tatizo lililopo nikutokomaa kwa ndoa za sasa kutokana na wengi wao ndoa zao kuvunjika kabla ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi ni kwa nini watu wanapenda kwenda nje ya mahusiano(kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja)
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Rombo Moshi Kilimanjaro, Bw. Priva Elian (29) amekata sehemu zake za siri na kuziondoa kabisa kwa kutumia kitu chenye ncha kali. Amefanya hilo kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kugombaniwa na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nikiwa ktk hali ya sintofahamu, ghafla nilistuliwa na mlio wa gari nyuma yangu. Iddy Mtimkavu alishuka kwa kasi kwenye land cruiser DFP mali ya ofisi akanifuata kwa kasi. Dereva huyu alinizoea...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
msichana jirani kanywa sumu juzi ..kisa kakuta meseji ya kimapenzi ya mdada mwingine kwenye simu ya boyfriend wake ... eti ndio solution?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Dear Sir I refer to the recent death of the Technical Manager at your company and wish to apply for the replacement of the dead manager. Each time I apply for employment I am told there is...
0 Reactions
1 Replies
824 Views
Man jailed for displaying his "33cm" manhood in public A Bulawayo man, Thabisa Nkomazana, who sensationally claimed that his manhood measured 33cm, was convicted by a magistrate for public...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
MSEMO wa mapenzi yaua nusura utimie kwa mrembo Sophia Amir, baada ya kuamua kubwia sumu, kisa kulikosa penzi la mtoto wa mkuu wa mkoa (jina kapuni), chanzo kinaarifu. Mwishoni mwa wiki...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Eti kumbe 98% ya mada zinazoletwa na wadau mbalimbali kwenye hili jukwaa la MMU huwa ni za kutungwa wakuu?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
jamani uhaminif umepungua kwa kiasi kikubwa miongoni mwa wapenz ,sasa hatua zinazofaa zichukuliwe haraka kunusuru vizazi vjavyo,kwani naisi watu wataanza kusaka wachumba pindi tu anapozaliwa ata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF, Habari za leo? Kwa muda sasa nimekuwa nikitafakari namna ambavyo kwa siku za hivi karibuni, watu wamekuwa wakiandaa hizi birth day parties ... Kwa kifupi, wimbi kubwa limezuka la...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Life has many different chapters, one bad chapter does not mean its the end of the book. We should be counting on the progress not problems.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Siku hizi ndoa nyingi hazidumu kama zamani je ni usasa tulionao ama kuna mambo tumeyasahau ndugu zangu naomba mchango wenu napenda nijipange?!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau,hii ni habari ya kweli kutoka court of appeal (mahakama ya rufaa) session ilokaa mwezi huu wa february pale Mwanza.. Kesi ilianzia mahakama kuu na hatimaye rufaa kufika huko..kisa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mambo jaman jana tarehe 27 nimeenda kumtembelea rafiki yangu Tukaongea mengi mno ila mwishon akanieleza kuwa kuna jambo linasumbua kichwa chake.Jambo lenyewe lipo hivi. Yeye ana rafiki yake...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nina mtu wangu na nampenda sana, kuna siku nilimake apointment na mdogowake na gf wangu na lengo kuna ishu nilitaka kujua juu ya gf wangu, cha ajabu alimponda sana dada yake, sikujali zaidi...
0 Reactions
94 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…