Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

: Kijana wa Kitanzania aishiye huko Marekani alimpigia simu mama yake. Maongezi yao yalikuwa kama ifuatavyo: Kijana: Mama, nina virusi vya UKIMWI! Mama: Mwanangu, ninakusihi, ninakusihi...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Hatukuwa watoto kihivyo ingawa tulistahili kuwa watoto. Niko f2 mwenyewe yuko F1. Wakaja shuleni kwetu kwenye zile inter school social. Jamaa tulikuwa mabreak dancers acha utani! Basi katika lile...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Ndugu zangu wanaJF Nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja wa kichagga kwa mwaka mmoja sasa,na kama mjuavyo siku zote mahusiano ya watu wazima wawili yanahitimishwa na ndoa’sasa ishu yenyewe ipo...
1 Reactions
70 Replies
7K Views
you women are so ivo... halafu sio "grid"....nadhani ulimaanisha "greedy" sio? Yeah hivo hivo greedy!... Not all women are ivo..there nice and smart women out there sema tuu samaki mmoja...
0 Reactions
96 Replies
10K Views
Mmeisikia habari hii,mimi nimeisikia leo redioni nikaona niwape wale ambao hawajaisikia.JAMAA KAFYEKA SEHEMU ZAKE ZA SIRI,KISA KUGOMBANIWA NA WANAWAKE WAWILI
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hebu tuchukulie kwamba, umefuatwa, au unafuatwa fuatwa na mtu uliyewahi kuambiwa kwamba ni baba yako ambaye alikukataa tangu ulipokuwa mdogo. Baba huyu alikukataa katakata kwamba wewe sio mtoto...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Does true love ever die? Can someone lend something to this topic please?
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Heshima kwenu Wadau, Nina mtoto ambae nlimpata Kitambo tu nkiwa Form 5 Mwaka 2000 but sikubahatika kuendelea na Mama yake kwani sikua tayari kuanza Maisha ya kujitegemea wakati huo. Sasa yule...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
long distance relationship kama wazungu wanavyoita hamna tofauti na mtu aliye single, so painful if u real in love,usiombe yakukute ndugu yangu,kwa wale wa wanaoishi bongo campan ni kubwa ya...
1 Reactions
50 Replies
6K Views
Hebu nikuulize wewe mwanamke. Je umewahi kumficha mumeo au mpenzi wako kitu chochote kuhusu maisha yako ya zamani au ya sasa? Je mumeo au mpenzi wako ameshawahi kukushangaza na siri ya mambo yake...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni mjadala mzito nnilikuwa na jamaa yangu mmoja ambaye anashughulikia hapa mambo ya Domestic Violence. Position zetu zilikuwa mbili tofauti moja ni kwamba huwezi kuwa survivor bila kuwa victims -...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Inafahamika kuwa siku hizi wanawake wengi wanafanya maamuzi kwa utashi wao.. tofauti na zamani....siku hizi wamewezeshwa na wanaweza...... wapo wanaotongoza wenyewe wanaume... wapo wanaotoka nje...
5 Reactions
79 Replies
5K Views
Ndugu zanguni wana JF; Leo nimeona niwaletee dokezo tu kwa mengi niliyochunguza juu ya mahusiano hasa ya mapenzi, uchumba na ndoa. Kichwa cha habari chahusika. Sababu ya kwanza ni KUTOKUJIAMINI...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
A way to a man's heart is through his stomach................. Kwa tafsiri yangu ya elimu ya ngumbaru ni kuwa ukiwa mpishi mzuri wa chakula, basi umewin moyo (mapenzi) wa mpenzi/mume wako...
1 Reactions
2 Replies
974 Views
shuleni kulikuwa na utaratibu wa kupimwa mimba kila tufunguapo shule baada ya wiki mbili.ila upimaji wake daaah huwa nautafakari sana mkuu wa shule alikuwa wa kiume,daktari wa kiume even tulikuwa...
5 Reactions
238 Replies
16K Views
Hodi wanajukwaa, Kuna jamaa mmoja, umri 27 yrs, nahisi kachanganyikiwa na mapenzi. Historia yake inaonyesha amekuwa hurt na mpenzi wake wa kwanza. Baada ya kuachana na huyo mpenzi wake, akakutana...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
jamaa alimpenda demu akamtumia rafiki yake ili kuweka mambo sawa kweli yule rafiki akamsaidia kumtongozea rafiki yake jamaa wakaanza uhusiano. katikati ya uhusiano jamaa akarudi kwa yule rafiki wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau, This is serious, dogo kaja mbio amechanganyikiwa... he loves siblings, na anvyohisi wote wanampenda na kama na wao hawaelewi wafanyeje, they are scared to ask him and he is scared kwani...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Miezi saba baada ya kuvunjika kwa ndoa yake, tayari J.LO ana boyfriend mpya. This time ameamua kuchukua kabisa toyboy mwenye umri wa miaka 24. Toyboy tayari kesha move in to help out with the...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…