Wengi tunapo fanya mambo yetu yale na watu ambao hatu waamini huwa tunatumia PSI. Lakini huku tukiwa tunakula lita za fluid. Ina maana hizo PSI tunavaa kwa mazoea au?
Eti wadau,kwa wale ambao mlikua na ma galfrds/boyfrds wakati mko vyuo vikuu,ivi baada ya kumaliza vyuo then kila mtu akawa mkoan kwao maisha yalikuaje,maana najua wengne hata ile jero ya kununua...
unajisikiaje mvulana wako anakuambia kua siwezi kukupigania hata siku moja....... kwanini nife kwasababu yako wakati wasichana wako kibao...hapo kuna love kweli
Nipo stand isiyo rasmi ya basi.Ni kijijini. Natoka Tanganyika kuelekea Tanzania.Punde anasogea binti mdogo, kati ya umri wa darasa la saba na kidato cha kwanza. Nikiwa kijijini, sikujali kukata...
Jaman mimi nampenz wangu tunapendana sana tunazaidi ya mwaka na tumepanga kuoana lakin tatizo ni mamamkwe aliona sms zangu kwa mwanae sasa ni mlokole hanitak mimi ni muislamu lakn niko tayar...
Katika kufuatilia kwangu naona wanawake wanacheat sana kuliko wanaume sema watu wengi wanajua kama wanaume ndio wanacheat sana,,haionekani kama wanawake ndio wanacheat sana kwa sababu wanawake ni...
Swala la kupenda ni jambo muhimu sana katika maisha ya binadamu na ni mojawapo kati ya mahitaji muhimu sana ya kijamii kwa mwanadamu. Kila mtu anahaki ya kupenda na kupenda. Kwa upande wa upendo...
Wanajamii wenzangu ninatatizo linaniumiza kichwa nilikuwa na demu wng 2liishi nae muda ikafikia akaanza kubadilika nikaona nimteme sasa yapita miaka 2 nashangaa siku hizi ananilazimisha...
Nategemea kufunga pingu za maisha na mwanadada mrembo wa humu ndani, kama familia moja ni vema mkaonyesha support yenu hasa katika michango ya harusi hii.. jina la bibi harusi ntalitaja hapo...
When wife / husband gets one child will be called a PARENT, but when gets two children will be called REFEREE and when gets three or more children will be called SPECTATOR.
Jadili kama kuna...
Zaman kabla mpenzi wangu bado kujiunga jf nilikuwa huru natoa masiri hata ya chumbani kwa niaba ya kutafuta solution humu jf.Na huwa anashangaa mimi kuwa bize na jf haswa jukwaa hili MMU juzi juzi...
Baada ya kusoma thread nyingi hapa MMU nimegundua kwamba linapotendeka kosa kwenye mahusiano watu wengi wanaelekeza lawama kwa mhusika na kusahau mazingira. Ghafla jana baada ya kukosa usingizi...
I wanna marry my son
Sunday August 17, 2008 00:49 - (SA)
A Zimbabwean woman and her son have done the unthinkable they have
fallen in love with one another.
And now they want to marry...
Ni mazingira gani, au ni umri gani mwanaume anafikia hatua anaamua
kutokuoa kabisa. Nalizimishwa kuoa na ndugu, jamaa na marafiki, (sijui nimuoe nani sasa) eti umri nilionao (32) ndo wa kufanya...
Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life
jamani wana jf tuwe wastaarabu kwa kujali muda. mapenzi yawe na muda wake na kazi zipewe muda wake. kuna tukio moja lili tokea katika wilaya ya kahama tar 13 februar ambapo mhandisi wa halmashauri...