Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Rafiki yangu ambaye anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa Tano, baada ya kumtaka mapenzi mpenzi wake kabla ya kufunga ndoa, mpenzi huyo amemkatalia katakata kwa kile alichodai kuwa anaweza...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
ati, hapo penye U inakuwaje?cjaona nyuzi zake...izo M naona ziko kibao...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kutwa kucha kusengenyana na kusemana vibaya. Kuoneana wivu na kijicho. Kusingiziana mambo mabaya na yasiyo ya kweli. Kuombeana mabaya. Kuchukuliana waume/mabwana/wapenzi. Huku mnajifanya marafiki...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Unamdanganya msichana wa watu,huna girlfriend,kumbe unae,unamdanganya mvulana wa watu,upo pekeyako,kumbe wapo wengi.Ipo siku woteee watakukimbia,utawatafuta utakuta wameshaoa au kuolewa..Usijesema...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kumekuwepo na wimbi kubwa la wanawake wenye ndoto ya kuwa na makalio(makadi) makubwa kwa njiayeyote ile ,alimradi makalio yake yatutumke inapofika kwa wanaume makalio (makadi) yamekuwa ni moja...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu,nikiwa natimiza miaka kadhaa siku ya leo,nina furaha kubwa maishani mwangu.Pamoja na malezi ya watu wangu wa karibu,Watu wote wa Jf,wake kwa waume mmeyabadilisha maisha yangu.Ni mizigo mingi...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Mwanamke kamili ni mwanamke ambae anajiweza kihisia na kifikra, mwanamke ambae sio tegemezi wala maisha yake hayatawaliwi na kuzira. . . Badala ya kuzira unajieleza. Mwanamke ambae anaifahamu...
6 Reactions
64 Replies
5K Views
Being in relationship ain't something simple and sometimes ain't difficult as well. We always face some difficulties that creates questions, lots of questions, here are some Questions that I've...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Nikiwa na my girlfriend asomaye udom week end hii nikiwa nimekwenda kumtembelea kama kawaida tukaanza kupiga story za hapa na pale tukiwa chuoni pale nikiangalia mazingira mazuri ya chuo kile mara...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Wajameni salaam kwa mpigo. Ukubwa dawa wajameni...... Hii biashara ya mabinti na baba zao kuwa "washkaji" sijui imetokea wapi. Jana nlikapeleka kabinti kangu kapendwa shule kuanza maisha rasmi...
26 Reactions
159 Replies
9K Views
Ukweli elimu inamsaidia mtu kuwa na ufahamu katika maisha na kujua jinsi ya kukabidhi changamoto za maisha na kadiri mtu unapozidi kusoma ndivyo ufahamu na uwezo wa kupambanua mambo unakuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa MMU...naomba kujuzwa uzoefu (xperiensi) na mikakati kama mtu ana elimu ya juu kiasi amempenda na ameoa mwanamke elimu yake ndogo kama hiyo anaweza kumwendeleza vip ili apate...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Kuna watu katika nahusiano wanaamini jatika kuagana. Wengine hawaamini katika hilo. Siyo katika kuaga tu bali pia katika kuulizana. Kwa mfano, mtu akitaka kutoka anaweza kukuuliza "unakwenda wapi"...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
A popular motivational speaker was entertaining his audience. He said : 'The best years of my life were spent in the arms of a woman who wasn't my wife!' The audience was in silence and...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni girl wangu wa cku nyngi sana{ie tangu primary},tulikua tukisaidiana mambo mengi tu,though smtym tulikua tunaznguana na baadae tunasameheana,last tym{ilikua mwaka jana mwezi wa 10} alnambia ana...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwanaume anapotuma ujumbe wa simu kwa mpenzi wake, akimwambia kwamba, hataweza kutimiza ahadi ya kukutana naye jioni kama walivyokubaliana, kwa mwanamke tafsiri itakuwa nyingine. Wataalamu wa...
7 Reactions
38 Replies
6K Views
The If Love (ikiwa unamtimizia mahitaji yake hususan pesa hawezi kukuacha but if poverty comes in through the door, love fly out through the window) Because Love (Kwa sababu unamridhisha hususan...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mganda wange ayagala alina silimu. nageza kumugamba, nayegana. kakti alinachisipi........................Banange!
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Pale inapofikia kuandika jina la mpenzio mwilini mwako tena kwa permanent ink, huwa unakuwa unafikiria nini? Pale mwanzo unapoingia kwenye mahusiano akili yako yote haifikiri je ikitokea siku...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani kulala ni amani na ni pumzisho la mwili na ukiwa umelala saa nyingine hutaki kitu kikuguse na hasa hii uendana na mazingira husika!Mara nyingi wanawake wana milalo tofauti na wanaume labda...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…