Wana bodi! Ni hadithi ndefu sana, ila kwa ufupi wake ni kuwa mtumishi mwenzangu tunaefanya kazi ofisi moja na desk moja amemuweka kimada aliyekuwa mpenzi wangu kwa miaka 4 na...
Wanawake mimi nawaheshimu sana lakini katika mnanikasirisha sana. Wanaume wanaojihusisha na matendo ya kishoga mara nyingi marafiki zao ni wanawake hawa wanakao nao na hivyo kuwapelekea na wao...
Habari Zenu wana MMU!!nimeona leo nizame pande hizi kwanza tujuzane maujanja ya Mahusiano cunajua tena mapenzi yana kimbiza dunia...au sio?..sema ndiyo basiii....!hata kujibu shida kah!haya bwana...
jirani yangu ana tabia ngumu sana mie huwa nina tabia moja kwa vile ni mfanyakazi ninapokuwa siendi kazini sina muda wakwenda nyumba za watu ila kama msiba au ugonjwa nashiriki vizura maana mara...
Eti wana JF wenzangu nifanyeje mana kuna msichana mmoja nataka niwe nae bt ye anataka 2we friends nikimwambia siwezi kuwa friend na ww hataki kunielewa. Je nifanyeje jamani?
Habari member wa jf.natumai kwa uwezo wake mola tuwazima.nimejitokeza leo baada ya kupotea kwa muda mrefu sana kwa majukumu yaliyopo ktk dunia hii.......nina rafiki wa karibu ambae alizaa mtoto...
habari wanajf na hongereni kwa juhudi za kuelimishana,
kama miezi mitatu iliyopita nilikuta post huku jamaa moja akilalamika kuwa mpenzi wake ni wa baridi yaani wakianza ule mchezo hahisi joto...
Jaman!
Baada ya kuja na visa vyangu vingi kipindi cha nyuma,nilipata mpenz mwingine ambaye tulipendana kupita kiasi,ila kibaya alikua nimwepesi kukasirika,hata kosa dogo analikuza na mm nilikuja...
Kha! mpaka inakera.....sasa...................wanawaaaaaaake wanawake.......wanawakeeeeeeeee
Mie ni dume lakini kwakweli nakereka na utitiri wa hizi mada za kuhusu wanawake................kwanini...
Nilikuwa na girl friend tangu 2002 hadi 2006. Tulipendana sana ingawa hatukuwa na kipato chochote maana tulikuwa wanafunzi, tulipohitimu form six mwenzangu alianza kubadilika kitabia na...
Kumekuwa na kijitabia kichafu tena cha siku nyingi kwa baadhi ya wanaume,kijitabia hiki ni cha kuwapa mimba mabinti na kuwakataa bila sababu za msingi,kwa mfano mtu mwingine anaweza kusema eti ana...
WanaJf ninapata utata kua ni umri gani ambao kwa mwanaume anapaswa kuoa mana me nina27 na naona nimechelewa maisha ukitegemea kwanza ndo nipo first year,naona wenzangu nimechelewa maisha,cu...
Mwanamke kuitwa muhuni,au mwanaume kuitwa playboy,siyo sifa,unajiaribia heshima yako kwa wote wakuzungukao.Kila msichana kuitwa mpenz wako ni aibu,kila mvulana kuitwa mpenz wako pia ni aibu...
Kuna jamaa yangu alikua na girlfriend wake kipindi 2nasoma alimpenda sana lakin yule dada hakuwa mwaminifu akawa anatoka na jamaa mwingine mi nakajua ikabidi nimpe habari jamaa yangu baada ya...
Habari za mapumziko wakuu! kuna binti nampenda sana lakini anasema kwa sasa haitaji mwanaume yeyote kwani ndo kwanza hata maumivu ya moyo wake hayajapona kwahiyo namkumbusha machungu2 na hawaamini...
Habari zenu wana MMU!
Kuna binti rafiki yangu nimeonana nae jana anasema ana mimba ya miezi mitatu na jamaa yake hana mpango nae na kashakimbia bongo hii. Yeye anasema hawezi kurudia makosa...