Kama ilivyo kwa watanzania wengine hususani wakazi wa dar, huyu mwanajf mwenzetu ni mmoja wa waathirika wa mafuriko ya usiku wa kuamkia leo ktk makazi yake huko Tabata. Matatizo ni sehemu ya...
katika ukweli kila binadamu yupo hapa duniani kwa kazi maarumu inashangaza watu wanajadili ndoa nyingi siku hizi zina vujika sababu kama nilivyo anza siwote wanawito wakuoa au kuolewa tatizo...
A driver was taking his boss to the airport, the boss noticed hed forgotten an important document at home & went back at home.
His wife was bathing with soap on her face: the husband tip-toed...
Man collapses as he discovers prostitute he hired is his own daughter
A Nkulumane 5 man,Titus Ncube got the shock of his life after a commercial sex worker he allegedly called to his hotel...
Simu inaita, Mdada anapokea, jamaa anaongea kwa sauti ya kishamba hivi ...Haloo mpenz, ndo niko kona ya mwisho hapa...
Mdada ambaye anaonekana mjanjamjanja, anajibu ....Okeeee,... nimekwisha...
Rafiki yangu akiwa ktk starehe ya dunia waswahili wanasema kukata gogo hamadi ukuta wa choo passport size ukashuka na kumkandamiza rafiki yangu huko mbagala ukuta ulivyo shuka na choo kikashuka...
Ni miaka minne (4) sasa tangu nimefahamiana na mkaka mmoja. Tulifahamiana wakati ninasoma course flani "c mnajua tena mambo ya kujiendeleza ukubwani" yeye alikuwa mwalimu wangu na ananizidi miaka...
heshima yenu wana mmu!...
kwanzaa kabisa natoa pole za dhati kwa watanzania wote waliokutwa na maafa ya mafuriko hapo jijini dar....!poleni sana na kimsingi watanzania wengi tupo pamoja katika...
Hivi kwa nini kunako 6 kwa 6 baadhi ya watu wanakera sana?
Utakuta mtu ametoka na mtu wake,halafu wameingia kutiana mshawasha
kwenye nyumba za kupanga uswahilini!
Halafu unakuta mdada anapiga...
Yanayo tupasa kufanya wakati wa kutongozana. Imeandikwa, Warumi 13:13 "Kama ilivyohusika na mchana na tuenende kwa adabu si kwa ulafi na ulevi si kwa ufisadi na uasherati, si kwa ugomvi na wivu."...
Jamaa alikuwa ana mke na watoto wa wawili(mmoja wa miaka saba na wengine wa miaka mitatu hivi) wakati kapanga chumba kimoja huku kwetu uswahili kama unavyoelewa tena kitanda chenyewe kimoja so...
Habari zenu, nimekuwa nikipita hapa kama guest for long nimepata jambo linalonitatiza nikaona nililete hapa:
In short mimi ni mschana mwenye miaka 25 mpaka kufkia umri huu nimepitia mahusiano...
Ivi ulivyojiunga na JF kuna watu mkawa hamfahamiani mnawasiliana hapa tu,labda mkabadilishana no za cm etc,je ulikuwa unawaza(kabla hamjaonana)huyo mtu yukoje?umbile,tabia,rangi etc mm kwa mfano...
Mpenzi wangu,ni mara nyingi tu hutokea ndotoni anamtaja kijana ambaye ni jirani yetu.
Akiwa kama anaweweseka hutaja jina kwa sauti na hata siku moja ndotoni alimwomba ampe kampani amsindikize...
Inasemekana wanaume walisoma masomo ya kujieleza na hawa waliosoma masomo magumu magumu kama engineering n.k.. Huwa wana urgue tofauti na pia hata katika ku-solve matatizo wana tofautiana...
KAMA WAZURI SIO UONGO UMEWAZIDI
NAMI NAAPA KUKUPA THAMANI YA PENZI
MAPENZI SIO PESA ILA NI UKARIMU BUSARA NA IMANI
NIKIKUPATA,MILELE NITAFURAHI,NITAIMBA NAKUPENDA
HADI MWISHO WA UHAI
NASHINDWA...
Nimekuwa nasikia kila kona watu wakiongelea kichinichini kuhusu siri za familia ama ukoo ambazo huwezi kuzijua hadi ukioa ama ukiolewa huko, ama mtu wa karibu sana akwambie.
Je ni kweli kuwa kila...