habari zenu wapendwa! mume wangu alikwenda site tunako jenga, alikwenda tangu asubuhi, akarudi sa 8 usiku, na alipokuja nilimfungulia mimi na akalala tv room, ila anachonishanga akiwa site huwa...
Nawaomba members wapenzi wa kiswahili na sanaa ya ushairi tubalidishane maoni na baadhi tungo za kishairi ili kuboresha lugha na kuinua hadhi yake. naomba nipeni maoni yenu kuhusu "kilio changu...
Kuna mdada yuko raskazone- tanga,alikosea namba, simu ikaingia kwangu,nikapokea fresh thn me nkamwambia kakosea number,toka cku hyo mdada wa watu hapitishi cku bila kunipigia simu eti asikie tu...
Kwa nini wanaume wanakuwa wakali wife/girl friend/lover wanapo pewa vitu na watu wengine? Na kwanini kitucha kwanza wanafikiri ni kuwa wamepewa na wanaume?
Is it because they do the same to other...
Mwanamake anajua fika kabisa kuna family nyumbani mke na watoto..shida yake sasa amekwisha kutamani ulalale naye hata siku moja,sasa atakapoanza kukuonyesha mapozi mwanzoni..akitoka hapo...
Habari JF,
Siku nyingi kidogo sikua nimeingia kwa jukwaa kwa sababu ya majukumu ya hapa na pale
lakini leo nmebahatatisha ka mda kiddogo.
Nimejikuta nikiwaza, na nikahitimisha kua tunahitaji...
Nimekuwa nikijiuliza hili swali kila siku, Wana JF ambao mmeajiriwa maofisini, hivi huwa mnapata muda kweli wa kufanya kazi za ofisi? Na mada mnazoposti hususan za mahusiano huwa mnazipata wapi...
Muda huu tunapoongelea uhuru wa miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika, kuna mwanamke hapa Chan'ombe Dodoma limemshuka, tena looooooooooooooote! Ameolewa ana miaka 9 ktk ndoa yake ingawa hajabahatika...
Kwa muda nimekuwa nikiwachunguza wanawake/wasichana ambao wanaingia katika mahusiano/ndoa kutoka katika familia ambazo wazazi wametengana au waliwahi kutengana. Kwa wachache nilipata fursa ya...
Wadau naomba mawazo yenu.
Kuna binti tuko nae chuoni,ila nilifahamia nae zaidi baada ya kuattend conference pamoja hivi karibuni.
Tukabadilishana namba na tumekuwa tukichat tu mara kwa mara.saa...
1. Kuna watu hawawajali wapenzi kwa sababu wapo, thamani ya mpenzi ni pale utakapo mpoteza;
2. Kuna wanawake wenye bikira wanatafuta wakuzitoa, utaitamani lakini haitarudi
3. Kuna wanaume...
Ni kisa cha kweli kunarafiki yangu wa kiume alijiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi na msichana ambaye alikutana nae wakiwa wanachart facebook,na ilichukua mda mpaka anamtongoza,wakakubaliana na...
Life is like a trade. What is trade?
-Trade is any exchange; you give what you have for what you need.
-In Trading you release your liabilities and your acquire assets because all of us have Gods...
Unakuta umeenda kwenye show ya msanii flan na mpenzi wako,cha kushangaza huyo mpz wako anajifanya anaenda kumtuza huyo msanii afu anamkatikia mauno as if wanajuana..inanikeraga sana hii tabia.
Hiki ni kisa cha kweli kimetokea leo Mjini Dodoma. Endelea kupata uhondo............
Mtu anatoka 'guest' kufanya 'mambo' na mpenzi wake. Bahati nzuri ghafla anamuona dada yake naye anatoka...
Ni katika kusherekea miaka 50 ya uhuru. Ninatoa ofa ya kula chakula cha usiku na kuburudika kwa mrembo yoyote wa jf atakayekuwa tayari tuwasiliane 0657 93 83 95. Hppy brthday TANZANIA.
In her book, Dr. Holly Hein explores infidelity and teaches how to cope with its aftermath. By understanding the motivations behind the affair, betrayed spouses can learn to heal and rebuild...