Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakuu habari za usiku.kwa mara ya kwanza leo hii nimeamua kuongozana na mwenzi wangu na mke wangu mpendwa ili nikajionee sehemu anayonunulia vi-top,skin jeans,mapande manane na vimin skirts vya...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Wamarekani wazungu sasa hivi wanaoa sana wafilipina wa vietnamizi na waafrika ili wasijulikane ni magay . Niliona kwenye OPRAH network.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hili timbwili la leo la kufa mtu. Kuna jamaa kafumaniwa na Mke wake anabanjuka na mwanawe wa kumzaa kabisa. Hivi huwa kinatokea nini kwa jamaa kama huyu kutembea na mwanawe wa kumzaa. Kwa nini kwa...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Nimekuwa nikipata taabu kwa muda mrefu kwani mke wangu hanilizishi kabisa, na wazazi wangu hawataki nimuache nisaidieni wanaJF
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Hivi inakwaje unaenda na girlfriend kwenye show ya msanii maarufu...halafu anajipeleke jukwaani kwa kiherehere huku akimkatikia kiuno mpaka majasho huyo msanii kitu ambacho hajakufanyia.au upo na...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Imma.one sasa nimejivua kutoka kwenye chama cha wasela na Tarehe 26/11/2011 nafunga ndoa rasmi. Hivyo wana jf wote mnaombwa mhudhurie bila kukosa kwani nitakuwa na faraja sana kuwaona. Kwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Swahili: Alamba! - YouTube
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hey wana MMU za ijumaa, nimeleta wimbo huu special kwa wale vijana wote wanaonasa kimapenzi kwenye One night stand.....oneni mwenzenu alivokwama kuonja mboga kwingi kaonja mboga chungu lol week...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
mimi sijaoa , sitaki kuoa ila nataka mnishauri faida ya kuoa ili nipate hamu ya kuoa......
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Langu jna ni Lumambo,natafuta rafki yeyote yule awe wa kike au wa kiume 2badilishane mawazo,2waciliane kwa e-mail paschal_2@live.com
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Unaweza ukawa mmojawapo pole ila usiku wa leo kabla ujaenda kanisani kesho bora ujiangalie vyema ulioa kwa makusudi gani wapo wengi wameoa ama kuolewa wakiwa na malengo tofautiwapo waliooana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nasikia zamani (maana sikuwepo) kazi ya kutongoza na mpaka mwanamke kukukubalia ilikuwa ngumu kuliko kuomba mkopo benki siku hizi. Sina uhakika sana na sababu za wakati huo lakini inaonekana...
0 Reactions
73 Replies
5K Views
jamani leo nimekaa na dogo mmoja apa home anasoma hizi sent nanihii with usafiri hadi mlangoni..mara ghafla inanijia picha enzi izo nasoma vidudu hadi primary kulee kijijin kwetu....aah nimecheka...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Eti wamama mwalimu wao ni .......Ni mke wa mchekeshaji ze comedy wa ulongoni.mumewe kakuta anamegwa na muuza voucher wa goms.mr akaita masela wake.kumuadhi pale wakaona itakuwa so.jamaa kaachiwa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
habari wana jf. Ninaandika kisa hichi nikiwa na machungu sana. Mwanaume niliyetegemea atakuwa mwanaume wa maisha yangu amenigeuka na kuniacha peke yangu. Nilikuwa na uhusiano na mwanaume mmoja...
3 Reactions
139 Replies
9K Views
Mpigie simu , mwambie umesamehe au mwombe akusamehe hata kama yeye ndoo mkosaji. Haitasaidia kukaa nalo moyoni jambo lisilo leta faida usiku mwema
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Dada wa watu masikini aliletaga taarifa tumuombeage aolewe, mimi nikamuomebaga (hope na wengine), akapataga mume na ukawa mwanzo wa kututupa kabisa ...........kapotea jukwaani Where are you Miss...
2 Reactions
59 Replies
6K Views
Nimeamua kujikalia zangu pembeni tu na kujipenda mwenyewe.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hapo vipi ?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwanamke akipewa nafasi anaweza mengi ambayo mwanaume hayawezi linapokuja suala la mtu kupata kile anachokihitaji maishani wake. Mwanamke ndiye mwenye subira kuliko mwanaume,ndiye msamehevu kuliko...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…