Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Unakuta boy na gal wake wanakutana mahali,let say rum kwa mshkaji, wana do haraka haraka,thn hata hawaogi,wanaondoka hvo hvo kwenda kwenye misele yao.nimeisha shuhudia visa vya namna hi mara...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Imefahamika kuwa vitendo vya kishoga kwa our fellow brothers wa kitz wanaoishi Atlanta GA vimeshika kasi ya ajabu.Wengi wamekuwa wakifanywa vitendo hivyo kwa kutafuta urahisi wa maisha.Hii...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Wote tunavaa nguo zinazo itwa nguo za ndani, boxer, nguo ndogo, chupi ni baadhi ya maneno yanayo tumika. Swali: Ivi nani anawajibu wa kumFulia mwenzie nguo yake ya ndani. (mke /mume/HG ?).
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Eti jamani ni kweli mchumba anatafutwa kwa mitandao kama huu
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mara nyingine unaweza kujiuliza kwanini mtu kachagua ID fulani, Unaweza kucheka, kuchukia au kubaki kawaida na maswali yako. Kwa upande wangu nastahili kuitwa/ kujiita mcharuko. Naongea kutoka...
5 Reactions
152 Replies
15K Views
Habari zenu wana MMU? Mwenzenu nina changamoto nahitaji kujua kama nanyi pia mna/mmekutana nalo katika maisha ya urafiki na uhusiano na je mlitatua vipi? ili na mimi niweze kujiona sawa...
10 Reactions
147 Replies
9K Views
jamani mnakumbuka kuhusu yule mpenzi wangu wa humu kutokana na hali ya ujauzito nilionao na swala la kufunga ndoa ,inabidi tupime afya zetu kiukweli naogopa sana jamani nisaidieni naona furaha...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Ni kisa cha weekend kwa kweli; jamaa yangu mmoja kaja juu dhidi ya mke wake kwa sababu mkewe ka-admit kwake kuwa ni kweli yuko attracted to a co-worker japo huyo co-coworker hajajua kabisa...
4 Reactions
73 Replies
4K Views
Huyu mrembo popote pale alipo anatafutwa.
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Nina rafiki yangu, yuko majuu kutafuta riziki, kaacha mke Bongo, jamaa ataka kila mara akimpigia simu mkewe, aambiwe kila kitu na mkewe, katongozwa, kachokozwa na watu na kila udaku mtaani. Mke...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapendwa kuna mpangaji mwenzangu kapata demu mcheza shoo anampenda sana tatizo huyu demu kila cku anarud saa 9 au 10 alfajiri na anakuwa amechoka sana kutokana na kaz yake ya kukatika majukwaani...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
wanawake,hivi huwa mnajisikia wanaume wasipowatongoza?kuna binti rafiki yangu na huwa tunashauriana mengi,amenipa malalamiko na amekuwa na majonzi katika maisha yake, kuwa ni muda sasa,yapata...
0 Reactions
95 Replies
7K Views
Binadamu akifikia miaka 9 – 14 mwili huanza kubadilika. Hiki ni kipindi ambacho msichana au mvulana hubadilika kutoka utoto na kuwa mtu mzima na hiki kitendo huitwa balehe na moja ya dalili ni...
3 Reactions
37 Replies
10K Views
nimeshindwa jinsi ya kumkwepa huyu dada. Mrembo kweli anasema kanizimia ,ila ni bar maid(kwangu sio kosa ila perception ya wanaonizunguka),bar yenyewe iko karibu na home ,nisipoenda atakuja...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wana jf leo nina hitaji ushauri wenu, kuna rafiki yangu huku mwanza ana mchumba wake wamepanga waoane mwakani february lakini sasa huyu jamaa anaishi mwanza mchumba wake(msichana) dar es...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Mijitu mingine ni kama wingu jeusi, ikiondoka tu siku yako hung'aa. Je umewahi kukutana na miwatu ya aina hii? Ukiwa nalo magundu yanakuandama, mara marafiki wanakutenga, dili zinagonga mwamba...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
yametokea kinondoni,mwanamke kenda kubandika nyusi,msusi kwa ubahili wake badala ya kutumia gundi yake maalum kambandikia superglue,mama kilio,kwenda ccbrt kafanyiwa operesheni ya kutoa...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari za sahizi wanajamvi....natumai mnaenjoy weekend. Naomba mnijuzi haya maswala mawili. 1.Swala la mapenzi a) Napenda kujua kwamba mnapokuwa kwenye uhusiano wa mapenzi moja wenu anapokuwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kutokana na kisa cha kweli SURA YA 10 Kutoka mwanzo.... Kutwa nzima moyo wa Erica ulikuwa ukimwenda mbio na kumshtuka shtuka. Alikuwa na wasiwasi wa aina yake lakini ulikuwa ni...
8 Reactions
25 Replies
6K Views
"About one out of 10 married adults - 12 percent - say that they typically sleep alone. Source: National Sleep Foundation" Ni kweli jaman?? je wewe mume/mke haijawahi kukutokea,
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…