Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari zenu wana jf,mi mgen humu ndani,nilikuwa naomba msaada wenu wa kimawazo kuhusu hili. Kaka yangu alimpenda msichana mmoja.mara za mwanzo mwanzo msichana alikuwa hampendi,ikafika sehemu...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Ndugu zangu naomba usauri wenu ,,, nini ni mwanafunzi wa chuo.nilikuwa na nchumba wangu wa kidato cha 6,,alikuwa akinidharau sana,matusi sana,na alikuwa hakiniwekea masharti wakati wa kula...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Kwaniini wasomi wengi wanaume particularly Tanzania are too boast-ful kwa wake zao ambao hawakubahatika kufuta ujinga?? Why too braggy about your Masters/Ph.D. e.t.c. ? Na ikumbukwe kuwa ni wao...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
aaaaaghrr!! niko na ka hangover ka jana, nimejipumzisha nikiwaza na kuwazua jinsi ya kureplace pesa niliyotumia jana bila mpangilio maalumu, mlangoni ngo ngo ngo, nauliza nani, naitwa jina...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimechoka na vituko vyake,ananijbu dharau,anapokea simu akijsikia,txts hazijibiwi kwa wakati na mambo mengne mengi ya mauzi ambayo nikiyaandka hapa mnaweza kunihurumia,eti sababu ya yote haya ni...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Eti, hivi ni kweli kwamba kumpatia binti yako "pocket money", let's say Tshs. 200/- (Tshs. Two hundred Only) kila aombapo pindi aondokapo asubuhi kwenda shule ni kumfundisha mtoto tabia mbaya...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Luka 16:1 8 "Kila amwachaye mkewe na kumuoa mke mwingine azini naye amwoaye yeye aliyeachwa na mumewe azini." Wapendwa katika Bwana, nawasalimu wote katika Jina la Yesu Kristo Mwokozi wetu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama ambavyo wengi tunatambua kuwa sehemu kubwa (asilimia 99.5) ya kufurahia ngono ni Mapenzi ya kweli juu ya mpenzi wako ikisaidiwa na utundu wako wewe mwenyewe manamke na sio mwanaume...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Wanajf habari zenu?mimi na mpenzi wangu na nampenda sana.Tatizo lililojitokeza hivi karibuni ni kwamba kila siku lazima nimuanze mimi kumsalimia,na mimi huwa naona kawaida si mpenzi wangu?na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Hausemi ni muda gani uvumilie ili ule ule zinazoitwa mbivu, pia hautoi uwezekano wa kukosa au kula zilizooza.
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa za kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na zenye mahitaji makubwa katika jamii. Waganga wa kienyeji...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
In a continent where half the men do not know their daughters birthday, their wedding anniversary or the menstrual cycles of their wives, there is a reason these men are the way they are. It is...
9 Reactions
94 Replies
5K Views
Leo ofisini kwangu nimeshuhudia tukio la kushangaza..Katibu muhtasi wangu[P/S] alimkimbia mgeni wake na kwenda kujificha.Mgeni baada ya kuona hapewi ushirikiano aliamua kuaga na kuondoka. Cha...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
A new study finds that not only do men often say "I love you" first in relationships, they're often happier than women when they hear the three little words said to them. The bigger happiness...
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Hi, wana jamii, Ndo kwaaaaaanza natokea kwa mara ya kwanza na mada yangu hii, ivi ebu vuta hisia siku ambayo unahisi kukutana na msichana au mvulana katika mazingira flani ya sherehe au...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Jana katika pitapita nikakutana na jamaa amekaa na binti mmoja sehemu ninapopata kinywaji jamaa alipoenda toilet nikaomba namba kutoka kwa yule binti na mistari miwili ya kiutani baada ya...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae. Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana...
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Hello everyone, what vital factors are you supposed to consider as you prepare to meet a blind date, that gonna happen tommorrow. what do you think? Please help me?
0 Reactions
44 Replies
4K Views
1. USIWEKE PASSWORD KWENYE SIMU KWA KUMWOGOPA MWENZA AU MCHUMBA WAKO 2. USINDANGANYE UMRI ILI KUKUBALIWA 3. USIWE NA NYUMBA NDOGO 4. USIDANGANYE KUWA BIKRA WAKATI HUNA 5. USIFANYE MAPENZI KABLA YA...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je wewe unamdekeza hivyo mwenzi wako, au unaishia kumpiga miti tu?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…