Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kila mara ninapoangalia movie huwa najifunza mambo mengi. Kwa hii movie waliowahi kuiona,wake/waume, GF/BF/Nyumba ndogo etc inatufundisha nini? Muwe na siku njema. Mlawi.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilioana na mume wangu miaka mitatu iliyopita,tumebahatika kupata mtoto mmoja.Bahati nzuri alipata nafasi ya kwena masomoni nnje ya nchi miaka miwili iliyopita. Tatizo langu ni kwamba ninashikwa...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Hiki kidume kikikuwa kitakuja kujilaani sana, loohhhh :)
4 Reactions
75 Replies
5K Views
Rafiki yangu alifunga ndoa miezi miwili iliyopita na mchumba wake wa siku nyingi. Kutokana na ukali wa foleni huwa ninakuwepo maeneo ya mjini nikipata moja baridi, moja vuguvugu na nyingine moto...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
This is too much... Hii inshu ilitokea miaka kadhaa iliyopita (miaka kama 18), maeneo ya Dodoma. Asubuhi na mapema dada mtu ambaye wakati huo alikuwa na miaka 3 na mtoto mmoja katika ndoa yake...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Within these last few decades of the Millennium have been horrendously destructive to the ability of men and women to relate, commit and enjoy building and being a family. Instead of taking time...
2 Reactions
0 Replies
997 Views
Mdada anapiga kipodozi , anajikarabati hadi anajiharibu, lakini bado anatoa harufu. Ivi inakuaje??.
0 Reactions
4 Replies
917 Views
Nakutakia Weekend Njema yenye Upendo, Amani na Furaha Ktk Mahusiano yako na Umpendaye Huku Ukiburudika na Kaka Bonn Mwaitege na wimbo wa Mke Mwema Anatoka kwa Bwana
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wote tunajua kuwa huko juu (space) kuna zero gravity. Je watu wanaweza fanya mapenzi wakiwa huko juu?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF wenzangu? Naimani mmeianza weekend vyema, Nduguzangu mie kunajambo ningependa kufahamishwa inakuaje hapa, nimepata kushuhudia baadhi ya vichaa/wagonjwa wa akili wakiwa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wanawake hawapendi wanaume wanao otea, wanataka mwanaume mwenye subira na anaye fanya mambo kwa uratatibu. Wakati wanaume wanachokuwa nacho makini ni any hole/ opportunity/njia wazi/ au nafasi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
This is my dedication to all JF members! A song sang by Natalie Cole, I Miss You Like Crazy lyrics Even though it's been so long my love for you keeps going strong i remember the things that we...
0 Reactions
3 Replies
659 Views
Hebu tuwape wanawake wa kitanzania haki zao!!!!!!!!!!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo usiku wa saa8 nilistuka toka usingizini,kwa kuwa huwa na mazoea ya kumpigia simu mpenzi wangu muda wowote,nikaona si vibaya kumpigia simu na kuzungumza naye(ikumbukwe ni kawaida yetu)...
0 Reactions
78 Replies
5K Views
Nina g.f kwa mwezi wa nne sasa yeye anasoma mkoani chuo fulani.. ni mpole mnoo chochote nitakachosema basi anatekeleza na kiukweli nampenda sana nilimgusia kuhusu kuoana next yr akiitimu akasema...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Who travel for love finds a thousand miles not longer than one sometimes the heart sees what is invisible to the eye It is obvious that all sense has gone out of modern marriage: which is...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Malezi huweza kuwaathiri! Mwanamke ambaye ana tabia a kujilaumu yeye kama mwanamke na kulaani kuwa kwake mwanamke, yuko kwenye nafasi kubwa ya kumuuwa mtoto wake wa kike kisaikolojia...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kama kubaka ni hali ya mwanaume au mwanamke kulazimisha kufanya tendo la ndoa bila hiyari ya mwingine, basi wanawake wengi sana walioko kwenye ndoa hubakwa na waume zao kila siku. Kubakwa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kuna thread moja nimeiona jamvini kama siku mbili tatu zilizopita (bahati mbaya sikumbuki ilirushwa na nani..., naomba mnisamehe kwa hili). Kifupi mrushaji wa thread hiyo (nahisi alikuwa ni...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
umeenda club huko ume enjoy vakutosha na ukaamua kuchukua dem au msela wa kupunguza maukame ya miaka nenda rudi ......... mnacheza game ucku kucha na kulala fofofo zen mnapoamka asubui unaanza...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…