habari
kuna dada mmoja amenieleza kisa hiki kimemtokea hadi sasa anashindwa aamue nini
huyo dada kaolewa kwa ndoa ya kanisani miaka 11 iliyopita na wamejaliwa watoto 2 ila karibu kuna tatizo...
ZAIDI ya nusu ya wanawake walioulizwa wameonyesha kutoridhishwa na tabia ya wapenzi wao kupuuzia umuhimu wa kuchezeana kimwili kabla ya kufanya-sex. Hii ni kwa mujibu wa dondoo za utafiti...
Kauli hiyo siku hizi ni ya kawaida sana, kwani kila uchao watu wanaoana, kila wiki siku hizi utasikia matarumbeta na nderemo kila kona na sio mijini tu bali pia hata huko vijijini watu...
Huyu jamaa alikuwa mpnz wangu kwa miaka 2, mwaka jana mwezi wa pili akawa amebadilika analewa sn tukawa tunagombana hatimae tukaachana mwezi wa 4 kila mtu akawa na maisha yake, yeye akapata...
We all know what power does to a person.....
I mean kuna watu wakipata madaraka..kazi...elimu...pesa zaidi ya walizokua nazo mwanzo wanaruhusu vitu hivyo vitawale hata utu wao na wanabadilika...
Wapendwa hamjambo?
Ninaomba mnisaidie kufikiri maana sasa naiona dunia ya mapenzi kama uwanja wa fujo tu ambao natamani kama ningeweza kujiepusha nao niuepuke.
Nimesoma na kusikia visa vingi...
Kuna wanaume ambao hawataki kabisa kuona mke akiwa na uhusiano wa karibu na ndugu zake (mwanamke). Hataki kabisa kuona mkewe akionyesha kuwa na mshikamano mkubwa sana na ndugu zake. Inawezekana...
Kwanza nawapenda sana watanzania wenzangu popote mlipo Mungu aendelele kutupa amani na utulivu.Kuna binti anaitwa Ester nilikutana nae kwenye treni nikitoka mwanza kwenda dar (chuo),alikuwa ni...
Ila nakupa ushauri mmoja, mwanaume hasifiwi kwa kuwa na maumbile ya kiume, maana hata mashoga wana maumbile hayo, ila kuna sifa ya ziada kwa mwanaume,kuwa na msimao.
Habari zenu wanaJF.
Eti jamani hii issue kwanini inakuwaga hivi? Mwanadada akikushika makalio bwana aaaa.., yani inakuwa shwaari, lakini dume lenzio likikugusa hata ikiwa ni kwa bahati mbaya tu...
Kuna jambo linanishangaza sana kwa kushindwa kulielewa ni hili suala la wanawake huwa wanapenda au kutaka nini wawapo katika mahusiano kwani nafikiri huwa hapa ndipo pasipoeleweka na ni chanzo...
A Very Touching Story...
A few weeks ago, I was rushing around
trying to do some Valentine's Day
shopping done. I was stressed out and not
thinking very fondly of the
weather right then.
It...
Experience yangu kuhusu mahusiano inanionyesha kuwa kuna wanawake na wanaume ambao hupendelea kuwasha taa wanapokuwa faragha wakati wengine wanapendelea kuzima taa wanapokuwa kwenye "shughuli"...
Mungu kanijalia mifugo mingi kiasi ambayo iko eneo la Buyuni kata ya Pemba Mnazi, Tarafa ya Kigamboni ambako ndiko shamba langu liliko.
Jirani ya shamba langu kuna msikiti na sheikh mmoja...
Truth to be told, for you to find love or to be found by love, you have to strategise, Even after you have found love , or after love has found you, you also need to strategise to keep it. Almost...
Mpenzi msomaji, vipo vituko vingine ukisimuliwa unapata kizunguzungu. Unajiuliza hivi kweli Ndivyo Maisha Yalivyo au ni watu wanabuni staili yao ya maisha mfano wa yale ya `kufikirika`...
Habari zenu wapendwa,hiki kisa kimemtokea clacment wangu wa kike jana, yeye ana boyfriend wake wa siku nyingi tu tangu chuon, ila ana katabia kakumchanganya na vimeo vyake(kazi za nje), bf wake...
Have you ever seen a married couple renew their vows?Its so beautiful. After years of hardships, things not going the way they thought, and weird traits they didnt know about, they still say...