Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Blessings to all Nawapenda wote katika Kristu
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi naona hizi kitchen party hazina mashiko au tija kabisa haswa kutokana na wadada wengi kutojifunza lolote la maana na kutia aibu pindi waingiapo kwenye ndoa. Utakuta eti wanafundishana kukata...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
WE SHALL REMEMBER YOU SIS KAMA MUNGU ANGEOMBA WATU WA 5 WA KUWARUDISHA DUNIANI NINGEANZA NA BIBI YANGU MZAA BIBI NA KUMUOMBA ANIRUDISHIE DADANGU REGINA HAKIKA NAJARIBU KUKUMBUKA KILCHOTOKEA...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Khabari ya Jumapili kwa mpigo, Kuna gynecologist mmoja maarufu sana hapa nchini anasema kati ya wanawake 20 wenye umri kati ya miaka 16 – 35 wanaopelekwa kujifungua, 15 hujifungua kwa njia...
2 Reactions
65 Replies
7K Views
Jew ewe wakumbuka nini ? Nakumbuka siku nilipolala na mabinti wawili – single room separated by pazia. Baadaye mmoja ameolewa na rafiki yangu na mwingine amekuwa rafiki yangu wa karibu. Nikiwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Heeelllow wana j to the f. Yaani ukiambiwa uswazi kuna vituko,basi ndo hivi:- si unajua wajawazito hupendelea vitu mbalimbali ambavyo kabla ya ujauzito alikuwa hatumii...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wandugu, nilikua na mpenzi wangu kipindi cha nyuma miaka 8 iliyopita kwa bahati mbaya tulitengana baada ya mimi kusafiri kwa muda wa kama miezi 6 kurudi nikapata tetesi kuwa anatembea na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Walai wanaume hasa wenye ndoa mnaboa kweli yani huoni hata aibu kumfata msichana unamtongoza afu unamdanganya eti ntakuoa wakati tayari una pete kubwa kidoleni afu ukimwangalia mkewe huwezi hata...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Yana siku zake..... Wapo wanawake huweza kufika kileleni kwa kusisimuliwa matiti yao tu.Asilimia moja ya wanawake huweza kufika kileleni kwa kuchezewa nyonyo na waume zao au wapenzi wao.Hili...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
WanaJF hususan wanaume wenye majogoo yasiyopanda mitungi, Nataka niwatie moyo kwamba wanaweza kupona kwa kutumia asali pure isiyochakachuliwa. Nina ndugu yangu mmoja ana miaka miwili tangu aoe...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Wana jf wenzangu poleni sana na majukumu ya j3....Wengi najua mmefunga ofisi na mnajiandaa kwa kwesho,ila co mbaya nikiwashirikisha katika hili...Naombeni ufafanuzi juu jambo hili,hivi katika...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
kuingia gheto anaingia kiwiziwizi sababu anaona aibu hata kiss la shavu njenje hataki nikimshika mkono mbele ya watu anakasirika nikimlazimisha anasema mi staki bhana nikimtambulisha kwa...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
second to come soon
0 Reactions
11 Replies
2K Views
hazina akili!!! utaitelekezaje familia yako kwa penzi la kimada??? mbona wanawake tunacheat ila hata siku moja hatutelekezi watoto tuliowazaa....???au kwa vile hamzai kwa uchungu kama sisi hivyo...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
KILA MTU ANA MPANGO WA MAISHA YAKE PENGINE UNAWEKEZA KWENYE UJENZI WENGINE KWENYE BAR NA SSASA KUNA UWEKEZAJI ENDELEVU AMBAO SIJUI NA WEWE NI MMOJA WA WEKEZAJI WASIOLIPA SERIKALI MAPATO VISURA WA...
0 Reactions
4 Replies
953 Views
My wife took off her ring after an argument. But there had been instances of arguments for about 2 months with minimal solutions. We have been together for more than 10 years. does this mean that...
0 Reactions
67 Replies
5K Views
Inavyoonekana katika tendo hili la ndoa,, wanaume ndiyo huwa wanasikia raha saaaaana kuliko wanawakem na ndiyo maana huwatoa kwa pesa wapenzi wao. Hivi mwanamke mzima unajisikiaje unapomegwa na...
1 Reactions
67 Replies
10K Views
Jaman wadau mi najiuliza hata sipati jibu wenzetu majuu mwanaume akiku-cheat mara moja tu hiyo ndoa ndio byebye, hata kama ni miaka 2 nyuma ukijua leo ndo imetoka hiyo...... lakini huku kwetu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu nackia mtu ukiwa mweupe basi soko lakn USUKUMANI ni kubwa mno. Je ni kwel watu twende huko
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wiki iliyopita nilipata bahati ya kutembelea Arusha, pamoja na kwamba sikupata bahati ya kukutana na wana JF wa pale Arusha nilifarijika sana kwa upendo wao hasa makaribisho yaliyoonyesha kwamba...
1 Reactions
143 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…