Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Great thinkers. Najua kuna watu hawajali matatizo ya wenzao au hata kufika hatua ya kutoa maneno au kauli mbaya zisizo na tija nawaomba katika hili mnisaidie ndugu zangu. Mke wangu ana tatizo...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
maisha gani uishi na mpenzi wako asiweze kukusaliti na kukuchoka mapema?
0 Reactions
112 Replies
6K Views
Ilimchukua dk 25 kuelezea swala la ndoa za wake wa nne bw huyu mh kibonde kwenye kipindi cha jahazi hata hivyo katika maneno yake yote nilitarajia atakuja na jibu kuoa wake wa nne ni...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Kuna kibabu flani mtaani kwetu juzijuzi tu hapa kimemuoa binti mdogo tu aliyemzidi kama miaka 30 hivi! Ulikuwa ni mshangao street coz hawa watu hawamatch hata kidogo! People 2namshangaa sana yule...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
When little Dante is old enough, his parents will sit him down and ­explain that ­"Mummy couldn't have babies... so daddy did it for her." That's because this cute toddler was born into...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Juzi nilishuhudia braza akiambiwa na mkewe kuwa ana roho mbaya kwa sababu ambazo sijui hasa chanzo chake nini. Mambo yalianzia room kwao na baadae ikawa ugomvi hadharani. Kwa kweli walirushiana...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Jamani hili neno ndugu lawama kila mtu anaweza kulitafsiri kivyake lakini kwa mimi ni wale ndugu ambao hawaridhiki hawataki kufanya kazi wao kutwa kucha ni kulalamika tu na kufuatilia mienendo...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Kila kabila lina utamaduni na utaratibu wake kuhusiana na mahusiano ya wakwe. Kwa mfano, makabila mengine wakwe hawawezi kutamazana au hata kuwepo mahali pamoja. Makabila mengine kule kwenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama mtakumbuka,miez michache iliyopita nilileta thread ya kuhusu mpenz wangu kubadilika huko chuon alipo moshi,sababu kubwa alisema ni kwa vile nilimdai pesa niliyomsaidia kulipa ada ingawa...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakubwa.kuna rafiki yangu mkaazi wa hapa kibaha anaishi na mama yake mzazi,baba yake mzazi alitangulia mbele za haki miaka 10 iliyopita.Jamaa ni kiwembe kuliko na mpiga maji kama...
0 Reactions
36 Replies
10K Views
Habari wana JF Nimekuwa nikijiuliza kwa namna fulani suala la uchaguzi wa jina la mtoto. Mfano, mmezaa mtoto na mpenzi wako. Wakati wa kupendekeza jina kwa mtoto, mpenzi wako akawa anasisitiza...
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Mpwa wangu (mtoto wa dada yangu) amenifuata asubuhi hii akilalamika ana miezi miwili hatafaidi ndoa yake. Kila aombapo mchezo mkewe humwambia amekatazwa na mwalimu wake wa mazoezi ya viungo...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu
0 Reactions
62 Replies
5K Views
Dada yenu mkubwa ndani ya familia kabahatika kwenda kusoma USA, na akiwa mwaka wa mwisho wa masoma yake anawaletea barua wazazi wake. Nanyi pia mnabahatika kuiona barua hiyo inayoeleza ya kuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wakuu me ndo kwa mara ya kwanza najiunga na kitengo hiki jaman naomba ushirikiano coz nmechoka kuwa guest katika jukwaa hili. big up alll.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habar zenu wapendwa wangu wa hili jamvi tamu la jf, matumain mpo poa mi pia niko bomba niliwakumbuka sana Issue ni kuwa kuna jambo huwa linanitatiza kidogo hapa kuwa mapenz huwa yanahitaji nn...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Ikandamoyo, wilayani hapa, Veronica Saleh ‘Mama Kaela' (50), amefanya uamuzi adimu wa kuolewa na wanaume wawili ambao anaishi nao kijijini hapo. Kijiji hicho...
1 Reactions
78 Replies
15K Views
Hapa ofisini kuna dada mmoja amezuzuliwa na penzi la FACEBOO. Hili penzi la kichina limemuingia mwenetu kiasi kwamba kazi hafanyi, kila siku rundo la viporo linazidi kuwa kubwa. Je tumsaidieje...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Utasikia kila siku mke wa mtu ni sumu je nauliza wanaume wa watu siyo sumu au ruksa?????
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kila mtu hukutana na mwenza wake katika mazingira tofauti....mwenzenu nimempenda kija wa Kighana ambaye nimekutana nae facebook.Mara nyingi huwasiliana kwa email na simu,nimwenye maongezi ya...
0 Reactions
131 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…