Shoking video: Maid Bathing A Baby (it's Brutal)
You've been warned. If you can't withstand watching graphic videos, please do not watch this one. What you are about to see could be very...
Jamani, nimepigiwa simu na waifu sasa hivi toka home, kuwa mtego tulioweka umenasa, HG wetu anakafundisha "matusi" ketu. Kameshamueleza mamaake kila kitu, mtoto mwenyewe ana umri wa miaka sita tu...
Leo asubuhi kama kawaida yangu niwewahi kwenye kibarua changu, kujitafutia mkate wa kila siku.
Sasa nina kawaida ya kuchukua ufunguo wa chumba changu cha ofisi kwa boss wangu.
Kama kawaida mimi...
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between...
In terms of figuring out how to comprehend a woman's feelings about us when we're trying to make the leap from "friends" to "friends who kiss," men often overlook obvious signs. This is especially...
Habari wakuu, hivi mmenote wanaume wembamba sana wanapenda sana wanawake wanene?
Yaaani utakuta kijana mwembambaaa mwanamke wake mnene kupita kiasi, hii inatokana na nini? Kuna uwiano gani kati...
Will Polygamy Be Legalized In USA?
Polygamy may be the next thing to be on the ballot for legalization. I must admit that when I first heard the law for same sex marriage was passed the first...
Kwa uchunguzi nilio ufanya nimetthibitisha kuwa zinaa
inarithiwa. Ukiwa mzinifu kuna asilimia zaidi ya 90 kuwa na wanao watakuwa wazinifu. Jaribu kuchunguza mzinifu yoyote utakuta baba/mama yake...
Mi naona vyote vitamu sana, vyenye ladha tofauti sana.
Tena navipenda sana na kuvitumia sana.
Leo kaja kiongozi mmoja wa dini ananiambia niachane navyo, eti ni anasa.
Jamani anasa gani kula...
mama kamfokea mwanae kwa kuwa aligundua kuwa mwanae kacherewa kubikiriwa na alikasirika san siku hiyo, pia
kuanza kumuuza kwa wanaume pia alikuwa anaenda nae kwenye viwanja mbal mbali. pia mwanae...
You gave a lift to a beautiful girl
she fainted inside your car & u took her to the hospital.
Now thats stressful, but at the hospital the Doc said she is pregnant &
congratulated u...
kuna siku moja nilikuwa nasikiliza kipindi cha ukimwi na jamii katika
radio tanzania enzi hizo, basi kuna raia mmoja akapiga simu na
kusema kuwa kwa huko ukerewe kijana akitaka kuoa lazima
baba...
Romantic Fiction Can Be Bad For Your Love Life
Promotes unrealistic expectations
Reading too much romantic fiction, such as the ever-popular Mills and Boon books, can be bad for women's sexual...
Jamani jaman, nimekuwa nikishuhudia wanandoa wengi wanafunga ndoa huku tayari mwanamke akiwa na mimba. Unakuta harusi fasta fasta inatangazwa na watu wanafunga ndoa, miezi mitano au sita unaambiwa...
Siku ya kukutana memba wa MMU,siku hii itakapofika wapo watakaoingia mitini hasa ile midume yenye ID za kike,itaogoga aibu pale itakapotakiwa kujitambulisha,lijamaa lina midevu litakaposema "mimi...
Bandugu, hapa mtaani kwetu kuna kabinti kanatia fora kwa kuchukua waume za watu pamoja na kutoa uroda dezo dezo. Ni kadogo sana, umri wake n miaka 16 tu bt matendo yake utadhani mtu mzima. Ni...
Online matchmaking imeanza kusambaa kwa sababu zifuatazo:-
a) Kuokoa muda wa kumtafuta umtakaye.......
b) kupanua wigo la kukutana na wapenzi watarajiwa.........
c) gharama za zoezi hili...