Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakati fulani mwaka juzi niliwahi kumuuliza dada mmoja kuwa;wakija wanaume wawili kwa wakati tofauti wakakutongoza,yule wa kwanza akaja anakubembeleza kwa upole na kukuomba uwe girlfriend...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Namtafuta Maria R...a Kabla ya kupotea yupo hivi: Ana track suit ya pink, top ya pink, bra nyekundu, chupi nyekundu, no tight, silver earings, viatu vya pink, no sox, lip stick, nywele za rasta...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Kitabu cha mithali 31 kuanzia msitari wa 10 hadi 31 kimeelezea sifa mbalimbali za mke mwema, tuangalie kwa uchache sifa hizo kwa kuzichambua katika maeneo tofauti. 1. Imani Mithali 31:26, 29...
7 Reactions
31 Replies
8K Views
Kukiwa kumebaki siku tatu kuingia jumamosi ambapo ndugu zetu wengi wanatarajia kuoa ama kuolewa ndugu wapendwa hizi siku tatu ni nyingi sana siku hizi zaweza kuwa furaha yako milele ama shida...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
kwamba mwanamke afaidie penzi la mwanaume ni yule wa mwisho kati ya wale aliowapitia huyo dume? kwamba mwanaume afaidie penzi la mwanamke ni yule wa kwanza kwa vile 'njia' itakuwa bado...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Pengine waweza kuwa mmoja wapo pasipo kujua ndugu rafiki najua si kila mtu anaependa kufikwa na yanayowakuta wanandoa wa sasa..najua kuna wakat mkiwa marafiki mlihisi mnaitaji dunia kumalizika...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
How to make a woman happy. It's not difficult * to make a woman happy. A man only needs to be: 1. a friend 2. a companion 3. a lover 4. a brother 5. a father 6. a master 7. a...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Mimi ninaamini kwamba lengo la pete za ndoa ni kuonyesha kwamba huyu mtu (Mwanamke au Mwanaume) ameoa ama ameolewa. Kinacho nishangaza na nimeshuudia hawa jamaa wenye pete wana mahusiano nje ya...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Guys naomba mnisaidie kitu ehh....kuna kazi natakiwa kufanya ila naona itachukua muda sana kuuliza watu one on one kwahiyo nimeona nitafute njia rahisi kwa kuuliza hapa jamvini instead! Kwa wale...
2 Reactions
71 Replies
5K Views
... then tell her she is the one, Great song among many other nice ones, it's the one which touched me for special reasons, huwa ninaguswa sana hasa kipande chenye haya maneno: N' when you see...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Jamani jamani nisaidieni mawazo.... ni siku nyingi kuna jamaa tumezoeana nae ila sio sana maana hupishana tu na kusalimiana na story za kawaida sana. mara nyingi huyu jamaa huwa anapenda kusema...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Ulaji wa chakula aina ya chipsi kwa wanaume husababisha upungufu wa nguvu za kiume.Taarifa hii nimeipata Mlimani tv nilipokuwa naangalia kipindi cha Jarida la habari,hivyo wanaume wanashauliwa...
0 Reactions
58 Replies
19K Views
kuna msichana mmoja nilimpenda sana sikufanya nae mapenzi kwani nilijua nitakuja kumuoa kwa uchungu alibikiriwa na kijana mmoja hivyo akanitosa nilipata uchungu sana kwani nilikuwa nampenda tangu...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
When God created woman he was working late on the 6th day Angel came by and said: ''Why spend so much time on that one?'' And the Lord answered: ''Have you seen all the specifications i have...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani nimeanza kuuliza hilo swali baada yakuona kisa na mkasa sehemu today nikiwa nimefika tu home nikitokea church...Binti wa kazi kumbe katoka kwao kwa shughuli maalum ,, Katika kupanga panga...
5 Reactions
74 Replies
6K Views
Dogo ana miaka 22, kamaliza form 6 mwaka jana, hata chuo hakwenda. Hivi juz 2kiwa kwenye kambi mmoja ambalo liko mbali kidogo na wasichana kwa muda wa miezi ka 5 chali alitutamkia nia yake LIVE...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani msaada Jamaa yangu juzijuzi tu hapa kanambia kuwa kapata mchumba. Tulikuwa na ugomvi aoe maana yuko 35 sasa! Basi juzi tu akanambia kuwa kampata mwenza na anataka mipango iende fasta na aoe...
0 Reactions
68 Replies
5K Views
Mnamkumbuka mwana JF aliyekuwa anaitwa Pape, sijamuona siku mingi sana huyu Jamaa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kaazi ipo! Malawian president says Homosexuals are worse than dogs Monday, May 16, 2011, 16:31 Malawian President Bingu wa Mutharika has delivered a blistering attack on homosexuals describing...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sisi sote ni binadamu na kila mmoja wetu ana mapungufu yake,mi naomba niulize kijiswali hiki: Hivi ushawahi kuwa na mahusiano na mtu na na dada yake? na kama wewe ni mwanamke ishawahi kukutokea...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…